I am addicted to sex

Status
Not open for further replies.
kazi ikimshinda huyo muhusika, nipo hapa wa kumsaidia
 
Kipenzi embu jibu hili swali la nyongeza: hiyo simple harmonic motion huwa unafanya na mtu mmoja ama kijiji kimepangwa.
NB: Kuwa honest nikusaidie.
Hahaha Simple harmonic motion ni watabe tu ndo tumekuelewa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Daaaah, Mhenga mwenzamgu umenisisimua mpaka nikemkuwa Kama vile niko under 30's! Sijui tutasaidianaje?
 
Sasa kama huwezi kuongea hata Wazazi wako mwemyewe unaweza kuongea na nani Dunia hii? Inaelekea basi matatizo yako ni makubwa zaidi na sidhani kama mwenyewe unaweza kutatua, anza kujenga imani kwa Wazazi kwanza ili ukiwa na tatizo waweze kukusaidia.
Eh jmn nyie give us a break
Namwambiaje mama au baba kuwa napenda kufanya mapenzi kupitiliza
 
Eh jmn nyie give us a break
Namwambiaje mama au baba kuwa napenda kufanya mapenzi kupitiliza


Mleta mada amesema ni genetics yaani ni tatizo la kurithi hivyo Wazazi ni lazima watakuwa wanalijua kwa maana kwa kawaida Mwanamke mwenye high sex drive huwa ana shida na mahusiano na hubadilisha sexual partners mara kwa mara hivyo Wazazi ni lazima watahisi tatizo na hata wanaweza kukuuliza kwanza.

Hata kama hukai na Wazazi watu uliokaribu nao ni lazima wataona kuna kitu hakiko sawa.
 
Then wazazi watakusaidiaje kwa mfano?..
Bora kumuona therapist
I feel mzazi ana conflict of interest..kitamaduni huwa hatuongelei ufanyaji mapenzi na wazazi
I dnt knw abt u but i dont roll with my parents like that
Ukiwa hujaolewa atawonder na km umeoleea atawonder zaidi..
 

Ndicho nilichomshauri kwamba akatafute ushauri kwani mara nyingi Wanawake wa hivyo huwa inakuwa walibakwa utotoni na hivyo kujiona kwamba hawana thamani ni kama tu watoto wa kiume ambao ni mashoga wengi wao walikuwa dhaifu wkt wakiwa wadogo hivyo wale vijana watundu wakawaonea na kuwalazimisha kuwaingilia sasa wakafanya mara nyingi na kuzoea hivyo kuamua kuendelea kwani wanakuwa na trauma ambayo hawawezi kuikabili, ...
 
To be honest there is nothing wrong with you..
Some tumeumbwa hivyo
I used to suspect i have quite a drive then was seeing a doctor one day akanieleza the same alivyoexamine baadhi ya vitu kwny mwili

And i have accepted and embraced myself kabisaa
Dawa yake is a partner anaependa mchezo kama wewe..and i just have ONE
Try to sample a Man who likes that..most men do
Hutojutia cause atakuhitaji na wewe hutojibana miili inahitaji for both of you


Kuhusu kazi
Get a job ama biashara stick to it
Usione dhambi kufanya sio dhambi mama
Kikubwa STICK TO UR HUSBAND/ONE MAN ONLY..ukimpata ambae yuko hyped kama wewe hivo mtaelewana mnooo na kufanya na mpenzio anytime frm morning,lunch breaks mara moja moja na jioni ndo mapenzi yenyewe
Ukiwa na Mwanaume who is hyper js like you it will never feel awkward hata siku moja...it always be mutual
 

Jmn hatujawahi kubakwa wala kushikwa wengine
Binafsi i was bikra til 21
Sina any kind of sexual trauma
 
Mi nilikuw addicted na masterbation.Aisee ila ilo lako ata ukiwa na mke bado sio tiba.Siku ukifa nadhani ndo utaacha vumilia tu mkuu
 

Shida yake
High libido comes with other male traits like
Over confidence,traits za kiume tu kama kukaa,kuongea,maradhi ya ngozi,ndevu.,look ya kiume somehow etc
So kadri mtu unavokua ndo unazidi kujielewa jinsi ulivyo

Uzuri unaweza ukajitengeneza to be the woman u want
Mfano una behave au unakaa kianaume smtimes bila kujijua
Dawa yake observe hio tabia and try to do what normal women do

Mf we ndo unawahi kuomba mchezo
Dawa:jikaze usiombe kabisaa kwa maneno..we deal na vitendo tu like normal women...mf mvalie nguo fupi sn/see through mkiwa wawili

Mf una tabia ya ujasiri uliopitiliza hata ktk mazingira yasiyohitaji ujasiri huo
Dawa:ishi kuendana na mazingira na hali..be strong only when needed or faced with danger
Otherwise relaaax and enjoy life


Maisha ni safari ndugu zangu
Always learning..
 
Hili ni tatizo linatukumba watu wengi tusiokunywa pombe, kuvuta sigara ama kutofanya mazoezi, hata kama una majukumu kuna muda wa kupumzika kama kulala nk, huo muda sasa kichwa kinawaza kuliwa tu, nyege zinapanda mpaka unajikuta unajirembulia mwenyewe tu

Nini kifanyike sasa!! Ni kumpa mzee agonge shida inakuja km mzee yuko biiize na hajakusoma au nae ndo wale wa kimoja anaanza kukoroma
 
Na huwa mnakuwa na gubu kweli mkiwa na genyeee
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…