😂 nilitaka nikupige spana ila usingizi naona unanichukua sasa😅😅😅
HakikaAmen,
Atapona hata kama Yu ndani ya kifusi Cha kariakoo hivi sasa.
I and the FATHER are one (John 10:30)Baba ni Mkuu kuliko mimi
Baba niondolee kikombe hiki
Mungu wangu mbna umeniacha
Circular reasoning, also known as a circular argument, is a logical fallacy that occurs when an argument uses its conclusion as evidence to prove itself!(Soma mithali 8:22-34)
Yesu alikuwapo kabla ya kuingia ulimwenguni na kuvaa mwili wa mwanadamu.
Unakwama wapi?
Soma tena na tena.
(Yohana 10:30)
I and the FATHER are one.
Si mara ya kwanza Mungu kuja duniani katika mwili wa mwanadamu,Circular reasoning, also known as a circular argument, is a logical fallacy that occurs when an argument uses its conclusion as evidence to prove itself!
Mnamchukulia Mungu poa, sana nyie watu! kwamba Mungu na yeye anaweza fanya drama kama za celebrity wa Bongo kutafuta kiki!
Aumbe ulimwengu mzima, na sayari, mbingu, nyota, mimie viumbe wa baharini avipe maisha.
Kisha aje hapa duniani azaliwe, ale, asikie njaa, apigwe!
Nadhani huu ni utani na kufuru isiyo na mfano!
Vp umeanzisha mada mpya?Warumi 10:13 ; Kila atakayeliitia jina la bwana ataokoka.
Mathayo 7:21 ; Sio kila atakayeliitia jina la Bwana ataokoka.
Matendo 2:39 ; Ni wale tu ambao Bwana atawachagua ndio watakaookolewa.
Alikuja katika mwili wa mwanadamu akawa me WANADAMU.Kwa hiyo BABA alitundikwa msalabani au vipi?
Alikuja katika mwili wa mwanadamu akawa me WANADAMU.
Ndiye huyo huyo aketiye katika KITI Cha enzi tunavyoongea,
Yohana katika KITABU Cha ufunuo alimwona ameketi katika KITI Cha enzi, mikono yake inavuja Damu Ina matundu ya misumari.
Nikuulize kuwa,Ina maana BABA naye alitundikwa msalabani?
Bi Faiza na malaria 1 nimewaita, wamekimbia.😂 nilitaka nikupige spana ila usingizi naona unanichukua sasa😅😅😅
Wamekupotezea tu mkuu ,sidhani kama wamekukumbia ndugu mtumishi🤗Bi Faiza na malaria 1 nimewaita, wamekimbia.
Nikuulize kuwa,
Huyo Yesu unajua Yu wapi hivi sasa?
(Yohana 10:30)
I and the FATHER are one!!