Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I think it is all about flexibility na uwezo Wa kutumia rasilimali zilizopo ndani ya mazingira yako kupata matokeo yanayotarajiwa..wewe am baye unatoka eneo ambalo unaweza kupata barley kiurahisi tengeneza barley fodder..BT kwa wale ambao ni ngumu kupata barley wawe wabunifu kutimiza malengo pasipo kutumia gharama kubwa.let us think outside the box in order 2succeed
100000000000000000000000000000000000000000000000000000000 likessssi think it is all about flexibility na uwezo wa kutumia rasilimali zilizopo ndani ya mazingira yako kupata matokeo yanayotarajiwa..wewe am baye unatoka eneo ambalo unaweza kupata barley kiurahisi tengeneza barley fodder..bt kwa wale ambao ni ngumu kupata barley wawe wabunifu kutimiza malengo pasipo kutumia gharama kubwa.let us think outside the box in order 2succeed
Unaifanya kuwa ngumu sana kwa maelezo yako ila inaweza kuwa rahisi sana.Kuna kitu hakijaeleweka hapa.
HYDROPONIC Unaweza kuotesha everything kwa kutumia maji na nutrients ikiwemo, fodder, na mbali na chakula cha mifugo unaweza otesha nyanya, na mboga mbalimbali.
KUHUSU CHAKULA CHA MIFUGO.
-Uoteshaji wa Chakula mcha mifugo umependekezwa kutumia barle kwa sababu nyingi tu
1. Haina competition kati ya binadama na wanyama means binadamu hawaitumii
2. Ndo yenye nutrients zote zinazo hitajika kwa ajili ya mifugo.
3. Umeaji wake.
NGANO
Hapa ina maanisha unaweza walisha hata kuku wanyama na usiwapatie aina nyingine ya chakula, na vile vile kwa kuku wa mayai na kazalika, hakuna nafaka nyingine ambayo inaweza tumika peke yake bila kufanyiwa suplliment.
KUTUMIA ULEZI/MTAMA/MAHINDI
Haya unaweza tumia kama uinavyo wapatia kuku majani au mchicha kwa sababu yana levo yao mfano ya protein iko chini sana na huwezi wapatia kuku wa mayai au nyama ulezi haiwezekani.
Na hata kwa Ngano bado kuna vitu huwa vina misi ingawa na kwa kiwango kidogo sana na havina madhara yoyote yale.
SO BARLE NDO PEKEE INAYO WEZA LISHA WANYAMA BILA KUWAPATIA CHAKULA KINGINE CHOCHOTE KILE, ILA KWA NAFAKA ZINGINE NI LAZIMA UWE NA CHAKULA CHAO CHA KAWAIDA PEMBENI, MFANO UKIWALISHA ULEZI KUKU WA MAYAI NI LAZIMA RATIBA YA CHAKULA CHAO IWEPO KAMA KAWAIDA NA ULEZI/MTAMA UTAWAPATIA KAMA UNAVYO WAPATIA MBOGA ZA MAJANI/MCHICHA.
So watu wasije wakachanganya vitu hapo na sehemu kama Dar ni chalenge sana kuotesha Barle hasa wakati wa joto kwa kipindi hiki hakuna shida ila kwa kipindi cha joto kwa kweli ni kazi ngumu sana.
Mr chasha Mimi Niko hapa dar Es salaam nimeweza Kuwa innovative zaidi nimetumia millet(mtama)..kutengeneza hydroponic fodder yangu rather than barley.nimenunua mbolea(foliar fertilizer) hapahapa mjini na matokeo ni mazuri sana.nalisha Kuku na Kwale zangu kwa kutumia hii fodder.hebu jionee picha
Mkuu hapo kwenye organic production ningeomba maelezo kidogo maana inaonekana ni cheap kuliko hii ya mikemikaliUmenena vyema amazingone, mimi nilianza Siku nyingi, na Kuku wangu wanakuwa vyema, mimi huwa natumia ngano na vyombo Vya plastiki. Cha kuzingatia hapå ni kutokutumia vyombo vinavyopatå kutu. Na Hakuna ulazima Wa huzo nutrient wanatumia wakenya. Kwakua Wazungu. Wao hawatumii nutrients zozote, hutumika zaidi orgabicaly.
Umenena vyema amazingone, mimi nilianza Siku nyingi, na Kuku wangu wanakuwa vyema, mimi huwa natumia ngano na vyombo Vya plastiki. Cha kuzingatia hapå ni kutokutumia vyombo vinavyopatå kutu. Na Hakuna ulazima Wa huzo nutrient wanatumia wakenya. Kwakua Wazungu. Wao hawatumii nutrients zozote, hutumika zaidi orgabicaly.
Unaifanya kuwa ngumu sana kwa maelezo yako ila inaweza kuwa rahisi sana.
Kwa uelewa wangu kuhusu hydroplants joto sio kikwazo sana kwani Zanzibar wanaotesha mwani baharini na unastawi sana na mimea mingi ya kwenye maji paawe Baharini au Ziwani ambapo concentration ya Joto ni high degrees kwa maana ya sunlight mimea inastawi sana sababu ya maximum photosynthesis na water nutrients ambazo ni very essential kwa metabolism kwa mimea.
Mfano mzuri ni Malaysia ambao wamebobea kwenye Hydroponic na kijeografia kuna joto kali sababu ni nchi iliyozungukwa na bahari [kisiwa] so Dar wanaweza kutumia pia.
Hii technology ya hydroponic sio ya leo ni around the last of 19's na unaweza kupanda mpaka vitunguu via such tec.