I love Joanah (my dream woman)


Yaani umenisifia hadi nimepata bichwa kweli kweli hapa,asanteee SHIMBA YA BUYENZE kama huwa unaniona hivi ulivyonielezea

Kuhusu kukasirika kasirika sijui kwanini kuna baadhi humu huwa wananiona mwenye gubu/mkali kwenye comments na majibu yangu(wakati kiuhalisia huwa natokwa na mapovu na huwa naonesha kukasirika mara chache mnoooooooooooooooo)


Asante kwa kuweza kunisoma na kunitafsiri the way umenitafsiri hapo juu...nimefarijika sana

Tunote twa mkono 👇👇😁😁
 
Unaona sasa!

Hivi nami nikikuanzishia uzi kweli utanikasirikia? [emoji16][emoji16][emoji16]

On a serious note; niliyoyasema hapo juu ni kweli tu, at least from my perspective.

Uzidi kubarikiwa Joanna [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Hebu niambie dia babu nifanyaje?

Kaka yangu Mgugu kashakubali lakini sijajua Don Clericuzio namuachaje
Nimegundua Mgugu ni kigeugeu kama Bashite, Namlamba BAN la kuingia kwenye familia yetu.

Anakubalije kirahisi namna hii bila kunihusisha????

Watu wa namna hii ndio wananyima wenzao HAKI YA KUISHI

Kuhusu "utafanyaje" hebu fanya hima weekend hii tuonane tuangalie cha kufanya

Nimemaliza
 

Haya babu
Hii weekend tutajua 'tunafanyaje'
 
Weekend inaisha vizuri,vipi kwako?

Naona kule EPL mnazidi kukenua tu

Weekend inaisha poa.

EPL sasa hivi tumeshaachana na habari za ubingwa, tunawaza unbeaten na points zaidi ya 100 ili tupite record ya City.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…