I am single again

Wanawake wa aina hiyo Mara nyingi wanakuwaga na Jini mahaba ndiyo huwa yanawaendesha Kama Gari bovu!!
 
Huyo kaona hautoshi kwenye ile nafasi ya mke anayemtarajia...... naamini hajakuelewa,. ..upo sahihi ku-move on.

Inawezekana wewe ndio una matatizo "jitathmini upya.
 
Kwa hiyo Jamaa ako hakuwa Rizikii...!! Daah...
 
Basi huyo atakua njia mbili,na anapendelea njia ya pili zaidi kuliko kutumia njia kuu!
 
Halafu 2021 atakuja jamaa yetu kabisa, atatangaza nia dadeq, atapangiwa mahari ya 3+million. Atawehuka kuzitafuta ili aweke chuma ndani.

I insist, japo nipo nje ya mada, tusitishe mahari jamani.
Usitufanyie hivyo,

ila ishu za mahusiano bhana ni ngekewa tu kuna bikira ye kaolewa kwa laki 1 tu, ila yule anaejiuza anatolewa mahari mamilioni ya pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…