I think its my time to rest, I am nothing in this world

Angekuwa hana watoto ungeona poa tu?
 
Oya haupo peke yako hata mimi na feel ivo ivo ila sioni ka mwisho wangu umefika
Ka vip nicheki DM tuyajenge
 
Piga Nyeto stress zitaisha
 
Piga moyo konde mkuu, ni vile wengine hawaongei tu lakini watu wakikusimulia shida zao basi utaona za kwako sio kitu.

Jipe kutembelea hospitali yeyote kubwa jirani na ulipo uone namna watu wanavyoteseka.

Mwenyezi Mungu amekupa Afya ni mtaji tosha kabisa, muombe kuwa mvumilivu, chapa kazi kwa bidii mambo yataisha tu.
 
What a powerful message🙏😘
 

Inna Lillahi wa inna ilayhi raji'un

hizi nyuzi za namna hii zimekuwa nyingi itakuwa vyema tuwaache tu wajitangulize mbele ya haki.
Ukitaka kujiua usije kufungua uzi jimalize tu kimyakimya kwani Kuna mtu anakujua huku uje uage?
Usione watu wanachati humu wanacheka wakikusimulia habari zao utalia machozi, wengine wamelala kwenye vitanda vya hospitali lakini hawajapoteza tumaini. Wengine tabu na shida zinawaandama hawajui hata asubuhi itaendaje lakini hawakati tamaa Wala kukufuru.
 
Kama ushaanza zeeka poa maana maisha ushayaona amna jipya .ila hakikisha usife na Deni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…