I think its my time to rest, I am nothing in this world

I think its my time to rest, I am nothing in this world

Halafu hao watoto unawaachia nani?? Kama wewe mzazi huna huruma na watoto wako, unategemea dunia itawaonea huruma?? Au ulimaanisha washikaji??

Anza kuwaua watoto kwanza, kisha ufuate mwenyewe.Usiache wakateseka bure.

Unasumbuliwa na :

woga

hali ya kuwa na hofu ya kufikwa na jambo la kutisha au la taabu; hali ya kutoweza kustahimili vitisho

Ambayo hupelekea :

hofu

shindwa kukabili jambo linalohitaji vikumbo; kuwa na woga

Mwisho unatakiwa uwe:

jasiri

piga moyo konde; kuwa hodari; kuwa shujaa

Angekuwa hana watoto ungeona poa tu?
 
Wadau wote wa jamii forum naandika uzi huu nikiwa na wazo moja tu la kupotea ktk dunia hii yenu

Napitia magumu mno nimekosa msaada hata wa mtu kuongea naye nikamwelezea matatizo yangu nimekuwa mpweke zaidi tu wanangu ambao hata hawajielewa ndio walikuwa faraja yangu ila ilipofikia nimezidiwa.

Wana JF endeleeni kutoa ishauri ndani ya hili jukwaa kiukweli backgroubd watu tunateseka sana.

Mungu awabariki sana
Oya haupo peke yako hata mimi na feel ivo ivo ila sioni ka mwisho wangu umefika
Ka vip nicheki DM tuyajenge
 
Wadau wote wa jamii forum naandika uzi huu nikiwa na wazo moja tu la kupotea ktk dunia hii yenu

Napitia magumu mno nimekosa msaada hata wa mtu kuongea naye nikamwelezea matatizo yangu nimekuwa mpweke zaidi tu wanangu ambao hata hawajielewa ndio walikuwa faraja yangu ila ilipofikia nimezidiwa.

Wana JF endeleeni kutoa ishauri ndani ya hili jukwaa kiukweli backgroubd watu tunateseka sana.

Mungu awabariki sana
Piga Nyeto stress zitaisha
 
Piga moyo konde mkuu, ni vile wengine hawaongei tu lakini watu wakikusimulia shida zao basi utaona za kwako sio kitu.

Jipe kutembelea hospitali yeyote kubwa jirani na ulipo uone namna watu wanavyoteseka.

Mwenyezi Mungu amekupa Afya ni mtaji tosha kabisa, muombe kuwa mvumilivu, chapa kazi kwa bidii mambo yataisha tu.
 
Pole sana mkuu, tambua giza likizidi sana ndiyo kunakaribia kukucha, vumilia kidogo tu utaiona nuru, hamna kukata tamaa mpaka kieleweke, wote tunateseka ni basi tu unajipa moyo unasonga mbele. Pole sana basi vumilia tu kwa sababu ya watoto wako, wewe ndiye faraja yao. Waone walivyo wazuri kweli uondoke uwaacha na nani?
What a powerful message🙏😘
 
Inna Lillahi wa inna ilayhi raji'un

hizi nyuzi za namna hii zimekuwa nyingi itakuwa vyema tuwaache tu wajitangulize mbele ya haki.
Ukitaka kujiua usije kufungua uzi jimalize tu kimyakimya kwani Kuna mtu anakujua huku uje uage?
Usione watu wanachati humu wanacheka wakikusimulia habari zao utalia machozi, wengine wamelala kwenye vitanda vya hospitali lakini hawajapoteza tumaini. Wengine tabu na shida zinawaandama hawajui hata asubuhi itaendaje lakini hawakati tamaa Wala kukufuru.
 
Kama ushaanza zeeka poa maana maisha ushayaona amna jipya .ila hakikisha usife na Deni

Back
Top Bottom