I am single again

I am single again

Wewe ukishalala na mwanaume ndo unamkinai???.

Huwa mnapima????.

Nyuzi zako zote ni umepata, umekinai, umepata, umekinai ...

Mwanamke wa aina gani wewe ???.

Kiukweli, wewe na wa aina yako... Mnahaja ya kubadilika...

Thamanisha mwili wako.!!!!!
Wanawake wa aina hiyo Mara nyingi wanakuwaga na Jini mahaba ndiyo huwa yanawaendesha Kama Gari bovu!!
 
Nimekuelewa boss. Mimi sikutaka kumbana hata kidogo. Nilimpa nafasi jummamosi aspend na marafiki zake. Ili jumapili tuwe wote. Yeye sasa jumamosi na jumapili zote anakua ametingwa. Siku za kazi anatoka kazini saa 2 usiku inakua ngumu kuonana. Nilishindwa hapo. Weekend nzima hata nikimpigia hapokei. Kuna mahusiano hapo au napoteza mda wangu?
Huyo kaona hautoshi kwenye ile nafasi ya mke anayemtarajia...... naamini hajakuelewa,. ..upo sahihi ku-move on.

Inawezekana wewe ndio una matatizo "jitathmini upya.
 
Nnavyozidi kufikiria ndo kichwa kinazidi kupata moto. Astaghafiru naskia kutapika.
Anyways alinipa historia yake at one point alikua street kid yani baada ya wazazi wake kufariki alilelewa na aunty yake ambae alikua anamtuma akauze mayai ya kuchemsha stendi. Alikua anashinda huko siku nzima na kurudi home saa 7 usiku. Nikafkiria mtoto mdogo akiishi maisha hayo anakua exposed na vitu vingi.
Sex wise akifanya bila kondom anamaliza ndani ya dakika moja ila akivaa condom ndo afadhali. Sikutaka kumuhoji sana coz I didn't want kumuingilia privacy yake. Plus utamuulizaje mwanaume kama aliwahi kua abused utotoni.

Sex hapendi yani mara nyingi ilikua kama namforce na anaonekana hes not enjoying it.

Too much info [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa hiyo Jamaa ako hakuwa Rizikii...!! Daah...
 
Basi huyo atakua njia mbili,na anapendelea njia ya pili zaidi kuliko kutumia njia kuu!
 
Halafu 2021 atakuja jamaa yetu kabisa, atatangaza nia dadeq, atapangiwa mahari ya 3+million. Atawehuka kuzitafuta ili aweke chuma ndani.

I insist, japo nipo nje ya mada, tusitishe mahari jamani.
Usitufanyie hivyo,

ila ishu za mahusiano bhana ni ngekewa tu kuna bikira ye kaolewa kwa laki 1 tu, ila yule anaejiuza anatolewa mahari mamilioni ya pesa
 
Back
Top Bottom