..I meant u should open your borders to Somalis and give them every right like Kenyan citizens.
..what rebuilding r u doing in Somalia. Mlikuwa mmelala miaka yote and u let Somalia descend into anarchy.

It is not our duty to do as you want, that is the work of the international community Tanzania included. If you feel that we have not done much for the Somalis as Kenyans then you are free to take over. We have hosted these refugees for over 20 years yet you claim that we have been sleeping. Didn't you sleep too when your neighbors Rwanda and Burundi were in turmoil?
yes tz are hypocrites, while their immediate neighbours rw burundi were in turmoil, they were they were forging alliances with the south
..I meant u should open your borders to Somalis and give them every right like Kenyan citizens.
..what rebuilding r u doing in Somalia. Mlikuwa mmelala miaka yote and u let Somalia descend into anarchy.
Ab-Titchaz,Joka kuu,
kamanda heshima mbele.
Naona unasukuma hii bahasha ya wakenya kuwafukuza wasomali kana kwamba wamekosea. hapo nd'o sasa
mwenzio umeniacha mataani.
...Kwani wakenya wamekosea? Hebu nipe darasa.
Ab-Titchaz,
..kufukuza wakimbizi ni kuvunja sheria za kimataifa zinazowalinda wakimbizi.
..hata Tanzania tuliwahi kuingia ktk "mgogoro baridi" na UN/UNHCR baada ya Raisi Mkapa kuwa-repatriate wakimbizi kutoka Rwanda.
..pia kama utakumbuka, wakati Tanzania ilipofukuza illegal immigrants hivi karibuni, SG wa EAC ambaye anatoka Rwanda, akishirikiana na maofisa habari wa EAC wanaotoka Kenya, walianza kuishambulia Tanzania kutokana na uamuzi huo. hata vyombo vya habari vya Kenya navyo vilijiunga in their assault against Tanzania.
..hoja ya SG wa EAC na genge lake ndani ya EAC, and within Kenyan and Rwandan media, ilikuwa ni kwamba Tanzania inafanya kinyume na spirit ya integration ktk eneo letu la East Africa.
..hoja zilezile ambazo walikuwa wanajenga dhidi ya Tanzania, na sisi tunazitumia ku-question uamuzi wa Kenya kuwarudisha wakimbizi wa Kisomali.
..kuna UHUNI mwingi sana unafanywa na majirani zetu. kwa mfano suala la work permits hata Kenya wameondoa fees mwezi uliopita, lakini Dr.Sezibera[EAC SG] amekuwa akitumia vyombo vya habari vya Kenya na Rwanda kuishutumu Tanzania kuhusu suala hilo, huku akiwa bubu kuilaumu Kenya.
" Kufukuza" ? Who has done that? there is surely a distinction between repatriation and expulsion. Doesn't JokaKuu notice this distinction?
What are you talking about? If UNHCR is in agreement then who are you to dispute?
Kenya signs pact for refugees return to Somalia | Capital News
What do you know about lack of peace in Somalia from the comfort of your computer. Tell that to a Somali and he will surely kick you...basically UNHCR has forced Kenya not to use force and expel Somali refugees.
..now the repatriation will be VOLUNTARY and coordinated by UNHCR, the governments of Somalia and Kenya. governments.
..and bcuz there is no peace in Somalia, it has been agreed kwamba zoezi hili litachukua miaka 3.
cc Ab-Titchaz, Nguruvi3
What do you know about lack of peace in Somalia from the comfort of your computer. Tell that to a Somali and he will surely kick you.
Huyu Sezibera alitoa madai kuwa kuyumba kwa EA kunatokana na kuondoa wahamiaji haramu. Leo amekaa kimya hakanushi maneno ya JK.Ab-Titchaz,
..kufukuza wakimbizi ni kuvunja sheria za kimataifa zinazowalinda wakimbizi.
..hata Tanzania tuliwahi kuingia ktk "mgogoro baridi" na UN/UNHCR baada ya Raisi Mkapa kuwa-repatriate wakimbizi kutoka Rwanda.
..pia kama utakumbuka, wakati Tanzania ilipofukuza illegal immigrants hivi karibuni, SG wa EAC ambaye anatoka Rwanda, akishirikiana na maofisa habari wa EAC wanaotoka Kenya, walianza kuishambulia Tanzania kutokana na uamuzi huo. hata vyombo vya habari vya Kenya navyo vilijiunga in their assault against Tanzania.
..hoja ya SG wa EAC na genge lake ndani ya EAC, and within Kenyan and Rwandan media, ilikuwa ni kwamba Tanzania inafanya kinyume na spirit ya integration ktk eneo letu la East Africa.
..hoja zilezile ambazo walikuwa wanajenga dhidi ya Tanzania, na sisi tunazitumia ku-question uamuzi wa Kenya kuwarudisha wakimbizi wa Kisomali.
..kuna UHUNI mwingi sana unafanywa na majirani zetu. kwa mfano suala la work permits hata Kenya wameondoa fees mwezi uliopita, lakini Dr.Sezibera[EAC SG] amekuwa akitumia vyombo vya habari vya Kenya na Rwanda kuishutumu Tanzania kuhusu suala hilo, huku akiwa bubu kuilaumu Kenya.
Wacha kujihusisha kwenye siasa za kimataifa wakati uelewa wako ni wa kitaa. Wasomali Kenya wanamiliki mkoa mzima, hivyo hata sio uraia pekee, wengi pia wapo kwenye ngazi za Kiserikali. Kenya imewapokea wakimbizi tokea nchi kadhaa ikiwemo Sudan Kusini, Somalia, DRC nk na tumehusika katika kurejesha utulivu kwenye hizo nchi. Wasomali walifanya kura yao ya urais ya kwanza nchini Kenya...Tanzania tumewapa uraia Wasomali wakati nyinyi mnafikiria kuwafukuza. have u ever heard about Somali bantus??
..Ethiopia, Uganda,na Rwanda, wamepeleka majeshi Somalia, wakati Kenya mpo mnastarehe.
..Msaada wa Kenya kwa Somalia ni too little too late.
Wewe mbona unalipuka bila kuwashwa, Tanzania kwa kuwapakia wahamiaji haramu hayo yalikua maamuzi yenyu na muna uhuru wa kufanya mutakacho. Hata Id Amin aliwafukuza wahindi na kuwanyonga wengine. Wasomali Kenya sio wahamiaji haramu ila ni wakimbizi. Mkimbizi huishi nchi za kigeni kwa muda hadi amani inapopatikana nyumbani basi anarejea. Amani sasa ipo Somalia na wengi wanataka rudi kwa hiari yao, na sisi hatuwapakii kwa malori kiholela, ila ni hiari.Huyu Sezibera alitoa madai kuwa kuyumba kwa EA kunatokana na kuondoa wahamiaji haramu. Leo amekaa kimya hakanushi maneno ya JK.
Yeye na genge la Wakenya wameichafua sana Tanzania kuhusu wahamiaji haramu. Jambo zuri serikali iliendelea kuwapakia katika malori bila kujali Kenya na Rwanda wanasema nini
Joka kuu Kenya inacheza politics za ajabu sana. Leo Kenya waliokuwa wanazungumzia suala la uhamaiji haramu ndio wanawafunga na kuwapiga wasomali wa kule isilii usiku wa manane kwa siri kabisa. Wasomali wengi wamepotea kiajabu hilo haliandikwi sisi tunaotembelea maeneno hayo na kule south C tunajua.
Kenya keshapata mradi wake wa miundo mbinu kwa kutumia Rwanda na Uganda. Baada ya kazi hiyo sasa anarudi kusifia hotuba ya JK kana kwamba walikuwa hawajui nini kinaendelea. Manafiki wakubwa sana hawa.
Wamegundua kuwa partner wao ni Tanzania na kwamba huko kwingine wanahanagaika tu.
Raia wa Kenya na investors wamehoji sana kuhusu EA na kama Kenya inafanya maamuzi sahihi.
Nimesoma maoni ya wasomi wao wanasosema kuwa kutosa soko la watu milioni 43 kwasababu za kisiasa kutaumiza Kenya na si Tanzania.Manafiki hawa wamegeuga tayari kama walivyofanya suala la wahamiaji haramu.
Wacha kujihusisha kwenye siasa za kimataifa wakati uelewa wako ni wa kitaa. Wasomali Kenya wanamiliki mkoa mzima, hivyo hata sio uraia pekee, wengi pia wapo kwenye ngazi za Kiserikali. Kenya imewapokea wakimbizi tokea nchi kadhaa ikiwemo Sudan Kusini, Somalia, DRC nk na tumehusika katika kurejesha utulivu kwenye hizo nchi. Wasomali walifanya kura yao ya urais ya kwanza nchini Kenya.
Sisi hatukua tunaingilia ugomvi wao, ila tulihusika kila walipotaka amani na mazungumzo, tukawapa platform. Hivi ilitulazimu kuingilia walipoanza kuhujumu uchumi wetu kwa kuwateka watalii. Tuliingia humo kwa ndege za kivita, meli na nchi kavu na kuhakikisha wahuni wamefagiliwa hadi wakabaki kujificha gizani. Sasa kuna Wasomali wengi wanataka rudi nyumbani, sio wakimbizi waliopo Kenya tuu, bali hata ulaya baadhi yao wakiwa wasomi na kadhalika.
Uraia tumewapa waliotaka, ila hamna kitu muhimu kama mtu kurudi nyumbani kwa watu wake, kuishi nchi nyingine hata kama umepewa uraia unabaki kuwa mtumwa tuu maana kuna mengi huwezi husika na zaidi hutakua na uzalendo wa kweli.
Tumia wakati wako kufuatilia taarifa za habari za kimataifa kabla hujajibu. Visa vya uhalifu vimepungua na wengi wamechoka na vita. Wakimbizi watarudi kwa HIARI - elewa maana ya hilo neno. Hakuna kuwapakia kwa lazima bila huruma, ila ni hiari...hapa tunazungumzia Wasomali walioingia Kenya kama wakimbizi.
..hao ndiyo mmepewa AMRI ya kutowafukuza, mpaka watakapoondoka kwa hiari yao, and the UNHCR is watching your government.
..kwa kifupi ni kwamba Somalia hakuna amani na wakimbizi hawawezi kurudishwa kinguvu huko.
..Tanzania tumewapa uraia Wasomali wakati nyinyi mnafikiria kuwafukuza. have u ever heard about Somali bantus??