Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
CCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavu na majuhaNi aibu sana kuwa na mtu wa hivi... Aibu mpaka mwingine unawaza watu wa namna hii waliumbwa masaa yapi wakati wa uumbaji? Mtu anavaa hivi kabisa kuonesha ukada? Huyu utakuta choka mbaya amefika hapo kwa lift au kubebwa.
View attachment 3207309
Lucas mtupu huyuNi aibu sana kuwa na mtu wa hivi... Aibu mpaka mwingine unawaza watu wa namna hii waliumbwa masaa yapi wakati wa uumbaji? Mtu anavaa hivi kabisa kuonesha ukada? Huyu utakuta choka mbaya amefika hapo kwa lift au kubebwa.
View attachment 3207309
Mwache Mhe Sanga, Mbunge ale vyake, ashabikie chama chake, avae rangi za chama chake.Ni aibu sana kuwa na mtu wa hivi... Aibu mpaka mwingine unawaza watu wa namna hii waliumbwa masaa yapi wakati wa uumbaji? Mtu anavaa hivi kabisa kuonesha ukada? Huyu utakuta choka mbaya amefika hapo kwa lift au kubebwa.
View attachment 3207309
Huyu ni mbunge?? Waliompigia kura wakoje???Mwache Mhe Sanga, Mbunge ale vyake, ashabikie chama chake, avae rangi za chama chake.
Wasiwasi wako tu. Mbona hana nongwa na mtu.Huyu ni mbunge?? Waliompigia kura wakoje???
Anyway tunaomba CV yake
we ni jinsia gani, km ni me ni bora utolewe hayo makende. we ni nani kumchagulia binadamu mwenzio namna ya kuishi. Ndiyo maana mnakufa maskiniNi aibu sana kuwa na mtu wa hivi... Aibu mpaka mwingine unawaza watu wa namna hii waliumbwa masaa yapi wakati wa uumbaji? Mtu anavaa hivi kabisa kuonesha ukada? Huyu utakuta choka mbaya amefika hapo kwa lift au kubebwa.
View attachment 3207309
hawawezi kuwazidi wazazi wakoCCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavu na majuha
Jioni anarejea nyumbani amechoka anapokelewa ametoka kaziniNi aibu sana kuwa na mtu wa hivi... Aibu mpaka mwingine unawaza watu wa namna hii waliumbwa masaa yapi wakati wa uumbaji? Mtu anavaa hivi kabisa kuonesha ukada? Huyu utakuta choka mbaya amefika hapo kwa lift au kubebwa.
View attachment 3207309
Mhe, Sanga (Mbunge) njoo huku, watu wanakusema kwa kupendeza kwako ndani ya ukumbi wa JK convention center Dodoma. Nadhani huna HISTORIA ya ugomvi wala kelele na Watanganyika. Karibu mwanangu ujitetee.Ni aibu sana kuwa na mtu wa hivi... Aibu mpaka mwingine unawaza watu wa namna hii waliumbwa masaa yapi wakati wa uumbaji? Mtu anavaa hivi kabisa kuonesha ukada? Huyu utakuta choka mbaya amefika hapo kwa lift au kubebwa.
View attachment 3207309
Huyu unadhani ananufaika kitu? Na Ridhiwani, Kikwete,Mwigulu watasemaje? Huyu ni kilaza tu anapata vijicent kidogo sana.Changamoto ni kuwa system imekaaa katika kuwanufaisha watu kama Hawa,kupitia vitu vya hovyo wanavofanya kama hivi wanapata fedha ya kuendesha maisha Yao.
Lucas kaenda Dodoma kwa kuchangiwa. Amenyanyasika hakuna anayemtambua kule na kumheshimu anaomba omba pesa kwa watu na kuwaonesha anavyopigania chama JF. Wanamwacha anashangaa shangaa wapo busy wao.Lucas mtupu huyu
Chakula baba chakulaCCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavu na majuha
Najua....nakuelewa. kwa sasa mpaka mnaambiwa muwe mashoga tukisema mnasema tunawachagulia namna ya kuishi. Haya ishi utakavyo utakuwa tajiri.we ni jinsia gani, km ni me ni bora utolewe hayo makende. we ni nani kumchagulia binadamu mwenzio namna ya kuishi. Ndiyo maana mnakufa maskini
Kama unafanya hivi hata ukiuza madawa ya kulevya hakuna kesi.Ni aibu sana kuwa na mtu wa hivi... Aibu mpaka mwingine unawaza watu wa namna hii waliumbwa masaa yapi wakati wa uumbaji? Mtu anavaa hivi kabisa kuonesha ukada? Huyu utakuta choka mbaya amefika hapo kwa lift au kubebwa.
View attachment 3207309