I hate first days

I hate first days

Hata mimi napenda kuwa alone shida ni moko tu naishia kufanya vitu vya ajabu kuepuka hivyo naamuaga tu nitoke njee kuonana na ndugu na jamaa maana nisije nika jiiiringa bure wakati life bado tamu
 
Mkuu sijasema naogopa kutongoza, noope hao nikitaka napata at my finger tips

Sijawahi shindwa kwanza nipo Dom kikazi kila siku Per Diem ni 150K sa nakosaje nyapu kama nkitaka?? halafu nimefikia Lodge
Tukutane Bambalaga jioni.
 
Unaweza kusema kwamba wewe ni introvert, sawa. Lakini introverts wanaweza kujifunza kuwa kama Extrovert s. Na unaweza kufikiri uko sawa tu. Tatizo tu ni kwamba, kama husafiri, unaweza kudhani mama yako ndiye the best cook in the world. In short, hiyo ni kasoro na udhaifu unaotakiwa kufanyia marekebisho. Na inawezekana!!!

Humans are social creatures -- and the acid test for this ni uwezo na urahisi wa kuform spontaneous homogenous intermingling & association kwa watu almost wote.
Hii kasoro nimeishi nayo for 35 long years now wala sioni kupungukiwa ila nikikosa BANDO lazima unikute BAR, so I do socialize
 
Hata mim napenda kuwa alone shida ni moko tu naishia kufanya vitu vya ajabu kuepuka hivyo naamuaga tu nitoke njee kuonana na ndugu na jamaa maana nisije nika jiiiringa bure wakati life bado tamu
Mi nikiwa bar huwa muongeaji sana ila nikiwa sober napenda kuwa mwenyewe. My mind travels a thousands miles away.
 
Jamaa umeniwahi

Toka jumatatu Natamani kuanzisha uzi nipate ushauri namna ya kubakia na watu bila kuwapoteza

Nina tatizo kama lako na Kadri siku zinavyosonga naona linazidi

Toka nikiwa mdogo nilipendelea kukaa mwenyewe,na mpaka Hivi sasa,
Naweza kwenda kwenye mkusanyiko nisiconect na mtu yoyote mpaka naondoka

Nikipata mgeni naona kama ananiboa, nahitaji tu kukaa mwenyewe

Tukikutana na mtu anaweza akaanzisha mazungumzo mpaka akachoka mpaka labda nimzoee sana ila at the end nitampotezea

Naweza nikapata marafiki Wapya ila baada ya muda nikawapotezea tu.

I don’t know how to keep people at all.
 
Natamaninouwa kama wewe mkuu. Mimi ni mtu wa kujichanganya sana. Kuna siku nilipewa bed rest nusu saa kwangu nikawaza mambo tiliion na kukumbuka mambo ya ajabu.

Hongera. Jifunze kidogo kidogo kujimix itakusaidia hata linapotokea janga kujulishwa mapema
 
Mi ni mtu mwenye aibu saana na sio muongeaji, home walishanizoea nikisalimia naingia rum kwangu nafanya yangu, iwe kuchati au kusoma au chochote but I like being alone.

Changamoto ni kukaa na watu wengi hasa wageni huwa sina cha kuchangia kwenye mazungumzo yao.
Siku ya kugonga "demu mpya" kwa mara ya kwanza pia you hate it?
 
Jamaa umeniwahi

Toka jumatatu Natamani kuanzisha uzi nipate ushauri namna ya kubakia na watu bila kuwapoteza

Nina tatizo kama lako na Kadri siku zinavyosonga naona linazidi

Toka nikiwa mdogo nilipendelea kukaa mwenyewe,na mpaka Hivi sasa,
Naweza kwenda kwenye mkusanyiko nisiconect na mtu yoyote mpaka naondoka

Nikipata mgeni naona kama ananiboa, nahitaji tu kukaa mwenyewe

Tukikutana na mtu anaweza akaanzisha mazungumzo mpaka akachoka mpaka labda nimzoee sana ila at the end nitampotezea

Naweza nikapata marafiki Wapya ila baada ya muda nikawapotezea tu.

I don’t know how to keep people at all.
We ndio upo kama mimi mkuu, sijui tatizo lilianzia wapi ila mi toka mdogo ndivo nilivyo, kama sina kitu cha kufanya naenda zangu kulala hata kama ni mchana
 
Natamaninouwa kama wewe mkuu. Mimi ni mtu wa kujichanganya sana. Kuna siku nilipewa bed rest nusu saa kwangu nikawaza mambo tiliion na kukumbuka mambo ya ajabu.

Hongera. Jifunze kidogo kidogo kujimix itakusaidia hata linapotokea janga kujulishwa mapema
Kujimix mkuu ni kawaidi ila iwe kwenye matukio, au sehemu ya starehe na washkaji. Nakumbuka Nikiwa chuo back in 2005 Nlikuwa na kikorola washkaji wakawa wananifuata mtaani nlikopanga tunazurula na kigari kunywa bia za kuzunguka, hakuna kiwanja sikufikaga enzi hizo. Ila urafiki wao ulikuwa kwa sababu wanataka kuendesha gari tu na si vinginevyo maana mwaka wa tatu nliuza hicho kigari nikanunua hisa za NMB

wakakoma kunitembelea wala kuniita kwenye bia zao 🙂 🙂 🙂
 
We ndio upo kama mimi mkuu, sijui tatizo lilianzia wapi ila mi toka mdogo ndivo nilivyo, kama sina kitu cha kufanya naenda zangu kulala hata kama ni mchana

Acha kabisa
Nimepoteza marafiki almost wote
Kukiwa na get together siendi au nikienda nakua tu bored
Kukiwa na mitoko natafuta excuses
Siku hizi hata simu hawapigi
 
Hii kasoro nimeishi nayo for 35 long years now wala sioni kupungukiwa ila nikikosa BANDO lazima unikute BAR, so I do socialize
Wavuta-sigara na walevi wengi ukiwashauri waache kujidhuru kiafya, tena kwa hoja za kitaalamu kabisa, watakwambia hivihivi kama wewe, ^Fulani na fulani alikuwa anavuta sigara 100 kwa siku tena ameisha muda mrefu sana tu.^ Huu nao ni ugonjwa mwingine. Kumbe unapenda ugonjwa huo!??? Sasa why unataka uukimbie!???

Jamaa umeniwahi

Toka jumatatu Natamani kuanzisha uzi nipate ushauri namna ya kubakia na watu bila kuwapoteza

Nina tatizo kama lako na Kadri siku zinavyosonga naona linazidi

Toka nikiwa mdogo nilipendelea kukaa mwenyewe,na mpaka Hivi sasa,
Naweza kwenda kwenye mkusanyiko nisiconect na mtu yoyote mpaka naondoka

Nikipata mgeni naona kama ananiboa, nahitaji tu kukaa mwenyewe

Tukikutana na mtu anaweza akaanzisha mazungumzo mpaka akachoka mpaka labda nimzoee sana ila at the end nitampotezea

Naweza nikapata marafiki Wapya ila baada ya muda nikawapotezea tu.

I don’t know how to keep people at all.
Siku ukijifunza maana ya ubinafsi na jinsi ya kuuondoa, utakuwa umevumbua jambo kubwa sana, mithili ya Newton na ile falling ^apple^ ama Archimedes na ^heureka^ (I have found).
 
Mi ni mtu mwenye aibu saana na sio muongeaji, home walishanizoea nikisalimia naingia rum kwangu nafanya yangu, iwe kuchati au kusoma au chochote but I like being alone.

Changamoto ni kukaa na watu wengi hasa wageni huwa sina cha kuchangia kwenye mazungumzo yao.
We jamaa nimekukubali ulivyoambatanisha hiyo cover..
Humo ndani
1. Natoriuos thugs
2. Whats Beef
3. You're nobody
4. Niggas bleed

Ukijumlishia na Warning from Ready to die
Ukijumlisha na Wu Shot Ya

Unataka story na watu za nini? Just listen to your intuitions..
 
Mi ni mtu mwenye aibu saana na sio muongeaji, home walishanizoea nikisalimia naingia rum kwangu nafanya yangu, iwe kuchati au kusoma au chochote but I like being alone.

Changamoto ni kukaa na watu wengi hasa wageni huwa sina cha kuchangia kwenye mazungumzo yao.

Turudi kwenye Mada nipo Doma kikazi kwa wiki 2 nlipofika nikaanza kupitishwa ofisi moja baada ya nyingine kutambulishwa, kiukweli sijapenda maana kazi yangu haiwahusu ALL STAFFS ni mafails tuu basi wangekusanyika tukatambuana.

Hii ni kama nipoanza kazi ishu ilikua hivi hivi.

Hatavukienda kusali kanisa geni unaambiwa usimame ujitambulishe I hate this!

Nahisi ni ugonjwa wangu ila napenda sana kuwa alone home au kazini.
Dar ofisini walishanizoea nikikaa ofisini kwangu kuamka labda naenda chooni au kuna kitu natafuta.

Home napenda saana kukaa ndani naangalia tv au kuchati kwa grups hata one to one chats pia naboreka. Nikiwa naendesha huwa hata mziki nazima nisikilize " my intuitions and thoughts and imaginations and I don't know whats"

Thats me niki named Einstein112
Ila napenda saana marafiki nikiwa "pombeni"

Mnizoee bure but I was raised in a very good Christian family

Jana nkiwa hapa Dom akaja bosi mmoja akaniambia "mbona umekaa mwenyewe siku nzima ? Watembelee wenzako ujichanganye nao"

[emoji851][emoji851][emoji851] nkamuitikia "nlikua na family problems tu" akaniacha.

Sipendi saaaaana kutambulishwa sijui ni ugonjwa au vipi?

Kuna mwenye tabia kama yangu??
Tiririka hapa. Ila napenda kuchati saaana yani ukiniacha na simu mie burudani kabisa

that's me Einstein112

Why 112???? It was my favour group back in time

ni listen to "SKY IS THE LIMI" by B.I.G ft 112

HAVE A NICE DAY GUYS

tukutane jioni watu wangu DomView attachment 1821317
Tafuta profile ya Insights discovery.. Pata reporr yako.. Nenda kwenye maeneo yaliyopendekezwa unahitaji ku work on..

Rudi tena kwa insight discovery after few years kuona progress yako ..

Kama unahitaji kujibadilisha baadhi ya vitu by the way..
 
Asante sana mkuu ntajitahidi
 
Daah,mkuu polesana ww nikatika kundi lile lawatu wakimya,wapole,haupendi makuu..amani kwako ndio jiwe lamsingi kabisa,huo sio ugonjwa niasiri yandani kabisa. Hata mm nipo hivo ila sio zaid kama ulivo sema..kwani mm ninayamudu mazingira vizuri japo ilinichukua muda sana.
 
Back
Top Bottom