EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
- Thread starter
-
- #121
So ulimuonea aibu au ulitaguna ivo ivo huku kafunika macho kwa viganjaAmefanana na dada mmoja tulijuliana fb, kwenye chating na video call atakuonyesha kila utakacho adi utupu, siku tumeonana live ana aibu iliyopitiliza, ukimwangalia anaangalia kwingine au kama ana mtandio anajifunika usoni akiacha kanafasi kidogo ka kuchungulia, hata siku tulizoenda tukioni sijawahi kuangaliana nae live zaidi ya sekunde 3. Sielewi hao viumbe dizaini hii nini kinawapata
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1312][emoji1312]sikuamini mkuu hebu nipe namba yake nimpigie nihakikishe
Iweke hapa maana nshapiga chupa sita sa Kill nina confidence balaa[emoji1635][emoji481][emoji1634][emoji485][emoji484]Njoo pm
Hua sina aibu mkuu, alikua akifunika uso na mto, shuka au mikono na Kuna saa simuangalii usoni ili nimpe uhuru wa yeye kuniangalia.So ulimuonea aibu au ulitaguna ivo ivo huku kafunika macho kwa viganja
Huwezi tongoza ukiwa umelewa mkuu[emoji3][emoji3]Iweke hapa maana nshapiga chupa sita sa Kill nina confidence balaa[emoji1635][emoji481][emoji1634][emoji485][emoji484]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huwezi tongoza ukiwa umelewa mkuu[emoji3][emoji3]
How do you cope with your environment?Doooooh iiii tabia yangu kabisa mkuu...sipendi iyo mambo