I am seriously sick but for this let me write for the sake of Tanganyika… Watanganyika Mmelala mnoo tunajua mengi!

Chawa wa Abdul mna shida sana mnatetea watu wanaoibagaza nchi yetu kwa kuhongwa vijisenti hamfikirii keshokutwa ya Taifa hili. Shame on you !!!
 
...
Weka record vizuri ni 10,000+... na hilo ni kadirio la chini
 
Mungu nisaidie
 
Bongo kila mtu kwenye kitengo ana mambo meusi kama sio ulafi wa pesa ya umma basi umafia wa kuumiza wengine...

Tusiwape sana lawama wazenji wakati sisi wenyewe tuna upoyoyo uliotufanya tuwe hapa...

Wageni wengine wowote wanatembea kwenye njia hizo hizo za udhaifu wetu...
 
Kwa hali ilivyo hivi sasa, Muungano unakwenda kutamatika soon.
 
Wakiondoka wazenji tutaanza kulaumiana wenyewe kwa wenyewe ndio udhaifu wetu huu binaadamu. Tulilaumu wakoloni tukasema tujitawale wenyewe sasa aliepo madarakani hataki kuachia kawa yeye mkoloni. Na tusiokuwa na madaraka tumebaki kulalama
 
Chawa wa Abdul mna shida sana mnatetea watu wanaoibagaza nchi yetu kwa kuhongwa vijisenti hamfikirii keshokutwa ya Taifa hili. Shame on you !!!
Mimi siwezi ni kawa chawa wa mtu yeyote, hata Abdul namsikia tu mitandaoni, kikubwa natoa ushauri unaosaidia watu wasiingie matatizoni bure kwa kufuata mkumbo.

Najuwa wewe unabeza lakini wengi nawaokoa kwa kuonyesha madhara ya misuguano na Serikali
 
Hakuna kitu wazibar wanatidharau kama kukumbatia muungano wa upendeleo. Hakuna mzanzibar anataka mtanganyika afaidike na mali za Zanzibar. Na ukitaka kuamini leo hii isemekane viongozo wa Zanzibar wanaweza kutokea Tanganyika, na watanganyika wamiliki ardhi Zanzibar. Wanatuona sisi ni makubwa jinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…