mangiTz
JF-Expert Member
- Jul 28, 2019
- 1,820
- 3,062
Huu nao unyanyasaji mwingine😅😅, mtu ategemee afu kumbe mchezaji anasikilizia dili litiki sehemu ingine , dirisha linafungwa anaenda huko anakosa vyoteAsubiri dirisha la usajili lifunguliwe 😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu nao unyanyasaji mwingine😅😅, mtu ategemee afu kumbe mchezaji anasikilizia dili litiki sehemu ingine , dirisha linafungwa anaenda huko anakosa vyoteAsubiri dirisha la usajili lifunguliwe 😂😂😂
Kwender 😂😂😂Mwenzangu yupi jirani mbona nipo mwenyewe kumbe nna mtu na simjui?
Kwa mwanamke hiyo kawaida tushazoea ila vibaya kukubaliMke wake wahuni Wana mmezea mate naye Yuko mbali
Nikwende wapiKwender 😂😂😂
Huwa inatokea Nini Hadi mke wa mtu akakubali kua na affair na mwanaume mwingine???Kwa mwanamke hiyo kawaida tushazoea ila vibaya kukubali
Hahahahaha..kweli mjini mipango..nimekubali Rafiki🤣🤣🤣🤣Nini sasa?we hujui mjini mipango?
Hawa viumbe wanatuwezea sana, na wanajua namna ya kupeleka mashambuilizi 🤣, hata samsoni na ubavu wake Ali surrender kwa delilaAsilimia kubwa wanaume tukiwekewa mtego na mwanamke huwa hatutoboi Yani tunajaaga mazima mazima, wanaume emotional control ndogo. Lakini akili kumkichwa lazima ujicontrol lasivyo utakufa vibaya
Kwa wifiNikwende wapi
1.UMALAYAHuwa inatokea Nini Hadi mke wa mtu akakubali kua na affair na mwanaume mwingine???
Samson amepuyanga mimi na wewe ni nani 😂😂😂, kuna kanamna wamepewa uwezo wa ushawishi . Imagine hela umetafta kwa shida unatoa kwa hiari , eti shika ya soda elfu 10 soda gani elfu 10 shenzi kabisa, nauli 25k unakuta temeke - sinza shenzi type 😄Hawa viumbe wanatuwezea sana, na wanajua namna ya kupeleka mashambuilizi 🤣, hata samsoni na ubavu wake Ali surrender kwa delila
Bado hamjasema 😂😂😂Samson amepuyanga mimi na wewe ni nani 😂😂😂, kuna kanamna wamepewa uwezo wa ushawishi . Imagine hela umetafta kwa shida unatoa kwa hiari , eti shika ya soda elfu 10 soda gani elfu 10 shenzi kabisa, nauli 25k unakuta temeke - sinza shenzi type 😄
Mzee hisia zinanguvu kupita akili🤣🤣🤣Samson amepuyanga mimi na wewe ni nani 😂😂😂, kuna kanamna wamepewa uwezo wa ushawishi . Imagine hela umetafta kwa shida unatoa kwa hiari , eti shika ya soda elfu 10 soda gani elfu 10 shenzi kabisa, nauli 25k unakuta temeke - sinza shenzi type 😄
Ila nyie viumbe mungu anawaona🤣Bado hamjasema 😂😂😂
Mimi wakuu huyu mtoto wa Urasa siwez kukubali. Nampenda sana wakuu mnishauri nifanyeje jobless Mimiberylyn unaitwa
Yupi huyoKwa wifi
unataka Unikule kimasihara uje ujimwambafy etiMimi wakuu huyu mtoto wa Urasa siwez kukubali. Nampenda sana wakuu mnishauri nifanyeje jobless Mimi
Ah wapi.. hayo ya vijana, mm na age hii siwez kuwa na hizo. Although, sijakuwa attentive sana na kufatilia fatilia au kupenda kudet na wanawake wengi.unataka Unikule kimasihara uje ujimwambafy eti
Kwender unanichosha 😏Yupi huyo