I am seriously sick but for this let me write for the sake of Tanganyika… Watanganyika Mmelala mnoo tunajua mengi!

I am seriously sick but for this let me write for the sake of Tanganyika… Watanganyika Mmelala mnoo tunajua mengi!

Ulishindwa wewe ila Umma wa Tanganyika bado haujashindwa, hata uhuru wa Tanganyika haukupatikana siku 1, tutapambana leo, kesho, kesho kutwa mtondo, mtondogoo, wiki na hata mwezi hakuna kukata tamaa wala kurudi nyuma mpaka tufanikiwe.
Safi sana

Kama ilivyokuwa tarehe 29.10.2025
Niliandamana na kuzuia uchaguzi mtaani na katani kwangu pekee yangu .
Tarehe 09.12.2025 nitafanya hivyo pekee yangu
 
Kikwete hana akili za ziada. Alimtumbukiza Mama Kizimkazi kwa shughuli maalumu ambayo wametekeleza pamoja na group lao na mtayarishaji wa picha ile ni Membe ambaye tayari ameshatolewa kwenye reli, na wenye siri hizi ni wao hivyo Mama Kizimkazi anajeuri kubwa ya kutenda atakavyo kwakua ni 'Asset Kubwa' wa mtandao ila Mkwere hakujua yangefika huku yalikofika sasa.

Msikilize Lipumba hapa anavyosema, na anachosema kina mshiko.

View: https://x.com/RahmaMwita/status/1987525291883819323

Mama Kizimkazi alianza na mambo ya Uchifu kurudisha na kujenga ukabila bara na Mkwere alitoka hadharani kukemea hilo na likaishia hewani
Rejea: Kikwete ashangazwa kurejewa mikutano ya machifu

So, nidhahiri Maza Kizimkazi yupo kuivuruga Bara kwa udini na mambo mengine.


View: https://x.com/JomanKennedy/status/1970175608291279217

Ndio maana nakwambia hii game tayari tumeshinda kwakua, wazee wa mtandao wameshaona itakuwa soo na Mama Kizimkazi kwakua ni 'Asset' na ni compromised asset ni lazima mshumaa wake uzimike mapema sana.
Ni mirrale akimaliza hii miaka mitano.

Maskini Samia , sijui kama atatoboa. Lipumba kammaliza
 
Wewe mtu kwa kuandika habari za uwongo naona umekubuhu. Alieyesambaratisha NCCR ni Joseph Selasini, mchagga kutoka Rombo.

Acha kujenga chuki kwa Watanzania dhidi ya Serikali yao.

Najuwa unaumwa kwa sababu unabii/ utabiri wako wa mambo mengi umefeli. Unajifanya eti una nyeti za ndani, kumbe uzushi tu
Mkuu hapa ni kama unazuia mafuriko kwa mikono.

Ushauri:
Kwa vile ninaona mara nyingi kwenye mabandiko yako unatetea utawala na kutaka utulivu wa nchi, basi, geuza mwelekeo urudi kwa hao watawala waambie watafute MARIDHIANO ya haraka na wananchi(kwa njia yoyote wanayoweza) kabla ya 9/12.

Hii hali inaonekana kama mzaha ila mwisho itakuja kutumbua usaha.
 
Wewe kmbaako huu ni usenge wako unaleta wa kimavimavi...
Badala ya kuja na facts za kusaidia kumfungulia mashtaka huyu mwizi wa kura na muuaji wa wananchi, unakuja na theory za kimkundu kuleta chuki na wananchi wa Zanzibar, wakati hao wazanzibari wenyewe walishauliwa sana na polisi na wanajeshi wa kutoka bara miaka nenda rudi ya uchaguzi, lakini hawajawahi kujenga chuki na wananchi wa bara binafsi zaidi ya kuishutumu CCM yenyewe, kumaalammako......
hata usemeje hiki kisasi tutalipa tu kwa wazanzibar hata kama sio leo labda samia awe rais wa kudumu vinginevyo mmekwisha
 
Tufanye wewe ndio mkunda umezungukwa na watu hawa, ungefanya nini..?
1. Rear Admiral Ameir Hassan aliteuliwa kuongoza Kamandi ya Jeshi la Wanamaji kuanzia Okt 2023 hadi sasa.
2. Kwa sasa Kamandi ya Jeshi la Nchi Kavu ipo chini ya Meja Jenerali Fadhili Omary Nondo kuanzia tarehe 28 Disemba 2022 akipokea kijiti hicho toka kwa Meja Jenerali Antony Chacha Sibuti (Mstaafu).
3. Meja Jenerali Shabani Mani aliteuliwa kuwa Kamanda wa Jeshi la Anga kuanzia tarehe 23 Aug 2021 hadi sasa..
4. Mkuu wa Kamandi ya Vikosi Chini ya Makao Makuu ya Jeshi Meja Jenerali Iddi Nkambi
5. Meja Jenerali Rajabu Mabele Mkuu wa JKT kuanzia tarehe 19 May 2021 hadi sasa
6. Chief of Defence intelligence Mbaraka Mkeremy
7. Chief of Staff Salum Haji Othman
Lazima uwe mpole..
 
Huu ujumbe niliuandika na kumpa mtu mashuhuri auchalaze sehemu Ila ame delay nauleta mwenyewe

Ni week ya 3 sasa am sick ila na recover

Naandika kwa umakini Uzi usifutwe au ukawaletea matatizo JF

Inashangaza kuona kwa level ya kutokuwaamini Watanganyika, kuna baadhi ya Viongozi hasa wa Jeshi na ndani ya CCM wameamua kutumika kuhalalisha kilicho wazi kabisa cha Mhaini Suluhu Hassan kutumia baadhi ya Wazanzibari kutekeleza AZMA yake.

1. Waliohusika kwenye kuuza bandari kwa DP world wengi walikuwa Wazanzibari. Akianzia Mhaini mwenyewe, mpaka aliyekuwa Waziri wa Uchukuzi kipindi kile Mbarawa. Kumbuka hawakuuza za bandari za Zanzibar. vikao vilianzia dar Kisutu wakamalizia Kizimkazi, John wa Saphire Hotel unajua

2. Waliohusika kufungua kesi ya kuifungia Chadema walikuwa Wazanzibari. Aliyeshitaki alikuwa Said Issa Mohammed, na Jaji alikuwa Mzanzibari. Hii iko wazi na walipewa na Pesa sh 120M kuendesha shughuli zote za kesi na pesa ilipitia kwa KASABO

3. Walihusika kufungua kesi ya kukamatwa kwa viongozi wa Chadema walikuwa Wazanzibari, wakiongozwa na Said Issa Mohammed tena.

4. Waliohusika kuvuga NCCR Mageuzi na kumtoa Mbatia kwa vikao vilivyotengenezwa na TISS, ni Wazanzibari wakiongozwa na Haji Ambar Khamis (Mzanzibari) ambaye ndiye alifadhiliwa kufanya hayo mapinduzi.

5. Hata walipokuwa wanapanga kufanya hijack ya uchaguzi ndani ya CCM,(Suala letu la July July)Mhaini alienda kujificha Zanzibar kariba mwezi wakipanga na Wazanzibar wengine jinsi ya kujiteua. Waligawa hela sana kufanikisha hilo.

6. Ambaye amepanga maangamizi ya Watanganyika ni Abdul akishirikiana na Haji Omar Kheir (Mshauri maalumu) wa Mhaini.

7. Waliotekeleza mauaji kwa kiasi kikubwa walikuwa KMKM ambao wote ni Wazanzibari.

Hii ni hatari sana. Na wale wenye nguvu ya kufanya jambo kurekebisha hali hii, wamekaa tu wakiona Watanganyika wanauwawa na rasimali zake zikimalizwa.

Somebody must wake up!

Britanicca
Painful truth, ila siku zote nimekuwa nikisema Watanganyika uzoba umezidi na ni aibu kubwa kwa Mtanganyika ku-support mfumo ambao kwa makusudi unanyonya, unatesa na unakandamiza Watanganyika na Tanganyika kwa ujumla wake.
 
Samia ni mtu wa hovyo: na wazanzibari wana upuuzi wao wa wanadharia za uungwana na utwana.

Pamoja na upuuzi wao yenyewe yamejaa bara kwenye ardhi yetu, ilhali kwao hawatutaki.

Tanga mjini kwenye uchaguzi huru ACT au CUF inashinda kirahisi kwa sababu kumejaa wapemba (population ya tanga mjini ni watu wa visiwani); wakati kwao hawatutaki.

Lakini ni ujinga kudhani Zanzibar wanajeshi lakuja kuuwa raia wa Tanzania.

Kuamini Zanzibar wanajeshi lao maana yake hujui siasa za Tanzania, wala katiba ya Tanzania na namna maswala ya ulinzi yalivyo.

Maswala ya ulinzi sio devolved, Zanzibar hawana vyombo vyao vya ulinzi, hayo mambo sio decentralised.

Ni ujinga kusema kuna kikosi kutoka Zanzibar kililetwa bara kutoka Zanzibar; kuja kufanya mauaji.

Kusema hivyo maana yake hujui hata siasa za nchi yako.

Samia ni taahira na genge lake la wahuni ni wauaji; but let’s be realistic on the atrocities they have committed.

Hii mijamaa ina tamaa na mali na mauaji, hatuwezi isamehe kamwe.

But let’s build a realistic case against them, for what evil they are.
..ni zaidi ya upumbavu wa yule anayesema zanzibar wana jeshi lao, kudhani masuala ya ulinzi sio devolved km unavyodhani! wako devolved na wana jeshi lao sawa tu mambo mengine ambayo wamefanya bila kujali katiba inasema nini, wewe baki na huo ujinga ulio nao.
 
..ni zaidi ya upumbavu wa yule anayesema zanzibar wana jeshi lao, kudhani masuala ya ulinzi sio devolved km unavyodhani! wako devolved na wana jeshi lao sawa tu mambo mengine ambayo wamefanya bila kujali katiba inasema nini, wewe baki na huo ujinga ulio nao.
Ukielewa maswala ya taifa, katiba na central government issues; ndio utaelewa merit ya hoja.

Msilazimishe mambo ambayo hayapo just to justify your narrative. Hakuna Jeshi la Zanzibar.

Sasa aina maana Samia sio muuaji au janamke katili, lenye roho mbaya, uchu wa madaraka na mali.

But have merit on the accusations.
 
Huyu mbwa ni mnyama sana...na sio rahisi niwaambia kumuangusha(mambo mengi ya giza na secret societies) ila naamin kila kitu kina mwisho....yeye ndio mzizi kwenye mti ama list of shame...
Yale mauaji yalikuwa ni kafara ya wazi kabisa.
 
Ukielewa maswala ya taifa, katiba na central government issues; ndio utaelewa merit ya hoja.

Msilazimishe mambo ambayo hayapo just to justify your narrative. Hakuna Jeshi la Zanzibar.

Sasa aina maana Samia sio muuaji au janamke katili, lenye roho mbaya, uchu wa madaraka na mali.

But have merit on the accusations.
katiba ipi kwanza unayofanyia reference..? hakuna katiba hapa, wamefikia kufanya genocide km hii bado una ndoto kuna viongozi wanafuata katiba hapa? labda ni mgonjwa! Bandari za bara walipopewa dp world zikaachwa za zanzibar..haihusu central government issues? KWELI - Bandari ni Suala la Muungano
 
Nyie moyo unauma sana.. niko sad mda wote!
Mind you sijapoteza ndugu wala mtu yeyote naemfahamu kwenye maandamano haya, hao walofiwa je?? Wasojua ndugu zao waliko?
Bado nna imani na Mungu hawezi kutuacha tuaibike na kuumia hivi bila makosa.
 
katiba ipi kwanza unayofanyia reference..? hakuna katiba hapa, wamefikia kufanya genocide km hii bado una ndoto kuna viongozi wanafuata katiba hapa? labda ni mgonjwa! Bandari za bara walipopewa dp world zikaachwa za zanzibar..haihusu central government issues? KWELI - Bandari ni Suala la Muungano
Kabla ya kutaka kuanza mijadala ya siasa jifunze elementary politics.

Ain’t no one got time to entertain mambo unayotoa kichwani kwako.
 
Kabla ya kutaka kuanza mijadala ya siasa jifunze elementary politics.

Ain’t no one got time to entertain mambo unayotoa kichwani kwako.
..huhitaji elementary politics kwa mambo yako wazi..huo ndio ujinga umewajaa.
 
Labda hawana itikadi za kuiba vya zanzibar. Lakini vya Tanganyika havina mwenyewe kwanini wasikwapue?
Unapoishiwa hoja huwa unatafuta vishingizio. Hivi wale mulowaonesha wanabeba mitunhi ya gesi ya kuiba, waliochoma mabasi ya mwenfokasi na kuchoma moto maduka, majumba na magari ya watu binafsi ni Wazanzibari?

Namshukuru Mungu kwamba sasa Watanganyika wameokoka kwelikweli.
 
Back
Top Bottom