I am seriously sick but for this let me write for the sake of Tanganyika… Watanganyika Mmelala mnoo tunajua mengi!

I am seriously sick but for this let me write for the sake of Tanganyika… Watanganyika Mmelala mnoo tunajua mengi!

Mkuu hapa ni kama unazuia mafuriko kwa mikono.

Ushauri:
Kwa vile ninaona mara nyingi kwenye mabandiko yako unatetea utawala na kutaka utulivu wa nchi, basi, geuza mwelekeo urudi kwa hao watawala waambie watafute MARIDHIANO ya haraka na wananchi(kwa njia yoyote wanayoweza) kabla ya 9/12.

Hii hali inaonekana kama mzaha ila mwisho itakuja kutumbua usaha.
Njooni hiyo tarehe 9/12 mtachezea shaba kama kawa. Hatuwezi kuacha nchi yetu iwe destabilised
 
Njooni hiyo tarehe 9/12 mtachezea shaba kama kawa. Hatuwezi kuacha nchi yetu iwe destabilised
Tutakuja well armed,yeyote atakayeingilia njia zetu atageuka vumbi au vipande vya fresh,nyinyi genge la Samuya December, 09 kaa mbali nasisi au muungane na sisi tukamuue na kumuangamiza nduli iddi amin mamaa Samuya
 
Huyu mbwa ni mnyama sana...na sio rahisi niwaambia kumuangusha(mambo mengi ya giza na secret societies) ila naamin kila kitu kina mwisho....yeye ndio mzizi kwenye mti ama list of shame...
Huyu mchawi tu Hana jipya zaidi kwenye thinking

Yaani wenzie anawaua kwa uchawi Basi lkn sijui Mambo mengine Ni mweupe

Aliacha mjini Ikulu ndio yanalitesa Taifa mpaka leo

Lakini nakwambia atakuwa na mwisho mbaya Sana soon na majini yake yote na ya samia yataanguka
 
Njooni hiyo tarehe 9/12 mtachezea shaba kama kawa. Hatuwezi kuacha nchi yetu iwe destabilised
Ok sawa.
Nilidhani wewe ni mtu mwenye uwezo wa kufanya jambo.
Kwa bandiko lako hili nimekupata vizuri.
Enjoy your time!
 
Huyu mchawi tu Hana jipya zaidi kwenye thinking

Yaani wenzie anawaua kwa uchawi Basi lkn sijui Mambo mengine Ni mweupe

Aliacha mjini Ikulu ndio yanalitesa Taifa mpaka leo

Lakini nakwambia atakuwa na mwisho mbaya Sana soon na majini yake yote na ya samia yataanguka
2015 lilikua liwe anguko lake lakini akafanya umafia flan kua ashawishi chama kimchague mtu aliemtaka ambaye atakiinua chama na kuikoa nchi ilipokua inaenda shimoni, akafanikiwa,.lakin Sasa akaona amweke "mole" wake Incase ya jambo lolote likitokea ..na kweli yakatokea ya kutokea, kwaio mpango akausuka mwenyewe mwamba na ukorofi wake wa kutosikia ama kutilia.maanani taarifa za kiinteligensia likampata la kumpata....

Traore wa burkina Faso alisalimika kwa kumuamini kijana Mdogo tu wa mtaani..sembuse mwamba aliletewa taarifa za warning na watu wazito...akapuuzia...imekua historia...akaharibu mchakato wa kwenye chama akampitisha kwa nguvu "mole" wake ...ila Mungu wa ajabu mwisho u karibu..., "mole" atataka mwanae awe mtawala, ..mchawi atataka nae mwanawe awe mtawala...sijazungumzia na wengine ...niishie hapa...
 
Japo ni chungu lakini ukweli ni kwamba ni "ZAMU YAO" wakati upinzani ukilia katiba mpya na rais apunguziwe madaraka CCM Tanganyika na Marais wenye asili ya Tanganyika waliwafunga watanganyika wenzao na kuwaua bila aibu!!

Sasa wazanzibari wameingia lazima wateme sumu coz marais wa tanganyika waliwatesa Dana wazanzibari nyakati za uchaguzi na kumwaga damu yao kila kukicha!!

Leo watanganyika wanaccm wanalia kilio kikuu Cha uzembe wao wenyewe was kutowasikiliza ndugu zao wapinzani na kilio Chao Chao katiba mpya!!

Japo ni chungu sana lakini Samia kama Rais ana haki ya kufanya chochote kile kama Marais wenye asili ya tanganyika walivyokua wakifanya Kwa wazanzibari!!

Tukae kimya tulii kama Zanzibar walivyotulia wakati ule

Hakuna namna!!

Mungu ibariki Tanzania!
 
"Mzee" anaogopa sana but anajaribu kunipa tumaini hapa. Ngoja ngoja tuone
 
Aliyesababisha yote haya ni Julius Nyerere,kisa kupenda madaraka na kuwa Rais wa JMT.Kumbuka kipindi cha Nyerere makamu wa Rais walikuwa watanganyika .Julius alipoacha Urais akatuachia katiba ya sijui Rais akiwa mtanganyika basi makamu awe mzenji na the other way around. Binafsi hakukuwa na sababu za kuungana na Zanzibar kabisa,sababu kuu ni ndoto za Julius kuwa Rais wa territory kubwa.Kenya walimkatalia .Julius alitaka miungano ila aliiimpozi yeye ndo awe Rais wa muungano.
Sawa huyo mtu hayupo kwa sasa, ata tumlaumu vipi haisaidii kitu. Muhimu ni tunajikwamua vipi?
 
Back
Top Bottom