I love you - Rayvanny | Wimbo Maalum kwa wapendanao

I love you - Rayvanny | Wimbo Maalum kwa wapendanao

Hahaha wewe ni wakuwamba makofi [emoji23][emoji23]
Mimi ata status nlimuweka siku kanioa na nlieka bila caption ndani ya nusu nshatoa [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
 
Hahaha labda nimtag shemeji yangu Shunie aje kua msemaji mkuu hapa au mdogo wangu Zesh anisaidie kwenye hilii au babe wangu Hornet aje aseme jambo lolote au swt Mzigua90 nae anaweza tia neno hapa[emoji23][emoji23][emoji23]
umeamua kugonganisha bajaji,magari,treni,boda boda

yani hujali madhara yatayotokea eeeh

ebitoke alichokifanya unakijua lakini?

shauri lako.....
 
Halafu nilichogundua wanawake wanaopenda kuwataja au kuwapost sana watu wao hata kwa sisi wanaume...ndio mahodari wa kucheat,
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Unajua ukishafanya yako unajishtukia unaamua kumpost unahisi labda alishtuka upo sehemu flani[emoji23][emoji23]
 
Hahaha hamna mkuu hao hapo ni marafiki tu wa siku nyingi
umeamua kugonganisha bajaji,magari,treni,boda boda

yani hujali madhara yatayotokea eeeh

ebitoke alichokifanya unakijua lakini?

shauri lako.....
 
Halafu nilichogundua wanawake wanaopenda kuwataja au kuwapost sana watu wao hata kwa sisi wanaume...ndio mahodari wa kucheat,Unajua ukishafanya yako unajishtukia unaamua kumpost unahisi labda alishtuka upo sehemu flani[emoji23][emoji23]
Mimi hata kwa phone yangu akipiga picha nafuta ama nazieka kwa lock 😀 😀 😀 😀
 
Back
Top Bottom