Siyo kwamba Asiyejulikana anchukia. Anaelezea tu alivyo mjinga, mtu mwemye akili huru hawezi kujigeuza kinyag hivo.Wewe una chuki zisizo na Sababu, yeye anajua ana nufaika vipi kuwa kada wa Chama Cha mapinduzi.
Nawewe kama utaona inafaa tafuta Chama na uonyeshe mapenzi yaliyo tukuka kwa icho Chama.
Kuwa chukia wengine haitabadili maisha Yako na kutafuta maradhi ya Moyo sababu ya chuki.
Chuki ni Sumu.