Siyo kwamba Asiyejulikana anchukia. Anaelezea tu alivyo mjinga, mtu mwemye akili huru hawezi kujigeuza kinyag hivo.Wewe una chuki zisizo na Sababu, yeye anajua ana nufaika vipi kuwa kada wa Chama Cha mapinduzi.
Nawewe kama utaona inafaa tafuta Chama na uonyeshe mapenzi yaliyo tukuka kwa icho Chama.
Kuwa chukia wengine haitabadili maisha Yako na kutafuta maradhi ya Moyo sababu ya chuki.
Chuki ni Sumu.
Babaake Lucas MwashambwaNi aibu sana kuwa na mtu wa hivi... Aibu mpaka mwingine unawaza watu wa namna hii waliumbwa masaa yapi wakati wa uumbaji? Mtu anavaa hivi kabisa kuonesha ukada? Huyu utakuta choka mbaya amefika hapo kwa lift au kubebwa.
View attachment 3207309
Haya sasa, haya sasa. Na bado styles mpya zinaingia
Ni aibu sana kuwa na mtu wa hivi... Aibu mpaka mwingine unawaza watu wa namna hii waliumbwa masaa yapi wakati wa uumbaji? Mtu anavaa hivi kabisa kuonesha ukada? Huyu utakuta choka mbaya amefika hapo kwa lift au kubebwa.
View attachment 3207309
we wa kupuuzwaNajua....nakuelewa. kwa sasa mpaka mnaambiwa muwe mashoga tukisema mnasema tunawachagulia namna ya kuishi. Haya ishi utakavyo utakuwa tajiri.
As long as familia yake wanakula na kusoma bila msaada wako, mkuu hili nalo likupite kama mengine yasiyokuhusu yanavyokupita.Jioni anarejea nyumbani amechoka anapokelewa ametoka kazini
Nchi hii inatakiwa kusafishwa sana, watu kama hawa ni rahisi kuuza siri za nchi kwa njaaNi aibu sana kuwa na mtu wa hivi... Aibu mpaka mwingine unawaza watu wa namna hii waliumbwa masaa yapi wakati wa uumbaji? Mtu anavaa hivi kabisa kuonesha ukada? Huyu utakuta choka mbaya amefika hapo kwa lift au kubebwa.
View attachment 3207309
Maccm majinga sanaNi aibu sana kuwa na mtu wa hivi... Aibu mpaka mwingine unawaza watu wa namna hii waliumbwa masaa yapi wakati wa uumbaji? Mtu anavaa hivi kabisa kuonesha ukada? Huyu utakuta choka mbaya amefika hapo kwa lift au kubebwa.
View attachment 3207309
Kwa hili, hawana hatia wala kosa. Kwenye sherehe watu huvaa bila kujali nani anakonda wala kunenepa na mwonekano wa mvaaji.As long as familia yake wanakula na kusoma bila msaada wako, mkuu hili nalo likupite kama mengine yasiyokuhusu yanavyokupita.
Siri gani atauza kwa kuvaa miwani ya mtindo mtindoNchi hii inatakiwa kusafishwa sana, watu kama hawa ni rahisi kuuza siri za nchi kwa njaa
TrueKwa hili, hawana hatia wala kosa. Kwenye sherehe watu huvaa bila kujali nani anakonda wala kunenepa na mwonekano wa mvaaji.
Kwenye mifumo yetu ya usalama wapo wengi hao , ni muhimu serikali iangalie watu hawaSiri gani atauza kwa kuvaa miwani ya mtindo mtindo
Na huu mkutano umekaa pazuri, NJAANUARYNi aibu sana kuwa na mtu wa hivi... Aibu mpaka mwingine unawaza watu wa namna hii waliumbwa masaa yapi wakati wa uumbaji? Mtu anavaa hivi kabisa kuonesha ukada? Huyu utakuta choka mbaya amefika hapo kwa lift au kubebwa.
View attachment 3207309
Sioni Siri yoyote ikiuzwa eti kwa kuwa mtu amevaa chochote. Utabiri wako sio kweli na haiwezi kutokea na haina uhusiano.Kwenye mifumo yetu ya usalama wapo wengi hao , ni muhimu serikali iangalie watu hawa
Kuna shida gani hapo?Ni aibu sana kuwa na mtu wa hivi... Aibu mpaka mwingine unawaza watu wa namna hii waliumbwa masaa yapi wakati wa uumbaji? Mtu anavaa hivi kabisa kuonesha ukada? Huyu utakuta choka mbaya amefika hapo kwa lift au kubebwa.
View attachment 3207309
Kama kunufaika na chama basi ni wakina JK, Samia na viongozi wakubwa wengine ila huwezi kuona wanafanya huo upuuzi, hao ni chawa tu , wanaweza kuuza chochote haoSioni Siri yoyote ikiuzwa eti kwa kuwa mtu amevaa chochote. Utabiri wako sio kweli na haiwezi kutokea na haina uhusiano.
Mbona hii miwani imekaa kama ya wale watu wa Upinde? design hii ni kwa nini iruhusiwa wakati watu wa upande hawaungwi mkono nchini?Ni aibu sana kuwa na mtu wa hivi... Aibu mpaka mwingine unawaza watu wa namna hii waliumbwa masaa yapi wakati wa uumbaji? Mtu anavaa hivi kabisa kuonesha ukada? Huyu utakuta choka mbaya amefika hapo kwa lift au kubebwa.
View attachment 3207309