Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Naomba unielezee nikuelewe basi bossy??Sidhani kama Mimi na wewe tumeelewana.
Kabisaa hizi mimi kwangu nazionaga ni chit chat wala sijawahi kuzichukulia serious..!!JF ni jokes tu my.. [emoji1787][emoji1787]
Ukichukulia vitu serious utateseka.
Huu Uzi wa chit chat
ππππ JF ina kila viumbe atatongoza majiniWe muache tu haijui vizuri JF huyuπ
Km yaliyokukuta wewe!! Mwambie kabisa ajue π€£π€£π€£π€£Mimi namtaadhalisha tu, asije akaingia ghetto kichwa kichwa akaishia kuinamishwa yeye π π
Eti wewe ni dume ??ππππ JF ina kila viumbe atatongoza majini
Si ndio vzr umepata wa kuusindikiza leba da mau ππππHapana mie nakamimba sasa wapi na wapi naenda leba sooon kuleta kichanga
π€£π€£π€£π€£ Mpaka anyonywe damu ndio atatuliaππππ JF ina kila viumbe atatongoza majini
HapanaAliyefungua Uzi ni dume, amemfungulia Uzi lamomy akidhani ni mwanamke. Ila ukweli ni kwamba, lamomy ni account nyingine ya Gily glu ambae na ni dume.
Umeelewa au nirudie?
ππππ si ndo hapo sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijapenda yani hapo ndo kamaliza na anategemea umuelewe.
Sikukuu ameshindwa hata kuuliza bata na soda alete wapi? [emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana yupo sasa huu umbeya wawewe ni mwanaume hii hatariSi ndio vzr umepata wa kuusindikiza leba da mau ππππ
Sifungui Uzi bila kuonana na muhusika face to face. π π πKm yaliyokukuta wewe!! Mwambie kabisa ajue π€£π€£π€£π€£
Unamjua sasa au ni Jini Mahaba tu linakusumbua Mkuu?Hi ni mara ya pili nimenasa kwake ila bado hajanipa majibu ila nimerudi kwa mara nyingine ili ajue Kama nilimpenda sana. Ila Kama haiwezekani basi
Off Mubarak mdogo wangu... Nakuamini huna mambo ya mihemuko hata roboSijui Kwanini hata Mimi nimekuchagua uwe Dada yangu ? It might be Nina upendo wa Kweli sio mihemko kama ya hawa Vijana wanaopenda I'd na Avatar πππ
So ulimjuajeSifungui Uzi bila kuonana na muhusika face to face. π π π
Sisy Joa mtu wa maana sanaπBoss huna baya....ukifa nizikwe mimi boss wangu
Ngoja limnyonye shahawa ndio atulieπUnamjua sasa au ni Jini Mahaba tu linskusumbua Mkuu?