DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Jibu hili ilipaswa uzi ufungwe maana limemaliza kila kituUnaijuaje Jumamosi? KWA KUANGALIA KALENDA. hiyo kalenda imeundwa na nani? NA PAPA GREGORY WA KANISA KATOLIKI. mpaka hiyo kalenda inaanza kutumika kulikuwa na kalenda kabla yake? NDIYO ZILIKUWEPO NYINGI TU ILA ZILIKUWA NA MAPUNGUFU MENGI. marekebisho yaliyofanyika yalihusisha kubadili siku na tarehe? NDIYO. Kama ni hivyo kuna uwezekano jumamosi ya sasa ni jumatano ya enzi za Musa
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Sabato ya Israel ilikuwa modeled after sabato ya halisi ya Mungu.Kwanza kabisa naomba msingi wa uzi huu uwe kwenye ukristo, maana tukiongea kwa misingi ya madhehebu yetu hatutafika lengo letu.
Karne ya kwanza ya 1, 2, 3 watu walipumzika na kuabudu siku ya Jumamosi mwanzoni mwa Karne ya nne watu fulani waliamua kubadili siku hii na kuhamia Jumapili. Je tunafuata maagizo ya wanadamu wenzetu au tunafuata Maagizo ya Mungu?
Kila aliyeuona uzi huu ninaamini ana access ya mtandao, unaweza kugoogle ibada ya jumapili imeanzishwa lini na mwanzilishi ni nani.
Tangu kuumbwa kwa dunia Mungu alishaweka wazi kwamba Sabato ni siku takatifu na aliitakasa. Na katika amri zote za Mungu hii ndio amri imeandikwa kwa maelezo marefu.
Pia wakati Musa yupo kule mlimani zile siku 40 Mungu alimgusia pia kuhusu sabato na akamuambia ni agano lake la milele.
Pia hata katika agano jipya bado watu waliendelea kuabudu siku ya sabato kuanzia Yesu mwenyewe mpaka mitume baada ya Yesu.
Mfano Luka 4:16 "Akaenda Nazareti, hapo alipolelewa; na siku ya sabato akaingia katika sinagogi kama ilivyokuwa desturi yake, akasimama ili asome"
Luka 4:16 imeweka wazi kwamba ilikuwa ni desturi ya Yesu kuingia katika Sinagogi siku ya ya Sabato.
Mafungu ya sabato ni mengi na siwezi kuyaweka yote hapa, ila nataka kujibu hoja za baadhi ya watu kuhusu ibada ya J2.
1. Ibada ya J2 kama kusheherekea ufufuko wa Kristo.
Hili la kusheherekea ufufuko wa Kristo na kubadili mpaka siku aliyoweka Mungu kama siku ya ibada limeanza lini? Kwenye biblia limeandikwa wapi? Kwanini katika historia watu wameanza kutekeleza hili katika karne ya 4?
2. Yesu ndio Bwana wa Sabato, hivyo tukimfuata Yesu sabato haina haja.
Yeye mwenyewe ambaye alijiita kuwa ni Bwana wa Sabato alizishika Sabato, nimetoa mfano kwenye Luka 4:16. Lakini pia kwenye mathayo 5:18 akasema "Kwa maana, amin, nawaambia, Mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka, yodi moja wala nukta moja ya torati haitaondoka, hata yote yatimie." Kwa maana hii sheria ya Mungu haibadiliki.
Na fungu la 5:19 akaonya juu ya wanaozivunja amri hizo "Basi mtu ye yote atakayevunja amri moja katika hizi zilizo ndogo, na kuwafundisha watu hivyo, ataitwa mdogo kabisa katika ufalme wa mbinguni; bali mtu atakayezitenda na kuzifundisha, huyo ataitwa mkubwa katika ufalme wa mbinguni."
3. Siku zote ni za Mungu,
Hakuna mtu aliyekukataza kuabudu siku yoyote, ila sabato ni siku ya kuacha kazi zako zote unazozifanya siku zile 6 za week na kupumzika na kuwa karibu na Mungu wako. Hata sisi wengine tunakuwa na ibada zetu kama kawaida siku zote za week ila sabato ya Bwana lazima tuitunze.
Swali langu kuu bado linabakia pale pale kwa wachangiaji wote.
Je, ni kwanini ibada ya J2 ianze karne ya nne baada ya watu kukaa na kuamua watu wapumzike na kuabudi jumapili? Je tunamfuata Mungu au tunawafuata Binadamu wenzetu kwa sababu tu wameamua mambo ambayo tumeyaona ni mema machoni petu?
Mungu atusaidie sana, Muwe na Sabato Njema.
Kwanza kabisa naomba msingi wa uzi huu uwe kwenye ukristo, maana tukiongea kwa misingi ya madhehebu yetu hatutafika lengo letu.

ilianza baada ya nchi ya ROME kujitawala ndio waakanzisha dini yao na wakaamua uitwe mji wao ROMAN CATOLIC wakapanga na ibada iwe jumapili sababu ndio wao hupumzika, WAINGEREZA Kuona Rome kaanzisha dini yake nae akaanzisha dini yake kwa jina la nchi yake akaaita ANGLICANA, uislamu ulikuwepo enzi za adamu na sabatho ilikuja na yesu
NTAANDIKA KWA WINGI PENGINE KUTOKANA NA UZITO WA HOJA YANGU NA HUMU KUNA BAADHI YA UKWELI KWA UNACHOKIAMINI MAANA SIWEZI KUANDIKA VYOTE...
Naomba usome comments hii Ndugu yangu Najua italeta confusion kwako lakini ndo ukweli wenyewe ( Na japo utakuwa mchungu Lakini inabidi uukubali kwakuwa huna namna)
Kwanza naomba kudeclare kwamba nilikuwa SDA kama wewe Tena nikishika siku Takatifu Very strict na Kwa bahati nzuri nilipita katika njia zote salama ( Na kipindi hicho tulikuwa ni lazma upitie Mafunzo yote kutoka Adventurer mpaka master Guide kama unataka kutambilika kanisani na kupata uongozi angalau Hata wa Shule sabato ..Kwahyo ilikubidi uwe umepita MasterGuide na umesoma na kuweza kufanya refference angalau ya Roho ya unabii (Ellen G white) si chini ya vitabu 10 na kuendelea...Na nilifanikiwa kuwa miongoni mwao...
Natamani niandike vyote lakini Shortly Niliwahi kupita pale Arusha na kufanikiwa Kusoma Theology (Pastoral version Nazungmzia) kwahyo nilikuwa "kipastor" kijana nisiye na mtaa wala kuwekewa mikono (sikuwekewa mikono kwa kuwa kanuni kipind hicho haikuruhusu Pastor ambaye hajaoa kuwekewa mikono mpaka atakapo oa!...
Ok Sasa tuachane na Huko kwani hiyo ni Hadithi ndefu sana on how i became to be Like this (hivi nilivyo sasa),
kwa sababu niliwahi kuwa muslim na kusoma pia huko na nahisi kwa sasa ni bora kubaki nilivyo...
SO NIRUDI KWENYE MADA KUU ULIYOILETA
So actually bado Elimu yako kibiblia sio kubwa sana kuweza kujenga hoja na kupangua Hoja pinzani kuhusu Hoja hiyo uliyoileta japo umejaribu (Kwa sababu nimeona jinsi unavyojibu hoja za wapinzani)
kuna hoja nyingi Kama za mtume Paulo kuhusu Siku na miandamo ya mwezi hujaweza kuzijibu ipasavyo...
na kuna mmoja akatoa hoja kuhusu Mabadiliko ya Siku katika enzi mbalimbali nahisi ulimjibu kwa Mafungu ya Luka (Kuhusu maandalio mpaka ufufuo) umejibu vyema kwa imani yako..Japo bado kuna Mapungufu pia..
kuwa kuna Enzi (Era) nyingi kuna milele nyingi imepita (Najua unajua kuwa kuna milele zilizopita na milele zijazo) katika enzi hizo nani ajuaye kuwa Siku ziliwahimkubadilika? kuna mtu aliuliza swali Hili ila sijaona ukijibu...
SASA NIENDE KWENYE HOJA YANGU..
Warumi sio watu wajinga kama wengi mnavyodhani au mnavyowachukulia...
kama waliweza kufuta historia baadhi ya dunia, wewe unawaonaje walishindwa kufuta ulichofikiria?
halikuwa taifa lenye Nguvu tu pia lenye siri nyingi sana pengine kuliko taifa lolote duniani...
Wakati ule wa Religious and Political Revolution (Reformation) Ambao ndo unasifiwa kuwa wakati bora kwa makanisa ya kiprotestant na wasabato ndo ulikuwa wakati mbaya sana kihistoria na kidini japo bado watu wengi hawajui.. (The Time of prostestantic Reformation ilikuwa ni muda wa majonzi yaliyojificha)
Kipindi kina john wycliffe ,John huss, Martine luther na wengine wengi kama kina smith wanaanza harakari za kukomboa Kanisa yaani Church reformation from Evil hiki ndo kpindi ambacho Roman walifanya Reformation kubwa kidini na kipolitical..
najua hili litakuwa jipya ila nifatilie ...
Martine luther kama baba wa reformation hasa kwa Wasabato na anaaminika hivyo (Kasome The great controverse au Pambano kuu ...Ellen G White) sasa Martine luther alipoaza Harakati miaka ya 1517 ndo alitikisa Kanisa kuliko wote...
sasa roman wakakuna kichwa wakapata cha kufanya ni kubadiki majira na Time Sasa walibadili vipi endelea kusoma usichoke utajua ...
Sasa bila speculation Mama yangu Ellen G white pamoja na mme wake Mchungaji James white wao hawafanya speculation wakajua hasa Sabato ni lini ili waweze kuiabudu kulinganana muda uliobadilishwa..
HAPA nazungumzia nini Hasa?
Kutokana na Reformation kuzidi na kanisa kuanza kuzidiwa Ndipo papa Gregory XIII aliazimia kubadli majira nazungumzia kalenda na nyakati, Rasmi Mwaka 1582 alibadilisha kalenda kutoka julian kalenda kwenda gregorian kalenda..
Kama sio mchunguzi unaweza ukaona haikuwa na utofauti wowote katika siku eeh ?
Sasa endelea kunifatilia..
Kama nilivyosema mwanzoni kuwa katika watu wenye akili sana Roman wanaongoza na katika kubadili siku walicheza na akili za watu wote duniani..
kwanza akasema anapunguza ukubwa wa siku za mwaka kutokana na kuwa ni mkubwa sana kwahyo alipunguza siku z mwaka kutoka 365.25 za juliani na kuwa 365.2425 za gregory..
kalenda Rasmi ilitangazwa Tarehe 04 october 1582, siku ya alhamisi (Thursday) na ikatangazwa kwamba kalenda hiyo itaskip siku kumi ili kuifanya iwe na mabadiliko Muhimu waliotangaza hivyo kesho siku ya ijumaa itakuwa Tarehe 15 October 1582...
sasa ili wayahudi Waliokuwepo wasipinge kalenda hiyo Wakatangaza kwamba siku zitabaki sawa na kesho itakuwa ijumaa kama kawaida kwahiyo kesho yake ilikuwa Tarehe 15 october 1582 , siku ya ijumaa...
Unaweza ukaona its ok kwa haraka haraka eeh?
Lakini ukifikiri vizuri utajua ni mchezo..
Leo Tarehe 04 October, 1582, siku ya Alhamisi Umebadili kalenda halafu unatuambia ili siku ziwe sawa inabidi uskip siku 10 mbele ili kutoa mabadiliko ya Julian to gregorian na kesho iwe siku hiyo ya kumi lakini isibadilishwe siku ila iwe siku ya ijumaa Tarehe 15 October 1582, bado watu wanashangilia bila kujua wamepigwa bao
Na hapo ndipo papa huyo alipowatandika watu fimbo bila ya kujua alibadilisha Siku na majira bila wao kujua kama kabadilisha...
Hiyo mimi huwa napenda kuiita Day sight illusion kutokana na wao kutoona kilichofanyika hapo...
Sasa naomba tuangalia kitu hapa chini..
Tarehe ambavyo zingeendelea kuwa kama zisingebadilishwa Yaani kuskip siku Kumi mbele kutoka Tarehe 04 na Tarehe 05 ikawa tarehe Tarehe 15 October 1582 kama ingeendelea bila kuskip ingekuwa hivi...
- October 6, 1582: Saturday
- October 7, 1582: Sunday
- October 8, 1582: Monday
- October 9, 1582: Tuesday
- October 10, 1582: Wednesday
- October 11, 1582: Thursday
- October 12, 1582: Friday
- October 13, 1582: Saturday
- October 14, 1582: Sunday
- October 15, 1582: Monday
- October 16, 1582: Tuesday
- October 17, 1582: Wednesday
- October 18, 1582: Thursday
- October 19, 1582: Friday
- October 20, 1582: Saturday
Sasa umeona Tarehe 15 iliyopangwa kuwa ijumaa ni actually Jumatatu kwa hiyo jamaa alichange Jumatau kuwa ijumaa...
hiyo inakupa Picha gani?
Unajua matokeo yake?
Hata hiyo Jumamosi unayojitambia its actually not jumamosi ile walioabudu mitume kama ulivyotaja....
lets see jumamosi ya juzi tarehe 4 ilikuwa ni lini kama asingebadilisha..
November 4 Ni siku ya Jumapili..Kwa c
Kalenda kama isingebadilishwaa...
Yaani 04,November 2023 before skiping 10 days of gregory ni Siku ya Jumapili while ulienda kanisani ukiamini ni siku hiyo ni Jumamosi....
Na tarehe 3 ndo ilikuwa Saturday ya kweli..
Na nimeona umesema wewe ni mtu wa kugoogle so nakupa homework nenda kafanye reseaech zako zozote...
hata kama.utaweza unaweza tumia google uwezavyo...
Angalia uhalisia kuhusu nilichosema
Dan 7:25 SUV
Naye atanena maneno kinyume chake Aliye juu, naye atawadhoofisha watakatifu wake Aliye juu; naye ataazimu kubadili majira na sheria; nao watatiwa mikononi mwake kwa wakati, na nyakati mbili, na nusu wakati.
CC:- Plaintiff Mega Mind Nyerere
Hiyo ni story ngumu sana Kuisema hadharani pengine inaweza Gusa hisia za watu na Imani zao (Kitu ambacho huwa najitahidi sana kutochokoza)Thanks nimepata kitu,pia mkuu usisahau kuleta hiyo story ya usabato uislam hadi sasa ulipo?
Hawezi kujibu hapaWapo MiUNGU wengi kila mmoja ana jina lake
Huyo Allah ndie yehova(Yahweh) kama ndiye mjadala uendele
Lakini kama siye yanini kubishana
Hapa mkuu bado sijaelewa vzr inakuwaje hiyo hesabu?NTAANDIKA KWA WINGI PENGINE KUTOKANA NA UZITO WA HOJA YANGU NA HUMU KUNA BAADHI YA UKWELI KWA UNACHOKIAMINI MAANA SIWEZI KUANDIKA VYOTE...
Naomba usome comments hii Ndugu yangu Najua italeta confusion kwako lakini ndo ukweli wenyewe ( Na japo utakuwa mchungu Lakini inabidi uukubali kwakuwa huna namna)
Kwanza naomba kudeclare kwamba nilikuwa SDA kama wewe Tena nikishika siku Takatifu Very strict na Kwa bahati nzuri nilipita katika njia zote salama ( Na kipindi hicho tulikuwa ni lazma upitie Mafunzo yote kutoka Adventurer mpaka master Guide kama unataka kutambilika kanisani na kupata uongozi angalau Hata wa Shule sabato ..Kwahyo ilikubidi uwe umepita MasterGuide na umesoma na kuweza kufanya refference angalau ya Roho ya unabii (Ellen G white) si chini ya vitabu 10 na kuendelea...Na nilifanikiwa kuwa miongoni mwao...
Natamani niandike vyote lakini Shortly Niliwahi kupita pale Arusha na kufanikiwa Kusoma Theology (Pastoral version Nazungmzia) kwahyo nilikuwa "kipastor" kijana nisiye na mtaa wala kuwekewa mikono (sikuwekewa mikono kwa kuwa kanuni kipind hicho haikuruhusu Pastor ambaye hajaoa kuwekewa mikono mpaka atakapo oa!...
Ok Sasa tuachane na Huko kwani hiyo ni Hadithi ndefu sana on how i became to be Like this (hivi nilivyo sasa),
kwa sababu niliwahi kuwa muslim na kusoma pia huko na nahisi kwa sasa ni bora kubaki nilivyo...
SO NIRUDI KWENYE MADA KUU ULIYOILETA
So actually bado Elimu yako kibiblia sio kubwa sana kuweza kujenga hoja na kupangua Hoja pinzani kuhusu Hoja hiyo uliyoileta japo umejaribu (Kwa sababu nimeona jinsi unavyojibu hoja za wapinzani)
kuna hoja nyingi Kama za mtume Paulo kuhusu Siku na miandamo ya mwezi hujaweza kuzijibu ipasavyo...
na kuna mmoja akatoa hoja kuhusu Mabadiliko ya Siku katika enzi mbalimbali nahisi ulimjibu kwa Mafungu ya Luka (Kuhusu maandalio mpaka ufufuo) umejibu vyema kwa imani yako..Japo bado kuna Mapungufu pia..
kuwa kuna Enzi (Era) nyingi kuna milele nyingi imepita (Najua unajua kuwa kuna milele zilizopita na milele zijazo) katika enzi hizo nani ajuaye kuwa Siku ziliwahi kubadilika? kuna mtu aliuliza swali Hili ila sijaona ukijibu...
SASA NIENDE KWENYE HOJA YANGU..
Warumi sio watu wajinga kama wengi mnavyodhani au mnavyowachukulia...
kama waliweza kufuta historia baadhi ya dunia, wewe unawaonaje walishindwa kufuta ulichofikiria?
halikuwa taifa lenye Nguvu tu pia lenye siri nyingi sana pengine kuliko taifa lolote duniani...
Wakati ule wa Religious and Political Revolution (Reformation) Ambao ndo unasifiwa kuwa wakati bora kwa makanisa ya kiprotestant na wasabato ndo ulikuwa wakati mbaya sana kihistoria na kidini japo bado watu wengi hawajui.. (The Time of prostestantic Reformation ilikuwa ni muda wa majonzi yaliyojificha)
Kipindi kina john wycliffe ,John huss, Martine luther na wengine wengi kama kina smith wanaanza harakari za kukomboa Kanisa yaani Church reformation from Evil hiki ndo kpindi ambacho Roman walifanya Reformation kubwa kidini na kipolitical..
najua hili litakuwa jipya ila nifatilie ...
Martine luther kama baba wa reformation hasa kwa Wasabato na anaaminika hivyo (Kasome The great controverse au Pambano kuu ...Ellen G White) sasa Martine luther alipoaza Harakati miaka ya 1517 ndo alitikisa Kanisa kuliko wote...
sasa roman wakakuna kichwa wakapata cha kufanya ni kubadiki majira na Time Sasa walibadili vipi endelea kusoma usichoke utajua ...
Sasa bila speculation Mama yangu Ellen G white pamoja na mme wake Mchungaji James white wao hawakufanya speculation wakajua hasa Sabato ni lini kulingana na tarehe ili waweze kuiabudu kulinganana muda uliobadilishwa..
HAPA nataka kuzungumzia nini Hasa?
Kutokana na Reformation kuzidi na kanisa kuanza kuzidiwa Ndipo papa Gregory XIII aliazimia kubadli majira nazungumzia kalenda na nyakati, Rasmi Mwaka 1582 alibadilisha kalenda kutoka julian kalenda kwenda gregorian kalenda..
Kama sio mchunguzi unaweza ukaona haikuwa na utofauti wowote katika siku eeh ?
Sasa endelea kunifatilia..
Kama nilivyosema mwanzoni kuwa katika watu wenye akili sana Roman wanaongoza na katika kubadili siku walicheza na akili za watu wote duniani..
kwanza akasema anapunguza ukubwa wa siku za mwaka kutokana na kuwa ni mkubwa sana kwahyo alipunguza siku z mwaka kutoka 365.25 za juliani na kuwa 365.2425 za gregory..
kalenda Rasmi ilitangazwa Tarehe 04 october 1582, siku ya alhamisi (Thursday) na ikatangazwa kwamba kalenda hiyo itaskip siku kumi ili kuifanya iwe na mabadiliko Muhimu waliotangaza hivyo kesho siku ya ijumaa itakuwa Tarehe 15 October 1582...
sasa ili wayahudi Waliokuwepo wasipinge kalenda hiyo Wakatangaza kwamba siku zitabaki sawa na kesho itakuwa ijumaa kama kawaida kwahiyo kesho yake ilikuwa Tarehe 15 october 1582 , siku ya ijumaa...
Unaweza ukaona its ok kwa haraka haraka eeh?
Lakini ukifikiri vizuri utajua ni mchezo..
Leo Tarehe 04 October, 1582, siku ya Alhamisi Umebadili kalenda halafu unatuambia ili siku ziwe sawa inabidi uskip siku 10 mbele ili kutoa mabadiliko ya Julian to gregorian na kesho iwe siku hiyo ya kumi lakini isibadilishwe siku ila iwe siku ya ijumaa Tarehe 15 October 1582, bado watu wanashangilia bila kujua wamepigwa bao
Na hapo ndipo papa huyo alipowatandika watu fimbo bila ya kujua alibadilisha Siku na majira bila wao kujua kama kabadilisha...
Hiyo mimi huwa napenda kuiita Day sight illusion kutokana na wao kutoona kilichofanyika hapo...
Sasa naomba tuangalia kitu hapa chini..
Tarehe ambavyo zingeendelea kuwa kama zisingebadilishwa Yaani kuskip siku Kumi mbele kutoka Tarehe 04 na Tarehe 05 ikawa tarehe Tarehe 15 October 1582 kama ingeendelea bila kuskip ingekuwa hivi...
- October 6, 1582: Saturday
- October 7, 1582: Sunday
- October 8, 1582: Monday
- October 9, 1582: Tuesday
- October 10, 1582: Wednesday
- October 11, 1582: Thursday
- October 12, 1582: Friday
- October 13, 1582: Saturday
- October 14, 1582: Sunday
- October 15, 1582: Monday
- October 16, 1582: Tuesday
- October 17, 1582: Wednesday
- October 18, 1582: Thursday
- October 19, 1582: Friday
- October 20, 1582: Saturday
Sasa umeona Tarehe 15 iliyopangwa kuwa ijumaa ni actually Jumatatu kwa hiyo jamaa alichange Jumatau kuwa ijumaa...
hiyo inakupa Picha gani?
Unajua matokeo yake?
Hata hiyo Jumamosi unayojitambia its actually not jumamosi ile walioabudu mitume kama ulivyotaja....
lets see jumamosi ya juzi tarehe 4 ilikuwa ni lini kama asingebadilisha..
November 4 Ni siku ya Jumapili..Kwa c
Kalenda kama isingebadilishwaa...
Yaani 04,November 2023 before skiping 10 days of gregory ni Siku ya Jumapili while ulienda kanisani ukiamini ni siku hiyo ni Jumamosi....
Na tarehe 3 ndo ilikuwa Saturday ya kweli..
Na nimeona umesema wewe ni mtu wa kugoogle so nakupa homework nenda kafanye reseaech zako zozote...
hata kama.utaweza unaweza tumia google uwezavyo...
Angalia uhalisia kuhusu nilichosema
Dan 7:25 SUV
Naye atanena maneno kinyume chake Aliye juu, naye atawadhoofisha watakatifu wake Aliye juu; naye ataazimu kubadili majira na sheria; nao watatiwa mikononi mwake kwa wakati, na nyakati mbili, na nusu wakati.
CC:- Plaintiff Mega Mind Nyerere
Mkuu Niambie hujaelewa sehemu gani nitakuelewesha zaidi!Hapa mkuu bado sijaelewa vzr inakuwaje hiyo hesabu?
Duh Mkuu Humu umetema nondo Sana...NTAANDIKA KWA WINGI PENGINE KUTOKANA NA UZITO WA HOJA YANGU NA HUMU KUNA BAADHI YA UKWELI KWA UNACHOKIAMINI MAANA SIWEZI KUANDIKA VYOTE...

Mtu wa kwanza kuleta mabadiliko haya yote ya kiimani ni Martin Luther bado anaonekana ni mjerumani pekee aliye aliyelikosoa kanisa la Roma hivyo waasisi wote walitokea kwenye njozi zakeDuh Mkuu Humu umetema nondo Sana...
Na mimi naisubiri hiyo hadithi ya ulivyobadili kutoka Sabato kwenda Uislamu na kutoka uislamu kwenda Huko uliko sasa?
Na nini kilikufanya ubadilike na wakati umesema ulikuwa mchungaji?
Niliwahi kusikia walibadili ila sikuwahi kujua walibadili hivi hakika wanaa akili Sana..
Sasa mkuu Hapo dah inamaana hapo tulipigwa changa la macho?
Na kuhusu Martine Luther kumbe Wasabato Pia na wenyewe wanamuamini π π ?
Kwahiyo unataka kusema wasabato ni Toleo la walutheri mzee?
Iko Hivi Time is inescapable maginitude when you mess with it you mess with Everything including events and History...Hapa mkuu bado sijaelewa vzr inakuwaje hiyo hesabu?
Lazima awaze kibinadamu. Mwenyezi Mungu hatashuka aje akafanye kazi hospitali aje akulindie mipaka ya nchi yako, akuzimie moto nyumba yako ikiungua nk nk. Akina James White, Mkewe Ellen G White, Hiram Edson were nothing but cult founders.Kwa sababu umewaza Kibinadamu yes ila kwa Mungu mambo hayako hivyo.
Haya tuyaache hayo majina, sasa unatakiwa utambue "siku yako ya kwanza" kwako kwa wengine ndio siku ya 7 na siku yako ya 7 kwa wengine ni siku yao ya 6. Siku ya 7 kutokana na utaratibu wako wa kazi ukaitenga ile ya 7 hakuna shida hapo.Tuache hayo majina ya sunday na saturday. . .
Nazungumzia ibada ya siku ya 7 na ibada ya siku ya kwanza
"Siku yako ya kwanza"!!!!!! βββsiku yako ya kwanza
Ishike sabato kama alivyoishika Yesu, siyo kama walivyoishika watu wa kale wala hutoona mzigo,Lazima awaze kibinadamu. Mwenyezi Mungu hatashuka aje akafanye kazi hospitali aje akulindie mipaka ya nchi yako, akuzimie moto nyumba yako ikiungua nk nk. Akina James White, Mkewe Ellen G White, Hiram Edson were nothing but cult founders.