Hydroponic fodder, Mkombozi pekee wa wafugaji wa ng'ombe, kuku, nguruwe, mbuzi na kadhalika

attachment.php
attachment.php
attachment.php
 
Mr chasha Mimi Niko hapa dar Es salaam nimeweza Kuwa innovative zaidi nimetumia millet(mtama)..kutengeneza hydroponic fodder yangu rather than barley.nimenunua mbolea(foliar fertilizer) hapahapa mjini na matokeo ni mazuri sana.nalisha Kuku na Kwale zangu kwa kutumia hii fodder.hebu jionee picha
 
Attachments

  • tmp_IMG_20140419_1622097172639.jpg
    tmp_IMG_20140419_1622097172639.jpg
    1.3 MB · Views: 550
  • tmp_IMG_20140418_1229251215208968.jpg
    tmp_IMG_20140418_1229251215208968.jpg
    1.2 MB · Views: 504
amazingone umenifundisha kabisaaaa sasa ni mwendo mdundo.
Ubarikiwe
 
Amazingtone tafadhari nifundishe na Mimi ninafuga kuku bata na kware
 
Kuna kitu hakijaeleweka hapa.

HYDROPONIC Unaweza kuotesha everything kwa kutumia maji na nutrients ikiwemo, fodder, na mbali na chakula cha mifugo unaweza otesha nyanya, na mboga mbalimbali.

KUHUSU CHAKULA CHA MIFUGO.
-Uoteshaji wa Chakula mcha mifugo umependekezwa kutumia barle kwa sababu nyingi tu

1. Haina competition kati ya binadama na wanyama means binadamu hawaitumii

2. Ndo yenye nutrients zote zinazo hitajika kwa ajili ya mifugo.

3. Umeaji wake.

NGANO

Hapa ina maanisha unaweza walisha hata kuku wanyama na usiwapatie aina nyingine ya chakula, na vile vile kwa kuku wa mayai na kazalika, hakuna nafaka nyingine ambayo inaweza tumika peke yake bila kufanyiwa suplliment.

KUTUMIA ULEZI/MTAMA/MAHINDI

Haya unaweza tumia kama uinavyo wapatia kuku majani au mchicha kwa sababu yana levo yao mfano ya protein iko chini sana na huwezi wapatia kuku wa mayai au nyama ulezi haiwezekani.

Na hata kwa Ngano bado kuna vitu huwa vina misi ingawa na kwa kiwango kidogo sana na havina madhara yoyote yale.

SO BARLE NDO PEKEE INAYO WEZA LISHA WANYAMA BILA KUWAPATIA CHAKULA KINGINE CHOCHOTE KILE, ILA KWA NAFAKA ZINGINE NI LAZIMA UWE NA CHAKULA CHAO CHA KAWAIDA PEMBENI, MFANO UKIWALISHA ULEZI KUKU WA MAYAI NI LAZIMA RATIBA YA CHAKULA CHAO IWEPO KAMA KAWAIDA NA ULEZI/MTAMA UTAWAPATIA KAMA UNAVYO WAPATIA MBOGA ZA MAJANI/MCHICHA.

So watu wasije wakachanganya vitu hapo na sehemu kama Dar ni chalenge sana kuotesha Barle hasa wakati wa joto kwa kipindi hiki hakuna shida ila kwa kipindi cha joto kwa kweli ni kazi ngumu sana.
 
I think it is all about flexibility na uwezo Wa kutumia rasilimali zilizopo ndani ya mazingira yako kupata matokeo yanayotarajiwa..wewe am baye unatoka eneo ambalo unaweza kupata barley kiurahisi tengeneza barley fodder..BT kwa wale ambao ni ngumu kupata barley wawe wabunifu kutimiza malengo pasipo kutumia gharama kubwa.let us think outside the box in order 2succeed
 
1000likes
 
Umenena vyema amazingone, mimi nilianza Siku nyingi, na Kuku wangu wanakuwa vyema, mimi huwa natumia ngano na vyombo Vya plastiki. Cha kuzingatia hapå ni kutokutumia vyombo vinavyopatå kutu. Na Hakuna ulazima Wa huzo nutrient wanatumia wakenya. Kwakua Wazungu. Wao hawatumii nutrients zozote, hutumika zaidi orgabicaly.
 
i think it is all about flexibility na uwezo wa kutumia rasilimali zilizopo ndani ya mazingira yako kupata matokeo yanayotarajiwa..wewe am baye unatoka eneo ambalo unaweza kupata barley kiurahisi tengeneza barley fodder..bt kwa wale ambao ni ngumu kupata barley wawe wabunifu kutimiza malengo pasipo kutumia gharama kubwa.let us think outside the box in order 2succeed
100000000000000000000000000000000000000000000000000000000 likessss
 
Kuna kitu hakijaeleweka hapa.

HYDROPONIC Unaweza kuotesha everything kwa kutumia maji na nutrients ikiwemo, fodder, na mbali na chakula cha mifugo unaweza otesha nyanya, na mboga mbalimbali.

KUHUSU CHAKULA CHA MIFUGO.
-Uoteshaji wa Chakula mcha mifugo umependekezwa kutumia barle kwa sababu nyingi tu

1. Haina competition kati ya binadama na wanyama means binadamu hawaitumii

2. Ndo yenye nutrients zote zinazo hitajika kwa ajili ya mifugo.

3. Umeaji wake.

NGANO

Hapa ina maanisha unaweza walisha hata kuku wanyama na usiwapatie aina nyingine ya chakula, na vile vile kwa kuku wa mayai na kazalika, hakuna nafaka nyingine ambayo inaweza tumika peke yake bila kufanyiwa suplliment.

KUTUMIA ULEZI/MTAMA/MAHINDI

Haya unaweza tumia kama uinavyo wapatia kuku majani au mchicha kwa sababu yana levo yao mfano ya protein iko chini sana na huwezi wapatia kuku wa mayai au nyama ulezi haiwezekani.

Na hata kwa Ngano bado kuna vitu huwa vina misi ingawa na kwa kiwango kidogo sana na havina madhara yoyote yale.

SO BARLE NDO PEKEE INAYO WEZA LISHA WANYAMA BILA KUWAPATIA CHAKULA KINGINE CHOCHOTE KILE, ILA KWA NAFAKA ZINGINE NI LAZIMA UWE NA CHAKULA CHAO CHA KAWAIDA PEMBENI, MFANO UKIWALISHA ULEZI KUKU WA MAYAI NI LAZIMA RATIBA YA CHAKULA CHAO IWEPO KAMA KAWAIDA NA ULEZI/MTAMA UTAWAPATIA KAMA UNAVYO WAPATIA MBOGA ZA MAJANI/MCHICHA.

So watu wasije wakachanganya vitu hapo na sehemu kama Dar ni chalenge sana kuotesha Barle hasa wakati wa joto kwa kipindi hiki hakuna shida ila kwa kipindi cha joto kwa kweli ni kazi ngumu sana.
Unaifanya kuwa ngumu sana kwa maelezo yako ila inaweza kuwa rahisi sana.

Kwa uelewa wangu kuhusu hydroplants joto sio kikwazo sana kwani Zanzibar wanaotesha mwani baharini na unastawi sana na mimea mingi ya kwenye maji paawe Baharini au Ziwani ambapo concentration ya Joto ni high degrees kwa maana ya sunlight mimea inastawi sana sababu ya maximum photosynthesis na water nutrients ambazo ni very essential kwa metabolism kwa mimea.

Mfano mzuri ni Malaysia ambao wamebobea kwenye Hydroponic na kijeografia kuna joto kali sababu ni nchi iliyozungukwa na bahari [kisiwa] so Dar wanaweza kutumia pia.

Hii technology ya hydroponic sio ya leo ni around the last of 19's na unaweza kupanda mpaka vitunguu via such tec.
 
Kwa anae hitaji kujua kwa undani juu ya kilimo cha [hydroponic] a google kilimo ni biashara atakutana na video zinazo husiana na kilimo zinaelezea kwa undani sana,kazi kwenu mkapige mtonyo, au google kilimo cha [hydroponic]
 
Mr chasha Mimi Niko hapa dar Es salaam nimeweza Kuwa innovative zaidi nimetumia millet(mtama)..kutengeneza hydroponic fodder yangu rather than barley.nimenunua mbolea(foliar fertilizer) hapahapa mjini na matokeo ni mazuri sana.nalisha Kuku na Kwale zangu kwa kutumia hii fodder.hebu jionee picha

Safi sana mkuu, hii idea yako nzuri sana

Vipi ulaji wa mifugo yako hasa kuku wanakula kwa uhuru wote bila tatizo lolote??/
 
Umenena vyema amazingone, mimi nilianza Siku nyingi, na Kuku wangu wanakuwa vyema, mimi huwa natumia ngano na vyombo Vya plastiki. Cha kuzingatia hapå ni kutokutumia vyombo vinavyopatå kutu. Na Hakuna ulazima Wa huzo nutrient wanatumia wakenya. Kwakua Wazungu. Wao hawatumii nutrients zozote, hutumika zaidi orgabicaly.
Mkuu hapo kwenye organic production ningeomba maelezo kidogo maana inaonekana ni cheap kuliko hii ya mikemikali
 
Umenena vyema amazingone, mimi nilianza Siku nyingi, na Kuku wangu wanakuwa vyema, mimi huwa natumia ngano na vyombo Vya plastiki. Cha kuzingatia hapå ni kutokutumia vyombo vinavyopatå kutu. Na Hakuna ulazima Wa huzo nutrient wanatumia wakenya. Kwakua Wazungu. Wao hawatumii nutrients zozote, hutumika zaidi orgabicaly.

Usiongee mambo kiushabiki au kwa kuhisi, Hydroponic farming haifanyiki kwenye chakula cha mifugo tu bali hata mboga ikiwemo nyanya na kazalika sasa unaweza vipi kuotesha bila hizo nutrients? na si wakenya wanao tumia nutrients bali mimi mwenyewe nalima mboga na kwa sasa nimepanda nyanya na natumia so usiongee kwa sababu ya kuongea.
 
Unaifanya kuwa ngumu sana kwa maelezo yako ila inaweza kuwa rahisi sana.

Kwa uelewa wangu kuhusu hydroplants joto sio kikwazo sana kwani Zanzibar wanaotesha mwani baharini na unastawi sana na mimea mingi ya kwenye maji paawe Baharini au Ziwani ambapo concentration ya Joto ni high degrees kwa maana ya sunlight mimea inastawi sana sababu ya maximum photosynthesis na water nutrients ambazo ni very essential kwa metabolism kwa mimea.

Mfano mzuri ni Malaysia ambao wamebobea kwenye Hydroponic na kijeografia kuna joto kali sababu ni nchi iliyozungukwa na bahari [kisiwa] so Dar wanaweza kutumia pia.

Hii technology ya hydroponic sio ya leo ni around the last of 19's na unaweza kupanda mpaka vitunguu via such tec.

Joto sio kikwazo usha fanya utafiti? Joto kari sana halifai na kw anchi zenye joto hutumia hadi AC kwa ajili ya kupooza, kukiwa na joto ni lazima upate fungus na inaweza ua hata kukusupo kuwa makini au hata mifugo
 
Katika Hydroponic Fodder Barley ndo recomended kwa sababu ndo pekee yenye all nutrients za kuweza kulisha Mifugo bila kuwapa aina nyingine ya chakula ingawa saome time unaweza.

Mazao kama
Mtama, Ulezi, uwele na kazalika zina nutrients kiwango kidogo sana hasa protein na ukiwapa lazima msosi mwingine uwepo, Hapa nazungumzia chakula cha kuweza kuwalisha kuku wa nyama na bado wakafikia uzito wa kuuzwa sokoni.
 
Ndugu sijaongea kwa ushabiki, naongea nikiwa naelewa haswaa nini nao naongea, hydroponics siyo lazima hizo nutrients kwa kuwa nchi walizoendelea zaidi wao hufanya aqualponics ambapo hulima mbogamboga halafu maji yale yale yakatumika kulisha samaki hivyo kemimikali haziitajiki, yaani mimea inalisha samaki na samaki zinalisha mimea. So muheshimiwa tecnolojia ya hyrdroponics inatumika zaidi kwa kilimo hai. Na kama huamini google tu hata wakenya wanaokuuzia Hizo Nutrients waligoogle wakachagua hiyo ya kutumia nutrients, ni vile natumia simu ningeatach picha uone ya ngu inavyostawi bila hizo nutrients. Sorry lakini kuna uzi kabla ya huu wa kwako nilimshauri mdau kuhusu hiii technologia.
 
Halo Amazingone
  • Huo mtama kwenye picha una siku ngapi toka ulipopandwa?
  • sehemu gani nzuri kuuoteshea? ndani kwenye chumba chenye hewa au hata nje kivulini

natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom