Mowwo
JF-Expert Member
- Aug 15, 2015
- 1,083
- 1,628
Ndo wanaKopata ugali huku😄Ni aibu sana kuwa na mtu wa hivi... Aibu mpaka mwingine unawaza watu wa namna hii waliumbwa masaa yapi wakati wa uumbaji? Mtu anavaa hivi kabisa kuonesha ukada? Huyu utakuta choka mbaya amefika hapo kwa lift au kubebwa.
View attachment 3207309