I hate first days

I hate first days

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,711
Reaction score
35,644
Mi ni mtu mwenye aibu saana na sio muongeaji, home walishanizoea nikisalimia naingia rum kwangu nafanya yangu, iwe kuchati au kusoma au chochote but I like being alone.

Changamoto ni kukaa na watu wengi hasa wageni huwa sina cha kuchangia kwenye mazungumzo yao.

Turudi kwenye Mada nipo Doma kikazi kwa wiki 2 nlipofika nikaanza kupitishwa ofisi moja baada ya nyingine kutambulishwa, kiukweli sijapenda maana kazi yangu haiwahusu ALL STAFFS ni mafails tuu basi wangekusanyika tukatambuana.

Hii ni kama nipoanza kazi ishu ilikua hivi hivi.

Hata ukienda kusali kanisa geni unaambiwa usimame ujitambulishe I hate this!

Nahisi ni ugonjwa wangu ila napenda sana kuwa alone home au kazini.
Dar ofisini walishanizoea nikikaa ofisini kwangu kuamka labda naenda chooni au kuna kitu natafuta.

Home napenda saana kukaa ndani naangalia tv au kuchati kwa grups hata one to one chats pia naboreka. Nikiwa naendesha huwa hata mziki nazima nisikilize " my intuitions and thoughts and imaginations and I don't know whats"

Thats me niki named Einstein112
Ila napenda saana marafiki nikiwa "pombeni"

Mnizoee bure but I was raised in a very good Christian family

Jana nkiwa hapa Dom akaja bosi mmoja akaniambia "mbona umekaa mwenyewe siku nzima ? Watembelee wenzako ujichanganye nao"

[emoji851][emoji851][emoji851] nkamuitikia "nlikua na family problems tu" akaniacha.

Sipendi saaaaana kutambulishwa sijui ni ugonjwa au vipi?

Kuna mwenye tabia kama yangu??
Tiririka hapa. Ila napenda kuchati saaana yani ukiniacha na simu mie burudani kabisa

That's me Einstein112

Why 112???? It was my favour group back in time

Ni listen to "SKY IS THE LIMI" by B.I.G ft 112

HAVE A NICE DAY GUYS

Tukutane jioni watu wangu Dom
Screenshot_20210617-090425_YouTube.jpg
 
Sasa unachart na kina nani mkuu?? Kwasababu charting ili zinoge ni vizuri mkajuana hata utani wa hapa na pale ni rahisi. Tukionana huongei kwenye simu ndo unachart kama nini sa si utaonekana mnafki kwa wana.
Na yeyote kama wewe hapa jamvini
 
Umeshaacha nyeto ?

Jibu swali kwanza hapo juu...
Mkuu sijasema naogopa kutongoza, noope hao nikitaka napata at my finger tips

Sijawahi shindwa kwanza nipo Dom kikazi kila siku Per Diem ni 150K sa nakosaje nyapu kama nkitaka?? halafu nimefikia Lodge
 
Ili ufurahie maisha hapa duniani, unatakiwa uongee na watu ili upate mapya, hata maendeleo yanakuja kwa njia ya watu. Jitahidi mkuu kuongea na watu, au una "inferiority complex?au umuone Mwamposa akupe neno.
Nikitaka kuongea na watu labda niende sehemu ya starehe kama Bar au clubs
 
Unaweza kusema kwamba wewe ni introvert, sawa. Lakini introverts wanaweza kujifunza kuwa kama Extrovert s. Na unaweza kufikiri uko sawa tu. Tatizo tu ni kwamba, kama husafiri, unaweza kudhani mama yako ndiye the best cook in the world. In short, hiyo ni kasoro na udhaifu unaotakiwa kufanyia marekebisho. Na inawezekana!!!

Humans are social creatures -- and the acid test for this ni uwezo na urahisi wa kuform spontaneous homogenous intermingling & association kwa watu almost wote.
 
Back
Top Bottom