mzalendo namba moja
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 537
- 837
Check me man, let's talk..come inbox we talk
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angekuwa hana watoto ungeona poa tu?Halafu hao watoto unawaachia nani?? Kama wewe mzazi huna huruma na watoto wako, unategemea dunia itawaonea huruma?? Au ulimaanisha washikaji??
Anza kuwaua watoto kwanza, kisha ufuate mwenyewe.Usiache wakateseka bure.
Unasumbuliwa na :
woga
hali ya kuwa na hofu ya kufikwa na jambo la kutisha au la taabu; hali ya kutoweza kustahimili vitisho
Ambayo hupelekea :
hofu
shindwa kukabili jambo linalohitaji vikumbo; kuwa na woga
Mwisho unatakiwa uwe:
jasiri
piga moyo konde; kuwa hodari; kuwa shujaa
Oya haupo peke yako hata mimi na feel ivo ivo ila sioni ka mwisho wangu umefikaWadau wote wa jamii forum naandika uzi huu nikiwa na wazo moja tu la kupotea ktk dunia hii yenu
Napitia magumu mno nimekosa msaada hata wa mtu kuongea naye nikamwelezea matatizo yangu nimekuwa mpweke zaidi tu wanangu ambao hata hawajielewa ndio walikuwa faraja yangu ila ilipofikia nimezidiwa.
Wana JF endeleeni kutoa ishauri ndani ya hili jukwaa kiukweli backgroubd watu tunateseka sana.
Mungu awabariki sana
Comments ya kibabe sana😂😂Hivi watu wana uhakika kifo ndio muda wa mapumziko?
Piga Nyeto stress zitaishaWadau wote wa jamii forum naandika uzi huu nikiwa na wazo moja tu la kupotea ktk dunia hii yenu
Napitia magumu mno nimekosa msaada hata wa mtu kuongea naye nikamwelezea matatizo yangu nimekuwa mpweke zaidi tu wanangu ambao hata hawajielewa ndio walikuwa faraja yangu ila ilipofikia nimezidiwa.
Wana JF endeleeni kutoa ishauri ndani ya hili jukwaa kiukweli backgroubd watu tunateseka sana.
Mungu awabariki sana
Sio kweli nyeto ndo zinazidisha stressPiga Nyeto stress zitaisha
Waache tu wajiddanganyeHivi watu wana uhakika kifo ndio muda wa mapumziko?
Mungu ampigie na kumvusha katika hali ngumu aliyonayo!
Mimi nilishatambua tokea kitambo sana nitakapokufa nitarudi kwenye mavumbi. Huo ndio UKWELI.Haya Nenda ww bc mana unaona mm ntafaidi
What a powerful message🙏😘Pole sana mkuu, tambua giza likizidi sana ndiyo kunakaribia kukucha, vumilia kidogo tu utaiona nuru, hamna kukata tamaa mpaka kieleweke, wote tunateseka ni basi tu unajipa moyo unasonga mbele. Pole sana basi vumilia tu kwa sababu ya watoto wako, wewe ndiye faraja yao. Waone walivyo wazuri kweli uondoke uwaacha na nani?
Thank you dearWhat a powerful message🙏😘
Wadau wote wa jamii forum naandika uzi huu nikiwa na wazo moja tu la kupotea ktk dunia hii yenu
Napitia magumu mno nimekosa msaada hata wa mtu kuongea naye nikamwelezea matatizo yangu nimekuwa mpweke zaidi tu wanangu ambao hata hawajielewa ndio walikuwa faraja yangu ila ilipofikia nimezidiwa.
Wana JF endeleeni kutoa ishauri ndani ya hili jukwaa kiukweli backgroubd watu tunateseka sana.
Mungu awabariki sana
Hata mimi naamini kifo ni mapumziko, im 46 plus, sijawahinona kaburi linajitikisa, naamimi kabisa wamepumzika hao jamaaHivi watu wana uhakika kifo ndio muda wa mapumziko?