Aisee ni hatari sana. Kosa la Heche ni nini?Kuna mkutano mkubwa wa CHADEMA. Heche amemwambia Dj apige audio ya mmoja wa Mawaziri wa CCM akiapa kumnyoosha Heche kwa kumdhuru.
Je, huyu Waziri ni nani na kwa nini awe anatishia watu maisha?
# No reform no election
NRNENo Reforms No Elections
Kwa hakika.....tumechoka kuburuzwaWatanzania tunataka mabadiliko
Aisee kweli upinzani ni imanialiyezuia mikutano miaka 5 na kubaki yeye mwenyewe kwenye majukwaa si watu waliamini kaua upinzani ?
Magufuli alizuia mikutano miaka 5 akisema sio ya siasa ni kazi ila yeye alikuwa anafanya siasa majukwaani na kwenye ziaera zake kama kawaida .Aisee kweli upinzani ni imani
Hii ilinishangaza sana. Live chats 12k wao live chats 2Kesi ya Lissu majuzi YouTube ina viewers 15,000 huku bunge likiwa linaendelea muda huo huo lina viewers wasiofika hata 200 hapo unapta picha gani ilhali bunge na kesi vyote vilikuwa vinaendelea kwa muda mmoja.
Watu wameamka wanajua wapi waelekee na nini wanataka muda huo ukifikia threshold yake watawala hawataamini machi yao.Hii ilinishangaza sana. Live chats 12k wao live chats 2
Hii nchi inahitaji overhaulKuna mkutano mkubwa wa CHADEMA. Heche amemwambia Dj apige audio ya mmoja wa Mawaziri wa CCM akiapa kumnyoosha Heche kwa kumdhuru.
Je, huyu Waziri ni nani na kwa nini awe anatishia watu maisha?
# No reform no election