I Love you too much Lamomy

I Love you too much Lamomy

Asubiri dirisha la usajili lifunguliwe 😂😂😂
Huu nao unyanyasaji mwingine😅😅, mtu ategemee afu kumbe mchezaji anasikilizia dili litiki sehemu ingine , dirisha linafungwa anaenda huko anakosa vyote
 
Asilimia kubwa wanaume tukiwekewa mtego na mwanamke huwa hatutoboi Yani tunajaaga mazima mazima, wanaume emotional control ndogo. Lakini akili kumkichwa lazima ujicontrol lasivyo utakufa vibaya
Hawa viumbe wanatuwezea sana, na wanajua namna ya kupeleka mashambuilizi 🤣, hata samsoni na ubavu wake Ali surrender kwa delila
 
Samson amepuyanga mimi na wewe ni nani 😂😂😂, kuna kanamna wamepewa uwezo wa ushawishi . Imagine hela umetafta kwa shida unatoa kwa hiari , eti shika ya soda elfu 10 soda gani elfu 10 shenzi kabisa, nauli 25k unakuta temeke - sinza shenzi type 😄
 
Bado hamjasema 😂😂😂
 
Mzee hisia zinanguvu kupita akili🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom