Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
[emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12] Mbona unawaka?! Umeumbuka usiejulikana?! Waambie Lumumba kuwa upinzani sio uasi, hawana haja ya kunyanyua silaha kwa watu wanaoimba "amani amani tunataka viapo"Nimeshakuambia ndio, sasa wewe unataka nini na kizungu chako hicho feki?
Mungu anamuona na nijibu. Mungu hakumpenda Akwilina kwa sasa ila kalazimishwa kwenda. Mungu onyesha upendo wako uliotukuka kwa huyo kiongozi wa msafara huo Leo Leo.Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa anaongoza msafara wa magari, likiwemo lililobeba mwili wa mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Akwilina Akwiline kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kuelekea katika viwanja vya chuo hicho kwa ajili ya kuagwa.
Jeneza lenye mwili wa mwanafunzi huo liko katika gari maalumu la kubebea maiti.
Duh, think about it! Ha ha ha.[emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12] Mbona unawaka?! Umeumbuka usiejulikana?! Waambie Lumumba kuwa upinzani sio uasi, hawana haja ya kunyanyua silaha kwa watu wanaoimba "amani amani tunataka viapo"
Labda anko yake ni mambonowKwani wewe uko salama?! Akwillina alijua kama yuko hatarini?! Kemea upumbavu huu!!!
Alhamdullilah!! Shukran zote anastahili Mwenyezi Mungu!!!Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa anaongoza msafara wa magari, likiwemo lililobeba mwili wa mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Akwilina Akwiline kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kuelekea katika viwanja vya chuo hicho kwa ajili ya kuagwa.
Jeneza lenye mwili wa mwanafunzi huo liko katika gari maalumu la kubebea maiti.
Zidumu fikra za mwenyekitiKamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa anaongoza msafara wa magari, likiwemo lililobeba mwili wa mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Akwilina Akwiline kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kuelekea katika viwanja vya chuo hicho kwa ajili ya kuagwa.
Jeneza lenye mwili wa mwanafunzi huo liko katika gari maalumu la kubebea maiti.
Nkuulize tu Una watoto ? Unaweza kuwatoa kafara?Nimeshakuambia ndio, sasa wewe unataka nini na kizungu chako hicho feki?
Hahhaahaha aiseeVipi tena wanaongoza maandamano wakati hayaruhusiwi kabisa!!!! wamepata kibari
Ahhh wapi huyo anafukuzia u DC. ni kujikomba kwa kila kitu. Poor Lumumba.Labda anko yake ni mambonow
Nimekuta kashatoa mahubiri, ila nimeona amesifiwa sana.Mahubiri Padre kasemaje?