Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
🤣🤣🤣🤣Tulia Leo nakunywa mzinga wa konyagi ya kati nachanganya na Zanzi kubwaMlevi hajitangazii Sister wacha kutupoteza maboya 😅😅😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣Tulia Leo nakunywa mzinga wa konyagi ya kati nachanganya na Zanzi kubwaMlevi hajitangazii Sister wacha kutupoteza maboya 😅😅😅
Najua kutengeneza Zanzi Sister lakini kinachonishinda ni kuweka preservative isiharibike🤣🤣🤣🤣Tulia Leo nakunywa mzinga wa konyagi ya kati nachanganya na Zanzi kubwa
hivi mkuu ni wewe bado upo chuo Arusha una miaka 22? Au mechanganya ID?Ni mfupi mnene ana machunusi
Sikushauri
We Serious?Najua kutengeneza Zanzi Sister lakini kinachonishinda ni kuweka preservative isiharibike
Ndio Sister najua na nilifundishwa na rafiki zangu Wajerumani mbona simple sana 😂We Serious?
Naona tulipelekwa Marekani mara moja hata huku kwangu mpaka I'd zilikuwa zinasoma majina tofauti kabisa 😅😅😅Jamani mwenzenu nusu nipate presha,si comment zangu zikabadilika zikawa za kizungu mie Moyo paaah! kizungu tenaa mbona mambo yatakuwa magumu Sasa?
Deep down to my heart!Sema kweli❗
Na Mimi,nimerudi Tanzania majina tofauti yaani kizungumkutiNaona tulipelekwa Marekani mara moja hata huku kwangu mpaka I'd zilikuwa zinasoma majina tofauti kabisa 😅😅😅
Natamani unifundishe dogoNdio Sister najua na nilifundishwa na rafiki zangu Wajerumani mbona simple sana 😂
Nilikuwa najaribu kuipeleka Tanzania inakataa inataka Marekani, labda Kuna maintenance inafanywa na wataalam wa JFNa Mimi,nimerudi Tanzania majina tofauti yaani kizungumkuti
Usijali you are my Sister nitakufundisha tu. Jinsi ya kuweka preservative ndio sijuiNatamani unifundishe dogo
Hahahahaha..mie niko hm sijatokaSikukuu unailia wapi rafiki?
Hahahahaha..unalewa wapi RafikiLeo Nina mpango wa kulewaaa,hapa naifosi simu iishe chaji kabisaaa na bundle nisije nikamwaga Siri humu😁😁😁
Mi hapa nawaza kurudi home nikacheck movie, ww hizo siri zilete kwangu nikutunzie usijali 😜Leo Nina mpango wa kulewaaa,hapa naifosi simu iishe chaji kabisaaa na bundle nisije nikamwaga Siri humu😁😁😁
Ndiomana zinaingia zinatoka bwawa limejaa maji 😂Nshakata visungura viwili hapa type c