I hate first days

I hate first days

Ili ufurahie maisha hapa duniani, unatakiwa uongee na watu ili upate mapya, hata maendeleo yanakuja kwa njia ya watu. Jitahidi mkuu kuongea na watu, au una "inferiority complex?au umuone Mwamposa akupe neno.
mkuu watu wa aina ya mtoa mada wapo, hawa watu wakiwa kwa watu huhisi hawapo huru bt wakiwa pekee huhisi wapo free, mara nyingi hawa watu huchanganyika na jamii kwa vitendo, mfano: husaidia sana wahitaji, wazuri kwa ushauri, watatuzi wazuri wa migogoro ya kijamii na maofisini, ni wasiri mno(ukiwapa jambo lako huwez likuta mtaa) inshort hawa watu ndo mkombozi wa jamii kwa kila kitu japo baadhi ya watu huwachukulia wanaringa japo kiuhalisia sivyo.
 
Jamaa umeniwahi

Toka jumatatu Natamani kuanzisha uzi nipate ushauri namna ya kubakia na watu bila kuwapoteza

Nina tatizo kama lako na Kadri siku zinavyosonga naona linazidi

Toka nikiwa mdogo nilipendelea kukaa mwenyewe,na mpaka Hivi sasa,
Naweza kwenda kwenye mkusanyiko nisiconect na mtu yoyote mpaka naondoka

Nikipata mgeni naona kama ananiboa, nahitaji tu kukaa mwenyewe

Tukikutana na mtu anaweza akaanzisha mazungumzo mpaka akachoka mpaka labda nimzoee sana ila at the end nitampotezea

Naweza nikapata marafiki Wapya ila baada ya muda nikawapotezea tu.

I don’t know how to keep people at all.

Ukiona upo hivyo ujue una nyota ya kuwa 'intelligent'...

Ukiweza itumia vizuri hii tabia yako, utajipata unakuwa mtu wa mafanikio...

Watu wanaosoma mienendo ya ubongo, huwa wanasema wakati sahihi kwa mwanadamu kuwaza mambo yake ni wakati ubongo ukiwa umeachwa au umepunguzwa kupumbazwa na mambo mengi...

Ndio maana hata ndoto huja mtu akiwa amelala
 
AAAAH I AM HERE FOR THE INTROVERTS..MUPOOO NILIFIKIRI NI MIMI TU MWENYE HII HALI KUMBE SIYO SHIDA NI KAWAIDA ETI..........ILA MIMI KUNAMDA NAPENDA KUTOKA BUT HUWA NAKAA KIMYA...NAENJOY TU KUONA WATU ILA SIYO KUONGEA ONGEA SANA
 
Mi hata nkienda Club huwa nakaa COUNTER naenjoy kutazama watu wakicheza mi natulia na bia zangu taratiiiibu
 
An introvert is a person with qualities of a personality type known as introversion, which means that they feel more comfortable focusing on their inner thoughts and ideas, rather than what's happening externally. They enjoy spending time with just one or two people, rather than large groups or crowds.
 
Introversion isn't totally genetic. It gets influenced by your environment at a young age, and our genes allow a certain amount of flexibility in response. This happens through “set points,” which are the upper and lower limits of how much extroversion your brain can handle.
 
8 Famous Introverts and What They Can Teach You
  • Albert Einstein. Not only is Einstein one of the most famous scientists in history, but he was also a known introvert. ...
  • Bill Gates. ...
  • Eleanor Roosevelt. ...
  • Elon Musk. ...
  • Emma Watson. ...
  • J.K. Rowling. ...
  • Meryl Streep. ...
  • Warren Buffet.Aisee
  • Aisee ngoja ni kapop Champaign kumbe Mimi na Other Introverts ni the Next Billionaires najishangaa kwanini nawazaga mambo mengii mengine nashindwa hata kujiuliza nathubutuje kuwaza na nina hela ya mboga tuu daah
 
This is exactly me [emoji2299][emoji2299][emoji2299]
 
Introversion isn't totally genetic. It gets influenced by your environment at a young age, and our genes allow a certain amount of flexibility in response. This happens through “set points,” which are the upper and lower limits of how much extroversion your brain can handle.
To me i think it came naturally, i was never abused or traumatized during my young age
 
8 Famous Introverts and What They Can Teach You
  • Albert Einstein. Not only is Einstein one of the most famous scientists in history, but he was also a known introvert. ...
  • Bill Gates. ...
  • Eleanor Roosevelt. ...
  • Elon Musk. ...
  • Emma Watson. ...
  • J.K. Rowling. ...
  • Meryl Streep. ...
  • Warren Buffet.Aisee
  • Aisee ngoja ni kapop Champaign kumbe Mimi na Other Introverts ni the Next Billionaires najishangaa kwanini nawazaga mambo mengii mengine nashindwa hata kujiuliza nathubutuje kuwaza na nina hela ya mboga tuu daah
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah we jamaa bhana
 
Mkuu sijasema naogopa kutongoza, noope hao nikitaka napata at my finger tips

Sijawahi shindwa kwanza nipo Dom kikazi kila siku Per Diem ni 150K sa nakosaje nyapu kama nkitaka?? halafu nimefikia Lodge
Kazi gani hio na mm nikasomee
 
kazi gani hio na mm nikasomee
Mkuu soma kwanza maslahi yanategemea na ulipoajiriwa

Mnaweza soma kozi moja mkatofautiana saaaana mishahara na maslahi ndani ya Serikali
 
mkuu watu wa aina ya mtoa mada wapo, hawa watu wakiwa kwa watu huhisi hawapo huru bt wakiwa pekee huhisi wapo free, mara nyingi hawa watu huchanganyika na jamii kwa vitendo, mfano: husaidia sana wahitaji, wazuri kwa ushauri, watatuzi wazuri wa migogoro ya kijamii na maofisini, ni wasiri mno(ukiwapa jambo lako huwez likuta mtaa) inshort hawa watu ndo mkombozi wa jamii kwa kila kitu japo baadhi ya watu huwachukulia wanaringa japo kiuhalisia sivyo.
[emoji1306][emoji1306][emoji1756][emoji1756][emoji1756]
 
Back
Top Bottom