Mwisho ajinyongeAsubiri dirisha la usajili lifunguliwe πππ
Kwani yy atakuwa wa kwanza kujinyonga?? π€£Mwisho ajinyonge
Sio kweli. Analyse @kashiba sikukuuNasshindwa kuamini nikiangalia chatting na vichambo vya lammoy
Wanatumia mamlaka yao vibayaIla nyie viumbe mungu anawaonaπ€£
Mbingu mtaisikiaBado hamjasema πππ
Dhambi pekee itakayo pelekea Watu wengi kuikosa pepo ni nyie viumbe βπ₯²π₯²Bado hamjasema πππ
Na utachoka kweli usishangae we ndo huyo mutu ππKwender unanichosha π
I dig it bro π€£π€£π€£Shame on him for real! After all, it's a wrong move mkuuπ€£π€£
Haitawezekana kabisa Nina standard zangu kwa kila jambo ππππ€£π€£π€£ Embu ngoja kwanza...
Kwani ingekua kweli ungekubali??π
Shindwaaaa π€£π€£π€£π€£Na utachoka kweli usishangae we ndo huyo mutu ππ
Standard zako kina suzy bale, tuache utani Manyanza nani akutake wewe kwa mfano?? Mtu mwenyewe spana mkononi, muda wote kagonjwa gonjwa unabadilisha hospital kila siku, una unyafuzi. π€£π€£π€£π€£Haitawezekana kabisa Nina standard zangu kwa kila jambo πππ
Sema kweliβAh wapi.. hayo ya vijana, mm na age hii siwez kuwa na hizo. Although, sijakuwa attentive sana na kufatilia fatilia au kupenda kudet na wanawake wengi.
Yani kwa ufupi mm ni husband material π
Looh πHuyo hakuna wa kumtaka ana stress sanaβa kabaki kujifunza uchawi π€£π€£π€£
Sishindwi sema we ni jirani yangu muke ya shemejiShindwaaaa π€£π€£π€£π€£
Shemeji yupi teena?? Uko wapi jirani? Ushaanza kulewa??Sishindwi sema we ni jirani yangu muke ya shemeji
Sikukuu unailia wapi rafiki?Hahahahaha..kweli mjini mipango..nimekubali Rafiki
Leo Nina mpango wa kulewaaa,hapa naifosi simu iishe chaji kabisaaa na bundle nisije nikamwaga Siri humuπππShemeji yupi teena?? Uko wapi jirani? Ushaanza kulewa??
Mlevi hajitangazii Sister wacha kutupoteza maboya π π πLeo Nina mpango wa kulewaaa,hapa naifosi simu iishe chaji kabisaaa na bundle nisije nikamwaga Siri humuπππ
Nshakata visungura viwili hapa type cShemeji yupi teena?? Uko wapi jirani? Ushaanza kulewa??