I hate first days

I hate first days

Amefanana na dada mmoja tulijuliana fb, kwenye chating na video call atakuonyesha kila utakacho adi utupu, siku tumeonana live ana aibu iliyopitiliza, ukimwangalia anaangalia kwingine au kama ana mtandio anajifunika usoni akiacha kanafasi kidogo ka kuchungulia, hata siku tulizoenda tukioni sijawahi kuangaliana nae live zaidi ya sekunde 3. Sielewi hao viumbe dizaini hii nini kinawapata
So ulimuonea aibu au ulitaguna ivo ivo huku kafunika macho kwa viganja
 
Back
Top Bottom