I love you - Rayvanny | Wimbo Maalum kwa wapendanao

I love you - Rayvanny | Wimbo Maalum kwa wapendanao

Ukisema ngoma fulani kali umewainspire wengine wakaitafute, koo hio ni promo tayar

Unaonekana una akili ndogo sana
3g6arm.jpg
 
Mi bila kuona coment ya Kasie mtata hapa siridhiki @"Hazard CFC,

Wa Stendi, nimeitika wito wako.... jiwimbo limenoga. Fanya mchakato ijumaa hii tukalisakate rhumba mahaba matata ndo yashakudondokea eehheheheee....

Halafu kuna siku uliniita kwenye uzi, nikachelewa kuitika, kuja kuangalia uzi umefutwa, sikujua ulikuwa uzi gani na unahusu nini...!!
 
Mwanamziki kutoka label ya WCB rayvanny boy mwenye sauti tamu Kama vanilla ametoa kazi nzuri Sana wimbo unaitwa I love you.

Kitu kinichopendea kwenye hii ngoma ni mashairi yake, beat nzuri, Melody nzuri na ngoma haishi utamu kiufupi ni bongo fleva halisi.

Big up rayvanny kwa kutupa ngoma Kali endelea hivo hivo kwa kuachia hit after hit.
Mkuu kwa hiyo Rayvann sauti yake kwako ni tamu kama vanilla?
 
Lazima uvutie kwako mkuu..kama usipomsifia wakwako nani atamsifia??

Kademu ka kwenye video kazuri sema kana komwee la rihanna linasubiri[emoji23][emoji23]
Kwa haraka haraka, Rihanna na demu/mkeo nani mkali!?
 
Nisiwe mnafiki mzeebaba rihanna namchapa mbele ya demu wangu maamuzi atakayo fanya atajua mwenyewe...rihanna mzuri halafu pia uzuri wao unaongezwa na mazoezi wanayofanya na lishe pia,style,swagg n.k

Kisura demu wako anawezs kua mzuri kumpita lakini ndio hvyo unakuta anatembea kama anapanda mlima n.k[emoji23][emoji23]
Kwa haraka haraka, Rihanna na demu/mkeo nani mkali!?
Acha kufananisha kifo na usingizi mkuu
 
Back
Top Bottom