Ibada ya kuaga mwili wa Marehemu Akwilina: Padri Mayanga ataka aliyeua awekwe wazi, awaombe radhi Watanzania

Ibada ya kuaga mwili wa Marehemu Akwilina: Padri Mayanga ataka aliyeua awekwe wazi, awaombe radhi Watanzania

Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa anaongoza msafara wa magari, likiwemo lililobeba mwili wa mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Akwilina Akwiline kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kuelekea katika viwanja vya chuo hicho kwa ajili ya kuagwa.
Jeneza lenye mwili wa mwanafunzi huo liko katika gari maalumu la kubebea maiti.
Mungu anamuona na nijibu. Mungu hakumpenda Akwilina kwa sasa ila kalazimishwa kwenda. Mungu onyesha upendo wako uliotukuka kwa huyo kiongozi wa msafara huo Leo Leo.
 
Ndugu, jamaa, marafiki na watanzania wengine wamejitokeza katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa ajili ya kuuchukua mwili wa aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Akwilina Akwilini ambaye anaagwa leo katika viwanja vya chuo hicho.

Akwilina alifariki dunia Februari 16, 2018 baada ya kupigwa risasi kichwani akiwa kwenye daladala wakati polisi wakiwatawanya waandamanaji ambao ni wafuasi wa Chadema. => Maandamano ya CHADEMA: Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza NIT apigwa risasi na kufariki; Polisi wakiri kuhusika

Akwilina.jpg

Jamaa mjinga sana huyu kalewa madaraka wangempiga kabisa hapo mpka akimbie
 
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa anaongoza msafara wa magari, likiwemo lililobeba mwili wa mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Akwilina Akwiline kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kuelekea katika viwanja vya chuo hicho kwa ajili ya kuagwa.
Jeneza lenye mwili wa mwanafunzi huo liko katika gari maalumu la kubebea maiti.
Alhamdullilah!! Shukran zote anastahili Mwenyezi Mungu!!!
Ndani ya nafsi anajisikiaje?
 
Very sad!!!
Natamani kwenda lakini naogopa wasije wakasema nimeandamana!
Maana naskia yule diwani aliyeuwawa alipokuwa anaagwa walifurushwa kwa mkong'oto!!
 
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa anaongoza msafara wa magari, likiwemo lililobeba mwili wa mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Akwilina Akwiline kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kuelekea katika viwanja vya chuo hicho kwa ajili ya kuagwa.
Jeneza lenye mwili wa mwanafunzi huo liko katika gari maalumu la kubebea maiti.
Zidumu fikra za mwenyekiti
 
Nimeshakuambia ndio, sasa wewe unataka nini na kizungu chako hicho feki?
Nkuulize tu Una watoto ? Unaweza kuwatoa kafara?
Je kama mwanao/mkeo/baba au mama yako/kaka au dada yako angekua amekaa karibu na akwilina na tuseme two bullets ambayo imempata akwilina na nyingine mwanao/mkeo/ baba yako/mama yako/dada yako/kaka yako/, je ungekua bado unaandika hizi comments unazoandika hapa
 
R.I.P dada yetu akwilina.
Umetuacha kwenye machafuko ya kila namna mungu linusuru taifa letu
 
Back
Top Bottom