Huyu unaweza kuta ni Baba yake mtu au naye ana Wazazi wanasema wana mtoto wa kiume

Huyu unaweza kuta ni Baba yake mtu au naye ana Wazazi wanasema wana mtoto wa kiume

Mpaka sasa najiuliza sana jinsi staili ya utawala wa Mobutu Sese Seko Kuku Ngbendu wa Zabanga wa Zaire ilivyoingizwa Tanzania taratibu.

Sijui ni kina nani hasa hao (ma-genius waliopinda) waliohusika na kuleta nchini mkakati huo wa uongozi uliotikisa miaka ya 70-80? Almost copy and paste!

Tukiwa shule enzi hizo tulikuwa tunafundishwa kuwashangaa, kuwacheka, na kuwaonea huruma wa-Zaire walivyokuwa watu wa ajabu sana kwa kuendekeza ujinga usiomithilika kiasi kile kiasi cha kufikia kumuabubu binadamu mwenzao. Sikujua kama mambo yale yale yatakujatokea Tanzania.
 
Kama kunufaika na chama basi ni wakina JK, Samia na viongozi wakubwa wengine ila huwezi kuona wanafanya huo upuuzi, hao ni chawa tu , wanaweza kuuza chochote hao
Furaha ya mtu usimpangie mtindo na vitu vya kuvaa. Akina JK au Samia ni viongozi wenye masharti ya uvaaji. Wengine hata wangekuwa mabilionea ili mradi sio Viongozi watavaa vyovyote ili mradi hawavunji sheria.
 
Furaha ya mtu usimpangie mtindo na vitu vya kuvaa. Akina JK au Samia ni viongozi wenye masharti ya uvaaji. Wengine hata wangekuwa mabilionea ili mradi sio Viongozi watavaa vyovyote ili mradi hawavunji sheria.
Sio furaha huo ni uchawa, huyo hawezi kuwa na furaha na ccm kuliko wakina JK, huyo ni chawa anatafuta macho ya watu wammulike
 
Wewe una chuki zisizo na Sababu, yeye anajua ana nufaika vipi kuwa kada wa Chama Cha mapinduzi.

Nawewe kama utaona inafaa tafuta Chama na uonyeshe mapenzi yaliyo tukuka kwa icho Chama.
Kuwa chukia wengine haitabadili maisha Yako na kutafuta maradhi ya Moyo sababu ya chuki.
Chuki ni Sumu.
Ndio avae hivyo kama spider kweli?
 
Ni aibu sana kuwa na mtu wa hivi... Aibu mpaka mwingine unawaza watu wa namna hii waliumbwa masaa yapi wakati wa uumbaji? Mtu anavaa hivi kabisa kuonesha ukada? Huyu utakuta choka mbaya amefika hapo kwa lift au kubebwa.
View attachment 3207309
... kwakweli CHADEMA inaigwa Kwa mengi!
... yaani huyu ndo MDUDE-CCM!
😅
 
Back
Top Bottom