Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii track puffy aliinyonga kisawa sawaMi ni mtu mwenye aibu saana na sio muongeaji, home walishanizoea nikisalimia naingia rum kwangu nafanya yangu, iwe kuchati au kusoma au chochote but I like being alone.
Changamoto ni kukaa na watu wengi hasa wageni huwa sina cha kuchangia kwenye mazungumzo yao.
Turudi kwenye Mada nipo Doma kikazi kwa wiki 2 nlipofika nikaanza kupitishwa ofisi moja baada ya nyingine kutambulishwa, kiukweli sijapenda maana kazi yangu haiwahusu ALL STAFFS ni mafails tuu basi wangekusanyika tukatambuana.
Hii ni kama nipoanza kazi ishu ilikua hivi hivi.
Hatavukienda kusali kanisa geni unaambiwa usimame ujitambulishe I hate this!
Nahisi ni ugonjwa wangu ila napenda sana kuwa alone home au kazini.
Dar ofisini walishanizoea nikikaa ofisini kwangu kuamka labda naenda chooni au kuna kitu natafuta.
Home napenda saana kukaa ndani naangalia tv au kuchati kwa grups hata one to one chats pia naboreka. Nikiwa naendesha huwa hata mziki nazima nisikilize " my intuitions and thoughts and imaginations and I don't know whats"
Thats me niki named Einstein112
Ila napenda saana marafiki nikiwa "pombeni"
Mnizoee bure but I was raised in a very good Christian family
Jana nkiwa hapa Dom akaja bosi mmoja akaniambia "mbona umekaa mwenyewe siku nzima ? Watembelee wenzako ujichanganye nao"
[emoji851][emoji851][emoji851] nkamuitikia "nlikua na family problems tu" akaniacha.
Sipendi saaaaana kutambulishwa sijui ni ugonjwa au vipi?
Kuna mwenye tabia kama yangu??
Tiririka hapa. Ila napenda kuchati saaana yani ukiniacha na simu mie burudani kabisa
That's me Einstein112
Why 112???? It was my favour group back in time
Ni listen to "SKY IS THE LIMI" by B.I.G ft 112
HAVE A NICE DAY GUYS
Tukutane jioni watu wangu DomView attachment 1821317
Kama umo humu muda mrefu, basi umeshakutana na nyuzi zinazoongelea tabia kama yako.Hujanijua wewe fuatilia nyuzi zangu mi sio wa leo wala jana mkuu search nyuzi zangu utajua zipo kama BUKU hivi
Una aibu sana au inferiority complex...na hiyo huwa inaondolewa na pombe. Madhara yake siku unaweza kunywa kupitiliza ukafanya vituko na kesho yake ukajuta. Au unaringa unajiona una pesa au akili nyingi.Mi nikiwa bar huwa muongeaji sana ila nikiwa sober napenda kuwa mwenyewe. My mind travels a thousands miles away.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] mbona kama umenifokea!?
Nkishapigaga mazaga naongea saaana [emoji481][emoji851][emoji851]Kunywa Guinness mkuu aibu inakata yote
Naipendaga saana jamaa alichana sana mzee big popa
Ila hizo ni zaoKama umo humu muda mrefu, basi umeshakutana na nyuzi zinazoongelea tabia kama yako.
Inferiority complex naogopa nini kwa mfano?? Najua kukontro kichwa changu gauge ikisoma nasepaUna aibu sana au inferiority complex...na hiyo huwa inaondolewa na pombe. Madhara yake siku unaweza kunywa kupitiliza ukafanya vituko na kesho yake ukajuta. Au unaringa unajiona una pesa au akili nyingi.
Tupo Pa1 hapa.Jamaa umeniwahi
Toka jumatatu Natamani kuanzisha uzi nipate ushauri namna ya kubakia na watu bila kuwapoteza
Nina tatizo kama lako na Kadri siku zinavyosonga naona linazidi
Toka nikiwa mdogo nilipendelea kukaa mwenyewe,na mpaka Hivi sasa,
Naweza kwenda kwenye mkusanyiko nisiconect na mtu yoyote mpaka naondoka
Nikipata mgeni naona kama ananiboa, nahitaji tu kukaa mwenyewe
Tukikutana na mtu anaweza akaanzisha mazungumzo mpaka akachoka mpaka labda nimzoee sana ila at the end nitampotezea
Naweza nikapata marafiki Wapya ila baada ya muda nikawapotezea tu.
I don’t know how to keep people at all.
[emoji1756][emoji1756][emoji1756]Kwani kuna maisha matamu km kuwa lonely.? Naenjoy kwa kweli kuwa alone ev time en where.
Ajabu hii kwa hiyo mimi pia nitakua na depressionUna depression
Amefanana na dada mmoja tulijuliana fb, kwenye chating na video call atakuonyesha kila utakacho adi utupu, siku tumeonana live ana aibu iliyopitiliza, ukimwangalia anaangalia kwingine au kama ana mtandio anajifunika usoni akiacha kanafasi kidogo ka kuchungulia, hata siku tulizoenda tukioni sijawahi kuangaliana nae live zaidi ya sekunde 3. Sielewi hao viumbe dizaini hii nini kinawapataSasa unachart na kina nani mkuu? Kwasababu charting ili zinoge ni vizuri mkajuana hata utani wa hapa na pale ni rahisi. Tukionana huongei kwenye simu ndo unachart kama nini sa si utaonekana mnafki kwa wana.
sikuamini mkuu hebu nipe namba yake nimpigie nihakikisheAmefanana na dada mmoja tulijuliana fb, kwenye chating na video call atakuonyesha kila utakacho adi utupu, siku tumeonana live ana aibu iliyopitiliza, ukimwangalia anaangalia kwingine au kama ana mtandio anajifunika usoni akiacha kanafasi kidogo ka kuchungulia, hata siku tulizoenda tukioni sijawahi kuangaliana nae live zaidi ya sekunde 3. Sielewi hao viumbe dizaini hii nini kinawapata
Njoo pmsikuamini mkuu hebu nipe namba yake nimpigie nihakikishe
Kwanini mkuu[emoji848][emoji848][emoji848]Pole sana... Utakua na roho mbaya...
Achana na chizi huyoAjabu hii kwa hiyo mimi pia nitakua na depression