One God.Ina maana BABA naye alitundikwa msalabani?
Si Rahisi kunipotezea,Wamekupotezea tu mkuu ,sidhani kama wamekukumbia ndugu mtumishi🤗
One God in different forms.Sasa nakuuliza swali hunijibu.
Kama Yesu ndiye huyohuyo BABA, Je BABA alitundikwa msalabani?
Uzuri mmoja nyie wote mnasoma hadithi za kutungwa tu ,hakuna hata mmoja aneweza kuthibitisha uwepo wa Mungu🤔 kwa hiyo pipa na mfuniko sio vibaya mkakinzana kwenye baadhi ya mambo 🤗🤗🤗🤗Si Rahisi kunipotezea,
Wananiita Mimi Kondoo,
Mimi nawaita Mbuzi kama baba Yao pia aitwa Goat ana mapembe na kwato na mkia, Yuko kule chini.
Sasa wewe usiyeamini juu ya uwepo wa Mungu upo level ya chini sana kuliko hata msukule.Uzuri mmoja nyie wote mnasoma hadithi za kutungwa tu ,hakuna hata mmoja aneweza kuthibitisha uwepo wa Mungu🤔 kwa hiyo pipa na mfuniko sio vibaya mkakinzana kwenye baadhi ya mambo 🤗🤗🤗🤗
Kwa hiyo wapo pia Watakatifu ambao hawapo duniani. Wapo wapi hao?(Zaburi 16:3)
WATAKATIFU walioko duniani, ndio Walio Bora, ndio ninaopendezwa nao.
One God in different forms.
Yes alisulubishwa msalabani akiwa katika form ya mwili wa mwanadamu.
Ndio maana hivi sasa yupo KITI Cha enzi mikono yake inavuja Damu na ana matundu ya misumari. According to the book of revelation.
Nimejibu swali lako?
Tuongee vizuri leo , huyo Mungu yupoje pia thibitisha hapa uwepo wake🤔Sasa wewe usiyeamini juu ya uwepo wa Mungu upo level ya chini sana kuliko hata msukule.
Mungu yupo, wewe ungezunguka sayari zote umtafute kama wafanyavyo wazungu, ukimkosa ndipo useme hayuko.
Pole sana ndugu.
Acha uvivu,Tuongee vizuri leo , huyo Mungu yupoje pia thibitisha hapa uwepo wake🤔
Huku kwenye level ya Kuamini nilishavuka nataka kumjua sasa🤔Acha uvivu,
Mwamini ndipo nikuthibitishie,
Maana bila Imani,kamwe hawezi kuelewana.
I and the FATHER are one.Sasa kama BABA ndiye aliyesulubishwa na kufia msalabani basi kazi ipo!
Umevuka vipi ikiwa Hadi sasa huamini kama yupo?Huku kwenye level ya Kuamini nilishavuka nataka kumjua sasa🤔
Nimetoka kuto kua na hakika sasa nataka kuwa na hakika, kipi kiarabu hapo ndugu mtumishi 🤔🤔🤔Umevuka vipi ikiwa Hadi sasa huamini kama yupo?
Hii sasa KAZI🤣
Wapo WATAKATIFU ambao wamelala mauti katika HAKI wapo Mbinguni.Kwa hiyo wapo pia Watakatifu ambao hawapo duniani. Wapo wapi hao?
Unaamini kuwa Mungu yupo? Kabla ya kwenda hatua ya kumjua?Nimetoka kuto kua na hakika sasa nataka kuwa na hakika, kipi kiarabu hapo ndugu mtumishi 🤔🤔🤔
Kuamini nishafanya hivyo sasa nataka uthibitisho wa yeye kuwa yupo uzuri mmoja nipo fiti kiblia , sasa twende kazi 🤔Unaamini kuwa Mungu yupo? Kabla ya kwenda hatua ya kumjua?
Maana utamjuaje asiyekuwepo ikiwa humwamini?Nimetoka kuto kua na hakika sasa nataka kuwa na hakika, kipi kiarabu hapo ndugu mtumishi 🤔🤔🤔
My FATHER is greater than II and the FATHER are one.
( John 10:30)
Jikite hapo kwenye mada labda utaelewa.
Kwa ku thibitisha tuMaana utamjuaje asiyekuwepo ikiwa humwamini?
Leo tupo (John 10:30)My FATHER is greater than I
John 14:28