Hypocrite Kenyans to repatriate somalians

..it is only recently Kenya was advocating for Somalia's admission into EAC, leo mnawafukuza Wasomali toka Kenya??

..what Kenya is about to do is against the spirit of East Africa intergration.

cc Ab-Titchaz
Wachochezi wakubwa, yakiwafika wanabadili mwelekeo. Kama unakumbuka ndio walisadia RENAMO mambo yalipokuwa mazuri ndio wa kwanza kukimbilia huko. Wakamsaidia kaburu mambo yalipokuwa poa wapo South Africa kuliko nchi nyingine ya EA.

Magazeti ya Kenya yalikuwa mstari wa mbele kulaani Tanzania na kusema siyo spirit ya EA. Sasa sijui kwanini wanawarudisha wasomali ambao ni washirika wao wapya. Unafiki ni hulka ya Mkenya. Wanafiki wakubwa,
 
..do u really believe kwamba utulivu na amani vimerejea Somalia?

..pia Tanzania ilikiuka sheria za kimataifa zinazohusu wakimbizi pale ilipotumia nguvu kuwarejesha wakimbizi toka Rwanda.

..wa-Kenya[wa-Tz] hawana haki ya kulalamika ikiwa raia wao amevuka mpaka na kuvunja sheria za Tanzania[Kenya].

Sina uhakika ni kwa kiasi gani utulivu na amani vimerejea Somalia, but nadhani wadau kama UNHCR na wengine watastand better chance ya kukoment hilo. Unless mtu ana taarifa rasmi kutoka kwa neutral sources, sioni ni kwa nini aanze tu kuilaumu Kenya

Sizijui sheria za kimataifa zinazohusu wakimbizi, but naamini zinaconsider vitu vingi, ikiwamo uwezo wa hosting country. There should be a point of equilibrium; athari za ukimbizi zisizidi athari za vita inayokimbiwa and vice versa. Inawezekana waliocondemn Tz kuwarudisha wakimbizi Rwanda, hawakufanya analysis vya kutosha juu ya hilo. By the way, kuwa jirani na nchi yenye vita isiwe sababu ya kuubeba mzigo wa wakimbizi mwenyewe. Nchi zilizoendelea nazo zinakuwa very resistant kupokea wakimbizi na hao wachache zinaowapokea, ni kwa ubaguzi mkubwa... why?

Ni kweli kuwa suala la Tz kuwaondoa wahamiaji haramu lilikuwa sahihi kama sheria (na tamaduni) zilivunjwa. Nasisitiza sana tamaduni maana ingawa hazijaandikwa, lakini zina uzito wake. Unaweza kujiuliza ni kwa nini wahamiaji haramu toka Burundi for instance hawakushtakiwa (kama tunavyowashitaki waethiopia na wasomali), bali walirudishwa tu kwao?...
 
Wachochezi wakubwa, yakiwafika wanabadili mwelekeo. Kama unakumbuka ndio walisadia RENAMO mambo yalipokuwa mazuri ndio wa kwanza kukimbilia huko. Wakamsaidia kaburu mambo yalipokuwa poa wapo South Africa kuliko nchi nyingine ya EA.

Magazeti ya Kenya yalikuwa mstari wa mbele kulaani Tanzania na kusema siyo spirit ya EA. Sasa sijui kwanini wanawarudisha wasomali ambao ni washirika wao wapya. Unafiki ni hulka ya Mkenya. Wanafiki wakubwa,

Tanzania ilikuwa inadili na wahamiaji haramu, wakati Kenya inataka kudili na wakimbizi. Can you see the difference?... Naamini (actually najua) Kenya kuna maelfu ya wahamiaji haramu toka Tanzania pia...
 
Hali ya utulivu imerejea Somalia, wengi wa Wasomali waliopo Kenya wanataka sana kurudi makwao wahusike katika ujenzi wa nchi. Wamechoka na vita na hali ya kuishi kama wakimbizi ilhali nyumbani kwao waliishi kwa raha. ndio kuna changamoto za Alshabaab ambao wamebaki kuvizia gizani, hawana jipya tena, lakini hiyo sio jambo kubwa maana mradi Wasomali wa kawaida hawawashabikii kwani Alshabaab wameiharibu nchi na hawana haja na utulivu.
 
Tanzania ilikuwa inadili na wahamiaji haramu, wakati Kenya inataka kudili na wakimbizi. Can you see the difference?... Naamini (actually najua) Kenya kuna maelfu ya wahamiaji haramu toka Tanzania pia...
Spinning yao ilikuwa Tanzania inafukuza wakimbizi.
Walichotaka ni Tanzania kuchukiwa na majirani ili wapate mradi wao kama walivyofanikiwa.

Magazeti ya Kenya yakasababisha UNHCR itoe kauli ya kuwa wakimbizi wanafukuzwa.
Ushahidi ulipotolewa UNHCR ikabaki na aibu kubwa.

Ni mwendo huo huo utawaona sasa hivi wako mbele na EA ya pembeni, wakishawaingiza mkenge utashangaa wanarudi kwa Tanzania. Wanafiki hawana aibu hawa.
 
..juzi mlikuwa mnatu-condemn wa-Tz kwa kutimua illegals.

..sababu zenu zilikuwa expelling illegals goes against the spirit of integration of the EAC.

..thats why I am suprised by your decision to expel refugees frm Somalia.

..lakini hata kufukuza refugees ni contary na international laws zinazohusu watu wenye refugee status.

Ab-Titchaz,

..lakini umesahau jinsi Kenya na Rwanda walivyojifanya ni waalimu na wataalamu wa sheria za uhamiaji za Tanzania??

..hao waliokuwa wanatulaani kwa kuwaondosha wahamiaji haramu, majambazi, waharibu mazingira toka nchi jirani, leo na wao wanafanya kilekile ambacho sisi tulifanya. lakini baya zaidi wanafukuza wakimbizi, kitu ambacho ni kinyume na sheria za kimataifa.

..Kenya should practice what they have been preaching to Tanzania. wawape uraia na mapande ya ardhi wakimbizi wa Somalia waliopo Kenya.
Geza Ulole, Tuko, MUKAMASIMBA

First and foremost, you need to keep abreast with the latest developments for you appear to be totally misinformed. Kenya has not yet repatriated any Somali refugees. Note that i have used the word repatriation and not expulsion. Nobody will be expelled from Kenya unless those with criminal tendencies not in line with their stay in the country. Two, the Kenya and Somali governments have merely been in talks to see how best to return Somali citizens back to their country now that there is a semblance of peace prevailing there. It is good to note that no concrete solution has been reached yet since the two countries are still consulting. Three, this repatriation when it finally happens will be done in a manner satisfactory to both countries and in the best interest of all concerned.
 
Spinning yao ilikuwa Tanzania inafukuza wakimbizi.
Walichotaka ni Tanzania kuchukiwa na majirani ili wapate mradi wao kama walivyofanikiwa.

Magazeti ya Kenya yakasababisha UNHCR itoe kauli ya kuwa wakimbizi wanafukuzwa.
Ushahidi ulipotolewa UNHCR ikabaki na aibu kubwa.

Ni mwendo huo huo utawaona sasa hivi wako mbele na EA ya pembeni, wakishawaingiza mkenge utashangaa wanarudi kwa Tanzania. Wanafiki hawana aibu hawa.

Mwaka juzi niliwahi kuweka thread humu kwamba Wakenya ni matapeli. Mkenya akipewa project fund leo na donor, kabla hata hajaipokea hiyo hela anakuwa ameshaadnika report ya project. Na atapublish paper kadhaa za kutunga, hela anapiga mfukoni.
Watu walinipinga, but juzi kwenye sakata ka westgate waliumbuka. "We have confirmed and we are sure that no any looting by our security people than happened" Waziri anaongea kwa kujiamini hapo... Shukrani kwa teknolojia ya CCTV...

Hawa ni majirani zetu tusiwaseme vibayam but wakenya wasidhani kwamba wana moral authority ya kuwananga waTz kwa kila kitu...
 
First and foremost, you need to keep abreast with the latest developments for you appear to be totally misinformed. Kenya has not yet repatriated any Somali refugees. Note that i have used the word repatriation and not expulsion. Nobody will be expelled from Kenya unless those with criminal tendencies not in line with their stay in the country. Two, the Kenya and Somali governments have merely been in talks to see how best to return Somali citizens back to their country now that there is a semblance of peace prevailing there. It is good to note that no concrete solution has been reached yet since the two countries are still consulting. Three, this repatriation when it finally happens will be done in a manner satisfactory to both countries and in the best interest of all concerned.

This sounds exactly like what your internal affairs minister was confidently lying on media during westgate saga...
 
Kila nchi ina watu wake wenye mapungufu ya kiaina, huwezi hukumu taifa nzima kwa ajili ya wachache unaokumbana nao. Sasa hivi Watanzania wengi wanakamatwa kote duniani kwa ajili ya tuhuma za unga, ila hatuhukumu taifa nzima kwa hilo. Elewa kila mtu mzima ana mawazo yake na tofauti na wengine.
 
This sounds exactly like what your internal affairs minister was confidently lying on media during westgate saga...

Okay, pin- point the lies in my content and i shall gladly remove them. If in doubt i can provide links to reinforce what i just posted. I' am not in the habit of posting things for the sake of it. I research first. This should be the cornerstone for any sensible and self respecting member of this forum if we have to go with its slogan of "great thinkers".
 
Wachochezi wakubwa, yakiwafika wanabadili mwelekeo. Kama unakumbuka ndio walisadia RENAMO mambo yalipokuwa mazuri ndio wa kwanza kukimbilia huko. Wakamsaidia kaburu mambo yalipokuwa poa wapo South Africa kuliko nchi nyingine ya EA.

Magazeti ya Kenya yalikuwa mstari wa mbele kulaani Tanzania na kusema siyo spirit ya EA. Sasa sijui kwanini wanawarudisha wasomali ambao ni washirika wao wapya. Unafiki ni hulka ya Mkenya. Wanafiki wakubwa,

hiyo repatriation itafanyika in stages and this is differnet from expulsion. wakenya wakati wote tulidhani hali ya wakimbizi itabadilika donors wakiingilia kati. tunachoona ni hali ina zidi kuwa mbaya. licha ya donors kuigilia kati kuboresha hali ya refugee. it is practically impossible to cater for 600,000 and adding plus refugees in a camp kuwapelekea neti za umbu na vyandarua kila wakati. :-*

Shirika la UN na fulusi zote zao imeshindwa kugeuza hali ya wakimbizi, what makes you think Kenya na rasilimali yake ndogo itaweza kuboresha hali. we said this before,....the process should have started.....lakini huwa ni watu matumbo yao kwanza halafu mengine baadaye......wafisadi wamekuwa wakilala pamoja huku fulusi zikibadilishana mikono kwenye matender, only to realize that unmonitored refugees could become a potential security problem.
 
First and foremost, you need to keep abreast with the latest developments for you appear to be totally misinformed. Kenya has not yet repatriated any Somali refugees. Note that i have used the word repatriation and not expulsion. Nobody will be expelled from Kenya unless those with criminal tendencies not in line with their stay in the country. Two, the Kenya and Somali governments have merely been in talks to see how best to return Somali citizens back to their country now that there is a semblance of peace prevailing there. It is good to note that no concrete solution has been reached yet since the two countries are still consulting. Three, this repatriation when it finally happens will be done in a manner satisfactory to both countries and in the best interest of all concerned.

..why dont u grant those refugees Kenyan citizenship instead of locking them in refugee camps for over 20 yrs?

..unaona roho zenu zilivyo za kikatili. wakimbizi wa Burundi waliokuwa Tanzania tuliwapa uraia.
 
hiyo repatriation itafanyika in stages and this is differnet from expulsion. wakenya wakati wote tulidhani hali ya wakimbizi itabadilika donors wakiingilia kati. tunachoona ni hali ina zidi kuwa mbaya. licha ya donors kuigilia kati kuboresha hali ya refugee. it is practically impossible to cater for 600,000 and adding plus refugees in a camp kuwapelekea neti za umbu na vyandarua kila wakati. :-*

Shirika la UN na fulusi zote zao imeshindwa kugeuza hali ya wakimbizi, what makes you think Kenya na rasilimali yake ndogo itaweza kuboresha hali. we said this before,....the process should have started.....lakini huwa ni watu matumbo yao kwanza halafu mengine baadaye......wafisadi wamekuwa wakilala pamoja huku fulusi zikibadilishana mikono kwenye matender, only to realize that unmonitored refugees could become a potential security problem.
Tanzania na rasilaimali zake ndogo umewahi ku host 2 Millions refugees. Gharama zilikuwa kubwa kuliko bajeti ya wizara ya elimu ya Tanzania.

Tuliwapa wakimbizi 160,000 uraia kwa siku moja na kuvunja rekodi ya dunia.
Tumewapa uraia na wengine wamekimbia na kuingia mitaani. Hao ndio tunawaita wahamiaji harama kwasababu hawana status. Kenya na media zake wakafungua midomo na kuilani Tanzania. Leo wanataka kuwafukuza wakimbizi na wala siyo wahamiaji haram. Huu ni unafiki mkubwa sana wa majirani zetu wa Kenya.

Wao kazi yao kubwa ni kutaka kuipaka Tanzania matope leo wanabadilika na kufanya kile kile walichoilani Tanzania.Manafiki wakubwa sana Wakenya.
 
..why dont u grant those refugees Kenyan citizenship instead of locking them in refugee camps for over 20 yrs?

..unaona roho zenu zilivyo za kikatili. wakimbizi wa Burundi waliokuwa Tanzania tuliwapa uraia.

We cannot grant them citizenship status when they still harbor ambitions of returning home. Who are we to deny them this right?
 
Tanzania na rasilaimali zake ndogo umewahi ku host 2 Millions refugees. Gharama zilikuwa kubwa kuliko bajeti ya wizara ya elimu ya Tanzania.

Tuliwapa wakimbizi 160,000 uraia kwa siku moja na kuvunja rekodi ya dunia.
Tumewapa uraia na wengine wamekimbia na kuingia mitaani. Hao ndio tunawaita wahamiaji harama kwasababu hawana status. Kenya na media zake wakafungua midomo na kuilani Tanzania. Leo wanataka kuwafukuza wakimbizi na wala siyo wahamiaji haram. Huu ni unafiki mkubwa sana wa majirani zetu wa Kenya.

Wao kazi yao kubwa ni kutaka kuipaka Tanzania matope leo wanabadilika na kufanya kile kile walichoilani Tanzania.Manafiki wakubwa sana Wakenya.

It is not a must that we have to follow your example. Tanzania is not Kenya and vice versa. Second, the said refugees have never requested citizenship status for they still harbor hopes of returning home. The case for the Burundians was different, they never wanted to go back home.
 
Tanzania na rasilaimali zake ndogo umewahi ku host 2 Millions refugees. Gharama zilikuwa kubwa kuliko bajeti ya wizara ya elimu ya Tanzania.

Tuliwapa wakimbizi 160,000 uraia kwa siku moja na kuvunja rekodi ya dunia.
Tumewapa uraia na wengine wamekimbia na kuingia mitaani. Hao ndio tunawaita wahamiaji harama kwasababu hawana status. Kenya na media zake wakafungua midomo na kuilani Tanzania. Leo wanataka kuwafukuza wakimbizi na wala siyo wahamiaji haram. Huu ni unafiki mkubwa sana wa majirani zetu wa Kenya.

Wao kazi yao kubwa ni kutaka kuipaka Tanzania matope leo wanabadilika na kufanya kile kile walichoilani Tanzania.Manafiki wakubwa sana Wakenya.
Kenya tuliwasaidia jamaa hawa wakapata Provisional Constitution, tukawasaidia kutengeneza bunge, hapo tukazidi kuhusika katika kuhakikisha uchaguzi wakapata rais na waziri mkuu. Tumewakomesha maharmia waliokuwa wanawasumbua. Wengi wamerudi nyumbani kwa hiari yao.
Hivi sasa tumewapa wengi uraia wanaotaka na wengi sasa ni raia na wanahusika katika ujenzi wa taifa. Wengi wa wakimbizi wanatamani sana kurudi lakini kwa mikakati na ndipo serikali yao ndio inaongoza kwa hili. Kenya hatuna kauli za kuwapakia wahamiaji kwenye malori kwa hasira. Mambo haya yanafaa kufanywa kwa jinsi za kibinadamu.
 
We cannot grant them citizenship status when they still harbor ambitions of returning home. Who are we to deny them this right?

..what Tanzania did with Burundi refugees was to offer them citizenship. some jumped on the opportunity, and the rest opted to return to Burundi'. I think Kenya, when dealing with Somali refugees, should emulate what we did in Tanzania.
 
I doubt emulating Tz on this would be a good idea, Burundi and Tanzania don't offer dual citizenship like we do in Kenya. Meaning everybody had to erase their previous citizenship first. You have no idea how it feels living in a foreign country whether granted citizenship or not, you'll always feel inadequate. The best option is to empower people to go back home and help them rebuild their nation. Don't pack them inhumanely on lorries, but participate with them throughout the whole process. Let themselves do it within their own paces, walk and work with them, feed them.
 
Even Rwanda was not yet ripe for integration with the three founders of EAC.Its only M7 under his expansionism theory who influenced this.We are now paying the price.

QUOTE=livefire;7732661]#ugaidi na kuwafukuza wakimbizi ni vitu viwili tofauti sana, mje kwa boma langu kunilipua alafu niwape radhi eti nyinyi wakimbizi tu? tangu lini? #tumia_busara …

Somalia haijakomaa ya kutosha kuingizwa katika muungano wa EAC. Kimiundo msingi, kiusalama, na muhimu hawana soko lolote kwa sasa.

in summary, #we can never have free trade/movt of people with Somalia till the lax security situation is checked. till she conforms to all EAC rules, at least majority of em if not all. she remains to be a future plan.[/QUOTE]
 
Kenya bado haijafikia kiwango cha kuwafukuza wageni, hivi sasa sehemu ya Gikomba imejaa Watanzania utadhani ni Dar, wameachwa watafute riziki. hiyo ndio taswira nchi yote, kuna Watanzania wengi wanapiga biashara
zao bila kuonewa. Kenya is the first country to abolish work permits for EAC citizens, Rwanda has followed suit. I am so glad of this openness by my country, we are going places and soon will be a huge giant. Somalis do appreciate the hospitality we have accorded them despite their challenges. We have welcomed them to trade and integrate with us, just a matter of black sheep amongts them who will be dealt with. You can't be hostile to your neighbors and at the same time wonder why you languishing in poverty. As soon you teach your people to discriminate against foreigners, that spirit will engulf them and soon they will discriminate against each other.
Unataka tuhesabu jinsi wakenya wakivyojaa tz kuanzia kwenye brothels hadi maofisini na magulioni.
 
Back
Top Bottom