[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo ss hivi wanabugia??
Dah! Ila roho inaniuma tumepoteza mwanandugu kwa sababu ya sele nimelia sana [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
πBonge la bwana JF?? πππ
Mama mchungaji hebu fanya maombi vijana waache kuwaza ngono. Huyo mtu hata ukimuuliza alichonipendea hakijui, hajawahi kuniona wala kusikia sauti yangu. Hizi ni chit chat potezea sisy
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] best ulikuwa wapi leo?? Kuna uzi wako uko kuna raia kajivika mabomu anaiomba km anaimba reggae
Au sio π₯΄Mkuu lipia tangazo
ππππππππππππ
Au sio [emoji3061]
Amnaa hapo nimeweka competitive cv kwa mwanamke mrembo. Nyie Wengine lolote liwakute huko mlipoUmejitangaza bure [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Rudi mkuu daslam utaambulia patupu...πMangi kila la kheri mtunze shemejiπ€£mm ubavu wangu wamepikia supu labda nirudi Narumu nikaangalie uwezekano wa kupata mwngn
Ngoja tuangalieRudi mkuu daslam utaambulia patupu...π
Shabgaz ndo mzuri mana vitu vingine tunavumiliana tu. Sio vitoto vya 2000s unashangaa yameenea huko mitaani mara kibamia, mara gari linazima Zima. Wewe nipe Mimi tuSawa hongera kwa kulipenda lishangazi mimi
MI nilishasema kitambo tu, jamaa amestukiwa na kila mtu humu..Kumbe Mkuu πππ Cc and 100 others
ππππππKazi yake kule selfika maneno meengiiππMI nilishasema kitambo tu, jamaa amestukiwa na kila mtu humu..
Naona unanunua vita mshkaji wanguππ naomba uungane namimi kua mpenz msomaji na mpenz mchekaji,,, avatar yako naipenda imekaa ki innocent sana.Kuweni makini huyu ni dume mwenzenu
Hapana huyo kidume anajifanya demu sio vizuri πNaona unanunua vita mshkaji wanguππ naomba uungane namimi kua mpenz msomaji na mpenz mchekaji,,, avatar yako naipenda imekaa ki innocent sana.
ππOh oh weeeee mi sitaki kuhusikaππΎββοΈππΎββοΈHapana huyo kidume anajifanya demu sio vizuri π