I Love you too much Lamomy

I Love you too much Lamomy

Jamani mwenzenu nusu nipate presha,si comment zangu zikabadilika zikawa za kizungu mie Moyo paaah! kizungu tenaa mbona mambo yatakuwa magumu Sasa?
 
Jamani mwenzenu nusu nipate presha,si comment zangu zikabadilika zikawa za kizungu mie Moyo paaah! kizungu tenaa mbona mambo yatakuwa magumu Sasa?
Naona tulipelekwa Marekani mara moja hata huku kwangu mpaka I'd zilikuwa zinasoma majina tofauti kabisa 😅😅😅
 
Na Mimi,nimerudi Tanzania majina tofauti yaani kizungumkuti
Nilikuwa najaribu kuipeleka Tanzania inakataa inataka Marekani, labda Kuna maintenance inafanywa na wataalam wa JF
 
Leo Nina mpango wa kulewaaa,hapa naifosi simu iishe chaji kabisaaa na bundle nisije nikamwaga Siri humu😁😁😁
Mi hapa nawaza kurudi home nikacheck movie, ww hizo siri zilete kwangu nikutunzie usijali 😜
 
Back
Top Bottom