I and the FATHER are one!

I and the FATHER are one!

Mbinguni aitwa Baba,

Akiwa katika mwili wa mwanadamu aitwa Mungu mwana,

Akiwa katika kuwahudumia mwanadamu Dunia nzima Kwa wakati mmoja, anaitwa Roho mtakatifu. Lakini anabaki kuwa Mungu Mmoja .

Mungu ni MMOJA na YESU KRISTO YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake.

Amen
 
Baba ni Mkuu kuliko mimi
Baba niondolee kikombe hiki
Mungu wangu mbna umeniacha
 
Baba ni Mkuu kuliko mimi
Baba niondolee kikombe hiki
Mungu wangu mbna umeniacha
I and the FATHER are one (John 10:30)

Jikite kwenye mada.

Hiyo ni mada ingine na uelewa wake na ufafanuzi wake.

Karibu.
 
(Soma mithali 8:22-34)

Yesu alikuwapo kabla ya kuingia ulimwenguni na kuvaa mwili wa mwanadamu.

Unakwama wapi?

Soma tena na tena.

(Yohana 10:30)

I and the FATHER are one.
Circular reasoning, also known as a circular argument, is a logical fallacy that occurs when an argument uses its conclusion as evidence to prove itself!

Mnamchukulia Mungu poa, sana nyie watu! kwamba Mungu na yeye anaweza fanya drama kama za celebrity wa Bongo kutafuta kiki!

Aumbe ulimwengu mzima, na sayari, mbingu, nyota, mimie viumbe wa baharini avipe maisha.
Kisha aje hapa duniani azaliwe, ale, asikie njaa, apigwe!
Nadhani huu ni utani na kufuru isiyo na mfano!
 
Si mara ya kwanza Mungu kuja duniani katika mwili wa mwanadamu,

1. Alikuja Kwa Ibrahimu aliongiozana na Malaika wawili .

2. Alimtokea Musa kwenye kijiti kisichoteketea.

3. Alikuja Kwa Ibrahimu, akawa mfalme wa Salemu na aliitwa MELKIZEDEKI. Ufalme wa huyo MELKIZEDEKI Hauna mwanzo Wala mwisho.

Akili zako hizo za kulia ugali kamwe usilazimishe kumjua Mungu.

Karibu.
 
Warumi 10:13 ; Kila atakayeliitia jina la bwana ataokoka.

Mathayo 7:21 ; Sio kila atakayeliitia jina la Bwana ataokoka.

Matendo 2:39 ; Ni wale tu ambao Bwana atawachagua ndio watakaookolewa.
 
Warumi 10:13 ; Kila atakayeliitia jina la bwana ataokoka.

Mathayo 7:21 ; Sio kila atakayeliitia jina la Bwana ataokoka.

Matendo 2:39 ; Ni wale tu ambao Bwana atawachagua ndio watakaookolewa.
Vp umeanzisha mada mpya?
 
Kwa hiyo BABA alitundikwa msalabani au vipi?
Alikuja katika mwili wa mwanadamu akawa me WANADAMU.

Ndiye huyo huyo aketiye katika KITI Cha enzi tunavyoongea,

Yohana katika KITABU Cha ufunuo alimwona ameketi katika KITI Cha enzi, mikono yake inavuja Damu Ina matundu ya misumari.
 
Ina maana BABA naye alitundikwa msalabani?
 
Back
Top Bottom