I Love you too much Lamomy

🀣🀣🀣🀣Tulia Leo nakunywa mzinga wa konyagi ya kati nachanganya na Zanzi kubwa
Najua kutengeneza Zanzi Sister lakini kinachonishinda ni kuweka preservative isiharibike
 
Jamani mwenzenu nusu nipate presha,si comment zangu zikabadilika zikawa za kizungu mie Moyo paaah! kizungu tenaa mbona mambo yatakuwa magumu Sasa?
 
Jamani mwenzenu nusu nipate presha,si comment zangu zikabadilika zikawa za kizungu mie Moyo paaah! kizungu tenaa mbona mambo yatakuwa magumu Sasa?
Naona tulipelekwa Marekani mara moja hata huku kwangu mpaka I'd zilikuwa zinasoma majina tofauti kabisa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Na Mimi,nimerudi Tanzania majina tofauti yaani kizungumkuti
Nilikuwa najaribu kuipeleka Tanzania inakataa inataka Marekani, labda Kuna maintenance inafanywa na wataalam wa JF
 
Leo Nina mpango wa kulewaaa,hapa naifosi simu iishe chaji kabisaaa na bundle nisije nikamwaga Siri humu😁😁😁
Mi hapa nawaza kurudi home nikacheck movie, ww hizo siri zilete kwangu nikutunzie usijali 😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…