Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Kuwa peke yako, sometimes, ama most of the times, siyo jambo geni wala crime. Tatizo linakuja pale UNAPOSHINDWA kujichanganya, kuunda marafiki kirahisi, ama kufurahia social environment au hata kuwakeep marafiki au kudumisha positive conversation na communication. Seriously, huu ni ugonjwa kama magonjwa mengine. Halafu, ukweli mchungu, ni ugonjwa wa akili.We ndio upo kama mimi mkuu, sijui tatizo lilianzia wapi ila mi toka mdogo ndivo nilivyo, kama sina kitu cha kufanya naenda zangu kulala hata kama ni mchana