Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 15,773
- 32,431
Wachochezi wakubwa, yakiwafika wanabadili mwelekeo. Kama unakumbuka ndio walisadia RENAMO mambo yalipokuwa mazuri ndio wa kwanza kukimbilia huko. Wakamsaidia kaburu mambo yalipokuwa poa wapo South Africa kuliko nchi nyingine ya EA...it is only recently Kenya was advocating for Somalia's admission into EAC, leo mnawafukuza Wasomali toka Kenya??
..what Kenya is about to do is against the spirit of East Africa intergration.
cc Ab-Titchaz
Magazeti ya Kenya yalikuwa mstari wa mbele kulaani Tanzania na kusema siyo spirit ya EA. Sasa sijui kwanini wanawarudisha wasomali ambao ni washirika wao wapya. Unafiki ni hulka ya Mkenya. Wanafiki wakubwa,