I love you - Rayvanny | Wimbo Maalum kwa wapendanao

Mwanamziki kutoka label ya WCB rayvanny boy mwenye sauti tamu Kama vanilla ametoa kazi nzuri Sana wimbo unaitwa I love you.

Kitu kinichopendea kwenye hii ngoma ni mashairi yake, beat nzuri, Melody nzuri na ngoma haishi utamu kiufupi ni bongo fleva halisi.

Big up rayvanny kwa kutupa ngoma Kali endelea hivo hivo kwa kuachia hit after hit.
 
Dogo ataimba weee ikifika kwny tamasha la wasafi atapewa muda wa kuimba nyimbo 2 tu.

#Boss hanuniwi.
Weweeee Vanny boy anaumiza sana kwenye matamasha na anajua ku control umati.
Fatilia show zake uone akisema watu wote wawashe tochi hakuna mtu anaibiwa asiyewasha mchawi wanawasha woteeeee hata Mondi kwenye hili hafiki.

Utani wake sasa ndo unaomfanya apendwe sana onstage
 
Juzi kwny Wasafi festival Rayvan alipiga shoo ya dakika ngapi mkuu?
 
Mwanamziki kutoka label ya WCB rayvanny boy mwenye sauti tamu Kama vanilla ametoa kazi nzuri Sana wimbo unaitwa I love you.

Kitu kinichopendea kwenye hii ngoma ni mashairi yake, beat nzuri, Melody nzuri na ngoma haishi utamu kiufupi ni bongo fleva halisi.

Big up rayvanny kwa kutupa ngoma Kali endelea hivo hivo kwa kuachia hit after hit.
Iyo ngoma sio kali acha kutoa promo za kipumbavu
 
Back
Top Bottom