Donatila
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,772
- 22,598
JF ni jokes tu my.. [emoji1787][emoji1787]Bonge la bwana JF?? [emoji23][emoji23][emoji23]
Mama mchungaji hebu fanya maombi vijana waache kuwaza ngono. Huyo mtu hata ukimuuliza alichonipendea hakijui, hajawahi kuniona wala kusikia sauti yangu. Hizi ni chit chat potezea sisy
Ukichukulia vitu serious utateseka.
Huu Uzi wa chit chat