I need a friend to text me love me and share good things

Kila tukijaribu kuipandisha anaishusha tena kwa speed ya 5GπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.. Palipobaki apambane na hali yake, me nishanyoosha mikono juuπŸ™ŒπŸ™Œ
Tatizo uandishi tyuuu!!! Hapo ndo anaponichosha, ila siachi mana kamanda nishakula kiapo no retreat, no surrender πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tatizo uandishi tyuuu!!! Hapo ndo anaponichosha, ila siachi mana kamanda nishakula kiapo no retreat, no surrender πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kuna mtu kasema hata tukimchangia kodi anaweza akadraw hela na kuzichoma moto,, asa sijui tunafanya nae nini mgonjwa wetu πŸ˜†πŸ˜†
 
sasa najijibu mwenyewe umesikia mimi ni taaira kama ww? mimi nnazo timam zako zimepungua
Ukiona mtu anakusumbua ujue kuna kitu umemzidi unasema mie tahira umeniona wapi nikikukojolea puani au hilo limdomo kubwa kama beseni la vyombo . Halafu weka profile picture yako kama hatutazimia tuambie unaingiza sh. Ngapi hadi ujione unaweza sema tu. Maana kila anayedharau watu anakitu wewe unanini mie namdomo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…