I am seriously sick but for this let me write for the sake of Tanganyika… Watanganyika Mmelala mnoo tunajua mengi!

Exactly
 

Hivo mnavozungumza ni kama wazanzibari walitangaziwa masokoni kuwa twendeni mkaue watanganyika, lakini sivo hivo
HII NI CHUKI IMEPANDIKIZWA KUSUDI DHIDI YA WA ZANZIBAR
KILA KITU WATU WANAJUA KUWA NI CCM ILIYOFANYA HAYA, LAKINI SASA KWA VILE WATU WANA CHUKI NA WA ZANZIBARI NI KIBAO KIMEGEUKA KWA WA ZANZIBAR.
MTU CHUKI IKIMZIDI HUWA HATA AKİLİ HUMRUKA.
WATU WANGEKUWA HAWANA CHUKU HII FIMBO TULOPIGWA NA MUNGU TUNGETAFAKARI
LAKINI NDIO KWANZA CHUKI INAZIDI KUPANDIKIZWA KAMA VILE MTU WA BARA HATA MMOJA HAHUSIKI NA HAYA MAUAJI.
THIS IS NOT RIGHT
 
Tumeshindwa kutumia uchawi, bunduki tutazito wapi?
 

KMKM waliize kisasi cha emba kwa kipi? wakati wao wenyewe hata majuzi tu 2020 wameuwa watu pemba. huko pemba hawatakiwi hata kuonekanwa
 
Broo waliokufa juzi ni watu waliotoka kuupinga huo mfumo ulioyatekeleza hayo yooote ama ulitaka Gen Z aandamane akiwa tumboni mwa mama yake? Vijana jasiri wa kitanganyika waliokufa hawakuwako nyakati hizo...
Wote twapigania haki iwe ya watj wa Zanj ama Tanganyika haki haina utaifa wala Rangi haina dini pia haki ni asili brother.
 
Ni ngumu bila calculation kali hatoboi
Maana apo ni kuviziana asee na hao genge wanamsomea rada wakiona aeleweki wanapita nae chap
 
I second hoja. Older generations wanawapeleka mbele sana Gen Z huku wao wamejificha. Totally unacceptable. Movement ili ifanikiwe inahitaji namba ya watu
 
Tumeshindwa kutumia uchawi, bunduki tutazito wapi?
Bunduki ni hizo hizo wanazokuja nazo askari polisi, sio wote wako makini wakiwa na silaha, kwenye kundi la polisi kuna mananga pia, hao ndio wanatakiwa kunyang'anywa silaha na kutumika dhidi yao wenyewe.
 
Niliandika uzi humu jf kuhsu mbinu zitakazokuwapo ukafutwa kabla ya kct 29
 
Mkuu rejea yaliyoandikwa kwenye hii. Pametajwa mambo ambayo yametokea wakati wewe hujazaliwa yakiwahusisha Wazanzibari. Hivi yeye hakuelewa kwamba wakati huo akina sisi tulikuwa hatujazaliwa?

Mimi, kama yeye, nikakumbusha ya nyuma. Jee mimi nimekosea ila mtoa mada kapatia? Au kwakuwa mtoa mada kazungumzia Tanganyika tukufu ila mimi nimezungumzia Zanzibar - koloni la Tanganyika? Tuwe wakweli.
 
Ukija uku unaona mwenye nguvu ni Bibi na mwanae abdul ila ukienda kwa yoga na pole pole unaona mwenye nguvu ni mkwere na wana mtandao . Mna tuchanganya ova

Ila yule Chief of staff pale JW sio mtu mzuri yule
Mtaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…