Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Sheria mama ya taifa letu ipo wazi kabisa na imeweka wazi kuwa rais hatalazimika kufuata ushauri wa mtu yoyote yule. Isipokuwa kama imetanabaishwa kwenye katiba ya JMT. Hii ipo wazi kwenye ibara ya 37(1) ya katiba ya JMT.
Sasa kama rais wetu analalamika kuwa ushauri wake haukufuatwa ina maana hii katiba haifai?
Kwenda kulalama kwenye media za kimataifa ni kuweka wazi kwa mataifa ya nje kuwa hii katiba ya sasa ya JMT haifai maana haimlazimishi rais wa JMT kukubali ushauri wa mtu yoyote.