i love u so much please understand me


duu mpe kidogo kidogo basi
 
duu mpe kidogo kidogo basi

eti jaman..anamfanyia mwenzio ajione na mapungufu makubwa sana..

"You are not worth even one night stand for him"

dah hii si itamuumiza jmn dada wa watu.
 
he he he mie JLO wa JF au Brad Pitty wa mtaani if you know warra i mean.

Kama nikikutumia lazima server yako ijam kwa muda wa mwezi.

Kongosho nitumie mapicha yako nikutathimini maana unanisumbua sana kwenye PM.......ooh mara wewe hendsam (umeniona?) mara napenda mwandiko wako (kwani naandikia wino)
 
Last edited by a moderator:
Member Array

Join Date : 17th May 2012
Posts : 44
Rep Power : 315
Likes Received6
Likes Given39


JF NI ZAIDI YA ALIVYOKUWA AKIIFAHAMU..

Ila kapata somo....next time atakuwa mshauri mzuri kwa wahanga kama yeye....
 


Ngabu, i miss u
 
hii maswala ya kuwasiliana na mtu usiemjua na ukampenda sababu tu ya msg zake au sauti yake kwenye simu, inakera, inaumiza, na nawashauli msifanye hivo. ilinitokea mimi wik 3 zilizopita, nipokutana na mdada niliewasiliana nae takriban mwez mzima kukutana nae mwenge kidogo nijifiche hata nisisalimiane nae. kipolygon ajab..... so dadaangu labtec1 usipende mtuusiemjua, shukuru mungu kakupotezea hata kabla hujamuona, coz may be ungekuja kujuta kwa nini ulimpenda.
 
Ingetusaidia zaidi kama ungeweka jina leke.
 
Kama hataki nipe mie baby, watu tunatafuta mademu walio siriasi kama wewe yeye anakuzingua! Ama kweli penye vinu hamna mitwangio, na penye mitwangio hamna vinu.
 
Nipo cacico mamito....mm mwenywe nashangaa kwakweli..Mmmh babu yako hatari kwakweli kwanini asimwachie bibi!!
babu yangu mchunie Rogie yupo busy na wajukuu, huyu wa humu ndani leo nimekwama kushauri, akili imestuck!
 
Last edited by a moderator:
Pole sana itabidi uanze ku-identify kipaji jingine ambacho kitakupa pumziko la nafsi
 
babu yangu mchunie Rogie yupo busy na wajukuu, huyu wa humu ndani leo nimekwama kushauri, akili imestuck!

mmh bize kufanya hivyo cacico? wa humu ndani ngoma nzito hii..
 
Last edited by a moderator:
Pole sana, sasa utampendaje mtu hujamuona, Pili nakushauri siku nyingine usiwe mwepesi kujirahisi kwa mwanamume hivyo mara utume picha siyo vema wala siyo sahihi kwako wewe mtoto wa kike, Tulia fanyakazi yao usije ukajikuta unapoteza kazi yako kwa mtu asiyekuwa na upendo na wewe wala humjui, Je ukikuta ni Mume wa mtu, kutakuwa na mapenzia ya kweli hapo au kuharibu ndoa ya watu???? Nachokushauri achana na hayo mambo ya kupenda mtu usiyemfahamu. Tulia muda wako utakapofika hakuna atakayezui wewe kuwa na mwezi/Mume. siku njema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…